coronavirus

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Miss Zomboko

  #COVID19 Mamilioni ya Watu watumbukia katika Umasikini mkubwa kutokana na janga la CoronaVirus

  Kulingana na Benki ya Dunia, kati ya Watu milioni 88 hadi 115 wanasukumwa katika Umasikini kutokana na Janga la CoronaVirus, na wengi wanapatikana Nchi za Asia Kusini na Kusini mwa Jangwa la Sahara Makadirio yanaeleza Mwaka 2021, idadi hii inatarajiwa kuongezeka kati ya milioni 143 na 163...
 2. beth

  #COVID19 Marekani kufungua Mpaka wake wa Ardhi kwa waliopata Chanjo

  Marekani imesema itafungua Mpaka wake wa Ardhi na Mataifa ya Mexico na Canada kuanzia Novemba kwa Wasafiri waliopata Chanjo dhidi ya CoronaVirus. Taifa hilo lilibana masharti ya kusafiri kutoka Mexico na Canada tangu Machi mwaka 2020 ili kudhiti maambukizi. Hata hivyo, wale ambao bado...
 3. jollyman91

  #COVID19 Armenia to Manufacture "Sputnik Light" Coronavirus Vaccine

  A Russian-Armenian joint venture will manufacture a one-dose coronavirus vaccine in Armenia for domestic use. The Russian Direct Investment Fund (RIPF), in cooperation with the Armenian Ministry of Economy and leading Armenian pharmaceutical company Liqvor, will manufacture the Sputnik Light...
 4. Miss Zomboko

  #COVID19 Kenya kuanza kutengeneza chanjo ya Corona virus 2022

  Mwaka 2022 Kenya itaanza kutengeneza chanjo ya COVID-19 ndani ya nchi kwa kushirikiana na kampuni za dawa katika hatua ya kurahisisha usambazaji wa chanjo kwa watu wengi. Waziri wa Afya Mutahi Kagwe alitoa muongozo wa utengenezaji wa chanjo ya ndani, kwamba Kenya imeanza mchakato wa kujenga...
 5. mwehu ndama

  Watendaji wa Maabara ya Taifa ya Tanzania mmeshindwa kazi!

  Wakuu, Baada ya kukaa likizo bongo kwa wiki tatu nilifanya vipimo vya Corona na kulipia ada ya malipo ya Tsh. 230,000 siku ya Jumatano tarehe 4 ili nijiandae na safari yangu iliyokuwa jana siku ya Ijumaa tarehe 6. Cha ajabu mpaka ilipofikia lisaa limoja kabla ya muda wangu wa safari bado...
 6. beth

  #COVID19 Japan yashuhudia ongezeko la maambukizi. Hospitali kupokea walio hoi tu

  Japan inatarajia kubadili Sera ili kuweka kipaumbele katika kulaza Wagonjwa wa COVID19 wanaoumwa sana ili kuepuka kudhoofisha Mfumo wa Afya. Hivi sasa Taifa hilo linarekodi zaidi ya visa 10,000 kila siku. Wagonjwa wengine watatakiwa kubaki nyumbani na Serikali itahakikisha wanalazwa hali zao...
 7. Miss Zomboko

  #COVID19 Chanjo ya Coronavirus kuanza kutolewa kwenye Mikoa 10 ya Tanzania bara

  Mikoa hiyo ya kipaumbele ni Dar es Salaam, Mwanza, Kilimanjaro, Mbeya, Arusha, Kigoma, Singida, Dodoma, Iringa na Mtwara. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada...
 8. Miss Zomboko

  Iringa: Muda wa kuswali Misikitini wapunguzwa ili Kudhibiti Maambukizi ya Coronavirus

  Muda wa kuswali wapunguzwa Mkoani Iringa, kuanzia jana, muda wa kuswali katika nyumba za ibada umepunguzwa kutoka zaidi ya dakika 30 za awali hadi kati ya dakika 10 na 15 siku ya Ijumaa. Shehe wa Mkoa wa Iringa, Abri Said alisema utekelezaji wa maelekezo hayo ulianza jana katika misikiti yote...
 9. Miss Zomboko

  #COVID19 Serikali yakusudia kuchanja asilimia 60 ya Watanzania Chanjo ya Coronavirus

  Dar es Salaam. Baada ya chanjo ya Covid-19 kuwasili nchini Serikali imejiweka lengo la kuwachanja asilimia 60 ya Watanzania wote. Waziri wa Afya, Dk Doroth Gwajima amesema awamu ya kwanza ya chanzo hiyo itatolewa kwa makundi ya mstari wa mbele ambayo yatawekwa wazi siku ya kesho. Amesema kwa...
 10. Miss Zomboko

  #COVID19 UN: Mamilioni ya watoto wakosa chanjo za kawaida mwaka 2020 kwasababu ya Covid-19

