wakoloni

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Africa tungepewa uhuru kwa makabila badala ya mataifa bandia tungekuaje leo hii ?

    Katika jambo baya sana wakoloni walilotufanyia Africa ilikuwa ni kugawa bara la Africa mezani katika vipande mbalimbali bandia walivyoviita nchi. Hili ni jambo ambalo limewatesa sana Waafrika baada ya wakoloni kuondoka. Mataifa yetu yalipaswa yapatikana kwa mchakato wa asili wa sisi wenyewe...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kumbe Wakoloni walishajenga mabwawa ya umeme kama hili la Nyerere kwa kitambo sana!

    Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
  3. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuliwafukuza wakoloni sasahivi watu wetu wanakimbilia nchi za Ulaya kutafuta maisha mazuri. Isn't that failure?

    Waafrika tuliwafukuza wakoloni, which was completely a right thing to do cause watu weusi na watu weupe hatuwezi kuchangamana. It failed in South Africa, na huko USA it's been hundreds of years na bado hadi leo wanahangaika to blend people together Shida inakuja, baada ya kuwafukuza tukafanya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ardhi yetu itufaidishe sisi kwanza kabla ya dini au wakoloni

    Angalia hii video
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unatamani wakoloni weupe wangeendelea kubaki, hebu angalia mpango huu mkubwa wa reli wa kuiunganisha Tanganyika uliovurugwa na vita ya dunia

    Miaka zaidi ya 100 iliyopita, Kabla ya Vita vya Kwanza vya Dunia, Wajerumani walikuwa na mipango mikubwa ya maendeleo ya miundombinu Tanganyika. Baadhi ya mipango ilikuwa tayari imeshakamilika. Kwa mfano, reli inayotumika hadi sasa kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma, yenye urefu wa takribani...
  6. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Waarabu Zanzibar na Watutsi maziwa makuu wote walikuwa walowezi wakoloni

    Ukoloni Zanzibar haukuanzia kwa waingereza bali kwa walowezi waarabu wa Omani ambao walihamia zanzibar pamoja na ndugu ya sultani wao ambapo walimuweka akawa sultani wa zanzibar na kuanzisha utawala wa ukoloni wa kilowezi wa kiarabu. Waomani hao wakatawala eneo la zanzibar na pwani ya afrika...
  7. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Tukisahau historia, inajirudia Wakoloni na walotupeleka utumwani hata leo hawatutakii mema

    Tusisahau historia yetu, na tuwafundishe watoto na vijana ili wasije ingia mkenge tena https://youtu.be/iGPUtwa9LkQ?si=ks4MVUocwBUSyS2G
  8. Stroke

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanapanga kuturejesha kwa wakoloni

    Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema. Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda. Kaka...
  9. idiomer

    JamiiForums Tanzania Utumwa bado upo au umeisha?

    Visa vya nchi za Ulaya ngumu kupata Wawekezaji ndio wale wakoloni Wamisionari ndio hawa wanasema tujifunze lugha zao kama kiarabu, kichina na kirusi Manamba ndio sisi tunafanya kazi viwanda vyao Wapelelezi ndio hawa mabalozi sasa Viongozi wetu ndio kupewa shahada za heshima
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania 2025 ilkuwa mwaka mbaya kuliko hata ule wa wakoloni

    Mwaka uliopita, Watu walitekwa Waliteswa Walipotezwa Walinyanyaswa Waliuawa Walitishwa Walidhalilishwa Walichekwa Walikosa na kupoteza matumaini Waliibiwa fedha, mali, na raslimali hata kura Nchi ilinajisiwa kiasi cha sifa yake kutoweka Ni mwaka wa mikosi na mateso hakuna mfano Watanzania...
  11. Pakome

