samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. APA CHICAGO

    Maadui wa 4R za mhe Samia Suluhu Hassan; Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Jana tarehe 01.07.2022 aliandika makala Kwenye gazeti la mwananchi yenye kichwa Cha habari miaka 30 tangu turejee katika mfumo wa vyama vingi. Katika makala hiyo mhe Rais ameandika mambo mengi yenye masrahi mapana na ustawi wa nchi...
  2. Stephano Mgendanyi

    Na Samia Suluhu Hassan: MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: Changamoto na Mustakabali kusonga mbele.

    MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: Changamoto na Mustakabali kusonga mbele Na Samia Suluhu Hassan LEO Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi. Katika kipindi hicho, taifa letu limepitia katika kipindi cha furaha, majonzi, misukusuko na changamoto zote wakati...
  3. Rashda Zunde

    Barua ya wazi ya Rais Samia Suluhu

    Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi katika kipindi hicho, Taifa letu limepitia kipindi cha furaha, majonzi, misukusuko na changamoto zote wakati Taifa linapoanza njia mpya. Jambo hili si jepesi, kwa sababu nyakati hizo hazikuwa rahisi duniani...
  4. J

    Rais Samia: Miaka 30 ya Vyama Vingi - Changamoto na mustakabali kusonga mbele

    Ameandika Rais Samia Suluhu Hassan: Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi katika kipindi hicho, Taifa letu limepitia kipindi cha furaha, majonzi, misukusuko na changamoto zote wakati Taifa linapoanza njia mpya. Jambo hili si jepesi, kwa sababu...
  5. N

    ACT Wazalendo kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan inaleta matumaini gani kwa siasa za Tanzania?

    Uhusiano wa utawala na chama tawala kwa upande mmoja na vyama vya upinzani kwa upande mwingne, haukuwa wa kuridhisha ukiringanisha na hali ilivyo hivi sasa chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Haikuwa ni hali ya kawaida kuona viongozi wa juu wa kisiasa wenye itikadi tofauti, kuketi pamoja...
  6. Rashda Zunde

    Faida ya ziara ya Rais Samia Suluhu nchini Oman

    Hati 4 za makubaliano zilizosainiwa baina ya Wizara za Tanzania na Oman 1. Ushirikiano katika masuala ya nishati ili kukuza taaluma na utaalamu 2. Ushirikiano katika Elimu ya Juu kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa wataalamu 3. Ushirikiano katika utalii kwa lengo la kuhamasisha uwekezaji na...
  7. GENTAMYCINE

    Kwahiyo tusiilamu Serikali ila tumlaumu Rais Samia Suluhu Hassan au?

    "Wananchi waache kuwa na lawama kwa sababu serikali yao iko makini sana katika kufanya tathmini ni aina gani ya mkopo iingie nchi yetu na ina tija gani kwa maslahi ya Taifa letu,"- Naibu Waziri wa Fedha Hamad Chande. Chanzo: EastAfricaTV Kama kuna mwaka ambao Tanzania ( Taifa ) letu hili...
  8. K

    Kwanini Ngorongoro?

    Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
  9. A

    Shaka Hamdu Shaka, tupia jicho Jimbo la Ukonga

    Hili Jimbo linadhalilisha sana Jiji la DSM na CCM na wapenda maendeleo. Mwenezi fumbua jicho lako eneo hili; linawadhalilisha, linawakosesha wananchi imani na Serikali akiwemo Rais mno. Shuka chini Shaka, usiishie kwa wajumbe watakudanganya kwa maslah madogo binafsi; kama anavyokudanganya...
  10. Roving Journalist

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Muscat nchini Oman kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu

    Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Muscat nchini Oman kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani Sultan Haitham bin Tariq Al Said wakati Wimbo wa Taifa wa...
  11. Jabali la Siasa

    SIMIYU: Rais Samia Suluhu tayari ameshinda Uchaguzi wa 2025 hata kabla ya kushinda ni mserereko tu

