wamefungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Kwenye makaburi ya halaiki Gaza maiti waliofukuliwa wengine wamefungwa mikono na wengine dripu hazikuwahi kufunguliwa

    Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia. Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na...
  2. BARD AI

    Ripoti CPJ: Wanahabari 363 wamefungwa duniani kote, 56 wapo Afrika

    Hadi kufikia Desemba 1, 2022, Wanahabari 363 walinyimwa Uhuru wa Kazi yao duniani kote ikiwa ni kiwango kipya cha juu zaidi kwa 20% kulinganisha na mwaka 2021. Kwa mujibu wa Ripoti ya Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari (CPJ), Waandishi wa Habari wasiopungua 56 walifungwa barani Afrika mwaka...
  3. Poppy Hatonn

    Wale panya road waliokuwa chini ya miaka 18 wamefungwa jela ya watoto?

    Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahau plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika? Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya.
  4. MSAGA SUMU

    Kenya wamefungwa kwa taabu Sana 36 - 0 na Namibia

    Kwenye mchezo wa rugby timu ya taifa ya Kenya imepigwa kwa taabu Sana goli 36 kwa bila na timu ya taifa ya Namibia. Ikumbukwe kuwa timu ya Namibia huwa Ni utopolo kwa timu ya Tanzania, ambapo mechi ya mwisho kukutana Namibia alilala goli 32.
  5. Analogia Malenga

    Lindi: Wanachama wanne wa CHADEMA watupwa jela miaka 8

    MAHAKAMA ya Mkoa wa Lindi, imewahukumu wanachama wanne kati ya sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutumikia kifungo cha miaka nane kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya makosa mbalimbali yakiwamo kuharibu mali zenye thamani ya Sh. milioni 22.2. Hukumu hiyo ilitolewa na...
Back
Top Bottom