    JamiiForums Tanzania Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki

    Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo lililoitesa sana Afrika enzi za Ukoloni Waafrika waliuzwa kama njugu Fedha walizouzwa Waafrika...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nchi ikishakombolea mkononi mwa wakoloni weusi Kuna Madaktari na Maprofesa wanapaswa kuvuliwa hizo tittle zao akiwemo Kitila Ili kusaidia watoto wetu

    Maprofesa na madaktari ni watu wenye Elimu kubwa baada ya kufanya tafiti mbalimbali. Pili ni watu ambao wanasimamia kile wanachoamini maana wamekifanyia utafiti Tatu ni watu wanaolenga kusaidia jamii Kwa kile wanachoamini na kuifanyia utafiti Maprofesa na madaktari wasiosimamia kile...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza

    kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza. Haya mauza uza mnayo yaona ni majaribio ya utawala wa kipumbavu, sasa sisi hatutokubali na hatuto tawalika na wapumbavu. tukutane #D9 tukinukishe
  14. Pasta Joshua

    JamiiForums Tanzania Dini za wakoloni

    Umeshawahi kujiuliza ni kwanini waliotuletea ukoloni na kutuuza utumwani ndio hao hao waliotuletea dini ? Walitufundisha kusali tukiwa tumepiga magoti na tumefumba macho ,tulipofumbua tulikuwa na biblia na msaafu mkononi ,wao wakiwa na rasilimali zetu. Walitufundisha ukondoo wa kukubali hadi...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kama tuliwaondoa wakoloni, hawa watatushinda?

    Eti Amani !! amani, amani!!! Hii Tanzania kuna amani au kisiwa cha uvumilivu??? CCM ilipo sasa, kwa udhalimu wake, imetutoa kwenye kisiwa cha amani imetupeleka kwenye kisiwa cha uvumilivu. Je sisi vijana tupo tayari vizazi vyetu vije viishi kwenye kisiwa cha uvumilivu kama sisi?? Tukumbuke...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Elimu ya mkoloni haikuanzishwa kwa Waafrika ili iwape maisha bali ili wawatumikie wakoloni ktk kada za mbovu

    Jitafakari!!
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kuboresha miundombinu mazingira gerezani hakuondoi kiu mfungwa kuwa huru , maendeleo makubwa ya kwanza yaliletwa na wakoloni lakini tulidai uhuru

    Watawala wengi wanashindwa kulielewa hili Makuburu walijenga miji mkubwa Sauth lakini bado walikataliwa Gadafi aliwapa Hadi huduma bure lakini alishindwa kujua wakati wa kuwapa uhuru wakamtoa
  18. W

    JamiiForums Tanzania Wakoloni waliyahusisha baadhi ya makabila kwenye Elimu, Ulinzi, Dini na Uongozi, kwanini wasukuma hawakuhusishwa licha ya idadi yao kubwa ?

    Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu. Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ? Ni kwamba nje ya...
  19. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ulaya Imezeeka: Tushangilie Anguko la Wakoloni Wetu Lakini Pia Tujipange kama Ndugu Zetu Wachina

    Utangulizi: Mwalimu Aliyepitwa na Wanafunzi Wake Ulaya. Bara lililowahi kuwa kitovu cha maarifa, maendeleo na utawala wa dunia. Waliwahi kuja Afrika wakiwa kama walimu, wakitutazama kama wanafunzi wasiokomaa, wakaandika historia yetu kwa kalamu zao na kutufundisha kuwa maendeleo yanakuja kwa...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania TANU na ASP vilikutana na vikwazo kama hivi kutoka kwa wakoloni

    Wakoloni walivizuia vyama vya TANU na ASP kushinda chaguzi kwa mbinu kama hizi zinazotumika sasa hivi kuzuia vyama vingine kushinda chaguzi. Kila mtu anajua na anaona kama uwanja wa uchaguzi hauko sawa kwa vyama vyote. Uwanja haukuwa sawa waziwazi wakati wa akina Nyerere na Karume wakidai Uhuru...
Back
Top Bottom