"Epithermal" ni neno linalotumiwa katika muktadha wa jiolojia na uchimbaji wa madini. Linahusu aina fulani ya mazingira ya kijiolojia ambayo madini hukutwa.
Katika muktadha wa uchimbaji wa madini, epithermal inahusishwa na mchakato wa kijiolojia ambapo madini yanayotafutwa, kama vile dhahabu na...
Hivi hawa hufanyaje hizi tafiti zao. Maana navyojua sio rahisi kufanya utafiti hapa bongo hasa ukizingatia hatuna miundombinu rafiki. Hatuna uwekezaji wala wataalamu wanaoweza kufanya hizi zaidi ya ku dowload tafiti za watu wa nje huko. Kwa nini tunaziita tafiti ile hali ni copy na ku paste.
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetangaza watafiti 47 kutoka taasisi za elimu ya juu za umma na binafsi, ambao wameshinda tuzo kwa kuchapisha matokeo ya utafiti waliofanya kwenye majarida yenye hadhi ya juu kimataifa katika nyanja za afya, sayansi shirikishi, sayansi asilia na...
Moja ya fuvu katika maonesho Makumbusho Berlin
Watafiti wa Kijerumani wamefanikiwa kupata kwa uhakika ndugu wa watu ambao mafuvu yao yalichukuliwa na Wakoloni wa Kijerumani kwa ajili ya "utafiti".
Watafiti hao wanasema wameweza kupata ndugu wa watu toka jamii ya Wachagga ambao mabaki ya ndugu...
Zaidi ya viongozi na watafiti 1,000 wa teknolojia, akiwemo Elon Musk, wamezitaka maabara za ujasusi za bandia kusitisha maendeleo ya mifumo ya hali ya juu zaidi, na kuonya kwamba zana za AI zinaleta hatari kubwa kwa jamii na ubinadamu.
Barua hiyo ya wazi, iliyotolewa na Taasisi isiyo ya Faida...
Nimekusikia Clouds Tv na Radio Leo ukikitaka Chuo cha Michezo cha Serikali nchini cha Malya kufanya Tafiti kujua kwani Tanzania haiendelei Kisoka.
Nami MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' nakuambia kuwa huna haja ya Kuwasumbua na Kuwasubiria...
Watafiti nchini Uganda wanasema virusi vya Ebola vinavyosambaa nchini humo vimebadilika.
Prof Pontiano Kaleebu wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi vya Ebola aina ya Sudan anasema hata hivyo hakuna ushahidi kwamba inaweza kuambukizwa zaidi ya aina ya awali.
Walichambua sampuli kutoka kwa kisa cha...
Onyo hilo linatokana na utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI) iliyobaini kuwa takriban 50% ya sampuli za Maziwa zilizokusanywa kutoka kaunti za Nakuru, Laikipia na Nyandarua zilikuwa na uchafu.
Ripoti hiyo ilionesha kuwa kati ya sampuli 493 za Maziwa...
Kituo cha Utafiti Uyole (Tari) kimesema zao la maharage aina ya Jesca licha ya kuongeza nguvu za kiume lina faida zaidi kwa binadamu kwakuwa linatibu matatizo mengi.
Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera wakati alipofanya ziara katika Chuo cha Utafiti Uyole, amewataka wananchi...
Sabuni pia zinasemekana kuwa na kemikali zinazoathiri mbegu za wanaume
Kemikali zinazopatikana katika baadhi ya bidhaa ambazo hutumiwa kila siku kama vile dawa ya kusugua meno, sabuni na mafuta ya kujikinga kutokana na miale hatari ya jua zinaweza kuharibu mbegu za uzazi za wanaume.
Kwa mara...
WanaJF Inakuwaje!
Watafiti wa maswala ya wanyama Kaskazini mwa ulaya hasa skendinevia/Nordic wameshangazwa sana na tabia za wanyama wengi wanaoliwa (Prey) kuhamia mijini kutoka porini na kufanya Makazi yao ya kudumu.
Hii ni kutokana na usalama wao. Wanaona wakiwa mjini karibu na binadamu...
Marekakani imekua ikiwatuhumu wanafunzi na watafiti kutoka china kwa wizi wa nyaraka za siri za kiutafiti kutoka kwenye vyuo wanavyosoma na kuzipeleka China.
Juzi juzi hapa ilikamata watafiti kadhaa kwa kutorosha sampuli za virusi kwenda China.
Marekani imekua ikiituhumu China kutumia...
Taasisi ya Utafiti wa Matibabu ya Kenya (KEMRI) inafanyia majaribio dawa ya mitishamba ya Zedupex kubaini kama inaweza kutibu COVID19
Dawa ya mitishamba ya Zedupex ilitengenezwa na watafiti nchini humo miaka mitano iliyopita (2015) na imekuwa ikitumika kutibu ugonjwa wa Herpes
Kiongozi wa timu...
Haki miliki ya pichaUNIVERSITY OF PITTSBURGH
Mauaji ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani kuwa kuna sababu iliyojificha kuhusu kifo chake.
Bing Liu, profesa msaidizi mwenye miaka 37 katika Chuo Kikuu cha...
Thread starterDyf
Start dateMonday at 5:51 PM
Dyf
Senior Member
Monday at 5:51 PM
Utangulizi
Bioteknolojia ni aina ya teknolojia inayotumia elimu ya biolojia kwa manufaa ya binadamu. Ni teknolojia ya uvumbuzi wa mambo mbalimbali kwa manufaa ya binadamu, kwenye upande wa afya, kilimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.