  Umoja wa Mataifa umesema jumla ya watoto milioni 23 hawajapata chanjo za kawaida na hivyo kuwaweka katika hatari ya kupata surua pamoja na magonjwa mengine hatari. Kwa mujibu wa takwimu zilizochapishwa na Shirika la Afya Duniani, WHO pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia Watoto...
 11. Kasomi

  #COVID19 Jinsi Corona inavyoweza kuwa Fursa kwa jamii

  Hapa nitatolea mfano ambao upo unaishi jinsi mjasiriamali anavyo weza badili Tatizo kua Fursa. Dunia nzima bila shaka umekubwa/Ishawahi kukubwa na janga hili la CORONA Tangu mwaka 2019 ikiwa ni covid 19. Kwa wajasiriamali Kuna slogan ambayo hupenda kuitumia kwamba Badili Tatizo kua Fursa...
 12. Mathanzua

  2005 Report: Chloroquine is a potent inhibitor of SARS coronavirus infection and spread, so there is no justification for a vaccine

  Chloroquine is a potent inhibitor of SARS coronavirus infection and spread Martin J Vincent, Eric Bergeron, Suzanne Benjannet, Bobbie R Erickson, Pierre E Rollin, Thomas G Ksiazek, Nabil G Seidah & Stuart T Nichol Virology Journal volume 2, Article number: 69(2005) Cite this article 987k...
 13. Lorenzo Samike

  #COVID19 Corona iko maeneo gani Tanzania?

  Hey, Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania. Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani?? Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi. Kiuhalisia...
 14. Analogia Malenga

  #COVID19 Tanzania kujenga kiwanda cha kuzalisha chanjo ya Covid-19

  Serikali imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Virusi vya Corona hapa nchini ili kupunguza gharama ya kuagiza nje ya nchi na kuzifanya ziwe karibu na wananchi. Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Afya Prof. Abel Makubi amesema...
 15. beth

  Uhuru to vaccine sceptics: Some education about it is crucial

  President Kenyatta has now declared that no Kenyan will be forced to take the COVID-19 vaccination, which will be provided free of charge to all adults by the government. The Head of State who announced a slew of revised containment measures on Tuesday was addressing what he claimed were...
 16. Rufiji dam

  #COVID19 Maonyesho ya Sabasaba kipindi hiki cha Corona yana umuhimu gani?

  Muhimbili na KCMC tayari wamepuliza kipyenga cha tahadhari ya Covid 19 na kutoa maelekezo ba muongozo wa nini kifanyike. Dar inajiandaa na mkusanyiko mkubwa wa maonyesho ya kimataifa ya biashara katika uwanja wa JK Nyerere Kilwa Road. Tujiulize kuna umuhimu gani wa kufanya haya maonyesho...
 17. Miss Zomboko

  Uchangiaji Damu kwa hiari waathiriwa na huduma ya utoaji chanjo ya CoronaVirus

  Huduma za uchangiaji damu nchini Kenya zimeathiriwana na janga la Covid-19, kwani wachangiaji ambao wamepokea sehemu ya kwanza dozi au dozi kamili ya chanjo ya AstraZeneca wanapaswa kusubiri kwa angalau siku saba kabla ya kuchangia damu. Huduma ya Kitaifa ya Uchangiaji Damu nchini humo...
 18. Job Richard

  #COVID19 Benki ya Dunia yaahidi kuisaidia Tanzania kukabiliana na athari za Corona

  Benki ya Dunia (WB) imefungua dirisha kwa Tanzania la kusaidia kukabiliana na athari za ugonjwa wa Uviko 19 katika Sekta mbalimbali ikiwemo ya Utalii, biashara na bajeti ya Serikali. Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alipokutana na...
 19. beth

  Canada yaidhinisha Chanjo ya Pfizer kutumika kwa watoto wenye miaka 12-15

  Canada imeidhinisha matumizi cha Chanjo ya Pfizer katika kupambana na Virusi vya Corona kwa Watoto wenye umri kati ya miaka 12 na 15. Inakuwa Nchi ya kwanza kutoa idhini kwa walio na umri huo. Mamlaka imesema Chanjo ni salama na inafanya kazi inapotumika kwa walio na umri mdogo. Tayari Canada...
 20. Nyani Ngabu

  #COVID19 Mapambano dhidi ya COVID-19: Rais Samia anayo dhamira ya kweli? Kinachoendelea India kinatisha

  Hivi ni kweli kabisa Rais Samia ana nia ya kweli ya kupambana na COVID-19? Sijui kama na nyie mnafuatilia yanayoendelea huko India sasa hivi! Akina Narendra Modi walikuwa huko West Bengal wanapiga kampeni za kisiasa utadhani hamna kesho. Ona sasa kilivyoumana. Sasa kweli hiyo kamati...
Top Bottom