nguvu za kiume

  1. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume

    Yap! Nguvu za kiume ambazo kwa sasa ni gumzo. Zamani tulikuwa na utaratibu kila msimu wa mwaka majira fulani tunakunywa dawa za miti shamba za kusafisha tumbo. Naam...kusafisha tumbo manake magonjwa 98% chanjo ni tumboni. KUna dawa fulani ya miti inachemshwa inatoa rangi nyekundu kama mti wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, bawasiri inasababisha au ni chanzo cha upungufu wa nguvu za kiume?

    Wakuu nimekutana na haya madai kuwa upungufu wa nguvu za kiume unaweza kusababishwa na ugonjwa wa Bawasiri.
  3. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Juisi ya bamia inaimarisha na kuongeza mbegu za kiume?

    Matumizi ya juisi ya bamia yameendelea kutajwa na wadau wa tiba asilia na lishe kama njia moja wapo yenye ufanisi mkubwa katika kuongeza na kuimarisha nguvu za kiume. Bamia, inayojulikana kwa kuwa na ute na virutubisho vingi, inadaiwa kuwa na uwezo wa kuboresha afya ya uzazi na kuongeza hamu...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Utafiti jijini Mwanza umebaini dawa za Asili za Nguvu za kiume uchanganywa na Viagra dawa za hospitalini

    Katika utafiti uliofanyika ndani ya viunga vya Mwanza ambao ulihusisha kuzifanyia uchunguzi dawa za asili za Nguvu za kiume zinazouzwa na watu binafsi, makampuni au watu wa mitishamba na jadi. Dawa hizi za asili zilikutwa na mchanganyiko wa Sildenafil na Tadalafil, Dawa ambazo ni za hospitalini...
  5. betting machine

    JamiiForums Tanzania Nahitaji namba ya daktari wa afya ya uzazi kwa wanaume , nasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Nahitaji daktari humu ndani niwasiliane nae naombeni msaada wenu tafadhali
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaouza dawa za kuongeza nguvu za kiume kwanini ukweli kamili hamuusemi?

    Kwa kujiamini kabisa nasema kuwa Dawa zenu za Nguvu za Kiume zinachangia au zina ukweli wa 5% tu pekee ila ukweli kamili juu ta tatizo kubwa la sasa la Nguvu za Kiume kwa Wanaume wengi ni Uchumi kuwa mgumu huku Wanaume hao hao wenye hilo tatizo wakiwa tena wana Lundo la Mahawara achilia mbali...
  7. betting machine

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Miaka ya nyuma wazee ndio walikuwa na taitizo la nguvu za kiume. Now days ni vijana wadogo sababu ya Pombe na madawa ya kulevya

    Miaka ya themanini mpaka miaka ya tisimi mwishoni tatizo la nguvu za kiume lilikuwa linawasumbua sana wazee na ilikuwa ikisemekana kuwa sababu kubwa ni umri. Lakini sasa hivi vijana wadogo kabisa una kuta hawezi kupafom hii ni kwa sababu ya matumizi makubwa ya pombe na dawa za kulevya.
  9. VictoriaGreenHerbal

    JamiiForums Tanzania Aibu inaweza kuchelewesha kupona tatizo lako la Nguvu za kiume

    Aibu inaweza kuchelewesha kupona tatizo lako la Nguvu za kiume Nguvu za kiume kupungua ni changamoto ya kiafya, si kosa wala aibu. Mwanaume anayezungumza mapema ana nafasi kubwa ya kuelewa chanzo na kuchukua hatua sahihi.
  10. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Jinsi Energy drinks zinavyo chakaza mwili na kuua nguvu za kiume mazima.

    salaam, Wakuu kizazi hiki tunaangamia huku tunachekelea. Nimekutana na video ticktock MADHARA YA HIZI ENERGY. Oya weka dhamira ya kuachana nazo. Tazama mwenyewe link hapo chini https://vt.tiktok.com/ZSQEygmWJ/
  11. Hizbu Sharifu