    BEI YA PAMBA JUU TENA,TOKA TZS 810 HADI TZS 1,800 MAKOFI KWA RAIS SAMIA Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg mpaka TZS 1,800/kg kwa kilo wakati huu wa Mama Samia Suluhu Hassan, Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% ambalo wakulima wanalipwa mkono kwa mkono tena by " Cash money"...
  12. Theb

    Hawataki kukubali ukweli kuwa Rais Samia anatuongoza vyema

    Habari wakuu sijawahi andika hapa kwenye hili jukwaa la siasa ila leo acha ni andike kidogo tu. Mhe Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye raisi wetu ameonyesha muelekeo mzuri kwa kiasi kikubwa katika uongozi wake japo ni mapema kidogo. Wapo watu bado sijui ni seme wana usingizi au bado giza...
  13. Makuku Rey

    Kwa hili LATRA wanamhujumu Rais Samia Suluhu

    Tunashukuru Bei mpya za mafuta zimetangazwa na zimeshaanza kutumika kwenye vituo vyetu vya mafuta kuanzia tarehe 1/6/2022. Lakini nnachojiuliza kwanini LATRA imepata kigugumizi kutangaza nauli mpya zilizoshushwa kwa daladala na mabasi ya mikoani? Mbona Bei ya mafuta ilipopanda kwa Tsh 100 tu...
  14. Rashda Zunde

    Makundi yanayomuunga mkono Rais Samia Suluhu

    Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania. Makundi hayo ni: -Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono ✅ Wamachinga ✅ Wanasiasa / Wanachama wao✅ Viongozi wa dini ✅ Bodaboda ✅ Wanawake ✅ Vijana ✅ Wazee ✅ Walemavu...
  15. K

    Rais Samia neema ilioletwa kurejesha utu na Haki za Binadamu

    May 13, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alikua mgeni katika maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC). Katika mkutano huo alitunukiwa tuzo ya kutambua mchango wake wa kulinda na kusimamia haki za binadamu na utawala wa sheria ikiwa ni...
  16. Replica

    Mzee wa upako: Haina maana Samia Suluhu anafurahia kifo cha Magufuli, ni ramani ya Mungu. Adai Magufuli alimwambia 'alideep' Urais

    Mzee wa upako akiwa kwenye kongamano la viongozi wa dini la kumuombea na kumpongeza Rais Samia ameongelea kuhusu uongozi na ameongelea jinsi viongozi wa Tanzania walivyopatikana ikiwemo Samia, Magufuli na mwl Nyerere. Mzee wa Upako(Anthony Lusekelo): Wakati Jakaya anamaliza uenyekiti wa chama...
  17. Rashda Zunde

    Inapoenda Tanzania na Rais Samia Suluhu

    1.Rais Samia Suluhu Hassan Mei 14,2022 aliidhinisha ongezeko la karibu 25% la kima cha chini cha mshahara,na hivyo kuashiria kupotoka kwa sera za mtangulizi wake huku kukiwa na maandamano kuhusu gharama ya juu ya maisha. 2.Rais Samia aliamua nyongeza ya 23.3%,huku akiongeza mishahara ya...
  18. Getrude Mollel

    Mna macho lakini hamuoni, Rais Samia Suluhu ameweka rekodi nyingine

    Bila shaka mmeona viwango vipya vya mafao kwa wastaafu ambavyo vimetangazwa hivi majuzi. Ikumbukwe kwamba, Rais Samia anasiku 433 madarakani na amefanya mambo makubwa sana kana kwamba amekaa madarakani miaka 5 au 10. Ngoja niwape na hii leo.. Picha linaanza kwamba, Kikokotoo kipya cha mafano ya...
  19. Getrude Mollel

    This has never been done before, but Samia Suluhu is doing it

    We all know how hard it has been for our people in Tanzania to access clean water for drinking and other domestic activities. There have been a lot of promises from politicians, and a lot has been done to mitigate the water crisis in Tanzania, but unfortunately, not much has been achieved to...
Back
Top Bottom