    JamiiForums Tanzania Kukosa au kupungua nguvu za kiume

    AINA ZA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME Kwa bahati mbaya, wanaume wengi hukosa tiba sahihi za nguvu za kiume kwa kushindwa kutambua tatizo husika na dawa wanazopewa zinatibu tatizo gani. Zifuatazo ni baadhi ya matatizo yanayohusishwa na nguvu za kiume: Kukosa uwezo wa kuendelea baada ya bao la...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Vijana Wageukia Booster za Viagra na Vega 💯 Ili Kupata Nguvu za Kiume

    Wakati wanawake wanazidi kuwa warembo na wanahitajika kushughulikiwa ipasavyo Kwa upande wa wanaume Hali inazidi kuwa mbaya kufuata wengi wao kukosa Nguvu za kiume na kupelekea matumizi makubwa ya Viagra na Vega Ili kuji boost wasiaibike kitandani wakiwa na mashangazi wao na Mabinti. My Take...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dawa za kuongeza nguvu za kiume zitawamaliza wanaume wa Tazania

    Utafiti umeonyesha kuwa matumizi ya dawa za kuongeza nguvu kama vie Vega na nyinginezo husababisha vifo. Hii ni kwa sababu huongeza kasi ya mapigo ya moyo ili kusambaza damu kwa haraka na kusababisha kusaidia uume kusimama. Lakini wakati mwingine huwa zinasabisha madhara hadi kusababisha kifo...
  14. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Punyeto haimalizi nguvu za kiume mimi ni shahidi.

    Nimepiga puchu tangu nikiwa na miaka 11 leo nina miaka 44 lakini bado nipo ngangari kitandani.msidanganywe na wauza madawa mkapotezq ela zenu bule.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Je, njia ya kufunga uzazi kwa Mwanaume inapunguza nguvu za kiume?

    Hii dhana umekuwepo kwa Watu wengi sana, wapo wanaoamini kuwa Mwanaume akifunga uzazi basi inamaanisha nguvu zake za kiume nazo zinapungua. Wataalam wa Afya hawa hapa wanasema dhana hiyo siyo ya kweli. Wataalam wanasema “Njia ya kufunga uzazi kwa mwanaume (Vasectomy) haithiri nguvu za kiume...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Dawa za nguvu za kiume kutoka "sanitarium clinicks", ni tiba ya kweli?

    Habari wana jf? Hivi karibuni kumekuwa na utitiri WA DAWA za kuongeza nguvu za kiume HASA kwenye hizi "SANITARIUM CLINICKS", mpaka nachanganyikiwa kujua DAWA ipi inasaidia na DAWA Gani ni feki. Nimekuwa na tatizo Hilo Kwa mwezi Sasa na nilienda lupimo sanitarium clinic, wakanipa sawa zao...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Experience ya dawa za nguvu za kiume

    Tukiwa chuo kuna mwana alikuwa anapenda sana kitu inaitwa "Njoinjoi" bila shaka nitakuwa sijakosea. Kwenye story anatoa sifa sana kuhusu hii kitu. Mim sikuwahi kuitumia kwanza hata pisi tu kuzipata ilikuwa shida 😂. Mwaka 2022, kuna mwana nikakutana nae tena ananipa story za vitu unapaka...
  18. Thesonboy

    JamiiForums Tanzania Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri

    Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri.. Hii inajimuisha tunaosimamisha lege lege, kama utumbo, tunao mwaga ndani ya dk moja , tusio weza kurudia kabao kapili na hata tunao simamisha Kwa misimu kama mvua ya masika . Tupeana ushauri namna ipi tutoke kwenye hizi...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu nguvu za kiume

    Niko hapa kuwajibu maswali yote kuhusu matatizo ya nguvu za kiume.
  20. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania First aid: Tatizo la nguvu za kiume

    Habari, Hongereni kwa kutimiza majukumu yenu ya kila siku kuhakikisha tunasogeza mbele gurudumu la maendeleo binafsi, familia na taifa letu. Nimeamua kuandika uzi huu ili kuhakikisha pia tunajenga afya na kuendelea kutimiza majukumu yenu ya unyumba hasa kwa wanaume. Nimeleta hii huduma ya...
Back
Top Bottom