john magufuli

 1. Meneja Wa Makampuni

  Kama kweli unamchukia Hayati Magufuli fanya haya utuachie tunaompenda

  Usipite na gari lako Kijazi interchange. Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi. Fanya hivyo boss utakua na amani. Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote. Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data...
 2. Megalodon

  Ni kosa kumlinganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

  Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na alikuwa MZALENDO wa kweli as compared to Samia. Samia aliingia kwa mbwembwe na vigelegele pamoja na...
 3. kipara kipya

  Watu wema watakumbuka mema, watu wabaya watakumbuka mabaya tuendelee kumuombea!

  Duniani tunapita hakuna kitakachobakia siku zote watu wema hawana maisha ukiamua kujitolea ujue maisha yako ni mafupi. Wengi wanaachia mbuzi kula kwa urefu wa kamba kwa kuogopa kufupisha maisha watu waovu huishi maisha marefu ili wapate kuja kuhadithia yale mema ya watu wema waliyoyatenda watu...
 4. Mwande na Mndewa

  Hayati Rais John Magufuli anaishi katika mawazo na fikra za Watanzania

  Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki mpaka siku mtu wa mwisho anapoacha kumuwaza,yani ukimfikiria,ukimkumbuka,ukimtaja,anaendelea kuishi katika mioyo ya...
 5. Tabutupu

  How President Magufuli Transformed Tanzania's Roads into the Best in East Africa - The Architect of Tanzania Highways

  John Magufuli, the late president of Tanzania, played a key role in making sure that Tanzania has the best roads in East Africa. He made road construction and maintenance a top priority of his government, and he also implemented a number of policies that helped to improve the country's road...
 6. mdukuzi

  Nilivyotinga kongamano la Hayati John Magufuli UDSM mwaka 2018 na kukaa VIP bila kualikwa wala kustukiwa

  Nakumbuka mwezi November mwaka 2018,pale chuo kikuu cha Dar es salaam sehemu ya mlimani ukumbi wa Nkrumah kulikuwa na kongamano la kujadili miaka mitatu ya hali ya uchumi na siasa kwa miaka mitatu ya utawala wa Hayati Magufuli. Binafsi nilifahamu hali ya kisiasa na uchumi nchini haikuwa nzuri...
 7. Nyankurungu2020

  Imekuwa mapema sana hayati John Magufuli kukumbukwa tofauti na Lumumba, Thomas Sankara na akina Nkrumah

  Kiongozi mzalendo ni mzalendo tu. Lazima mema yake kwa taifa lake ya outweigh mabaya yake. Leo hii hata miaka mitattu haijakatika kila mtu anakumbuka na ina bakia story tu kuwa angekuwepo hii nonsensical deal or contract isingefanyika. Huko Congo Drc leo wanatamani kupata Lumumba mwingine...
 8. BARD AI

  Mahojiano ya mwisho ya Membe akieleza sababu za kutoelewana na Magufuli

  Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya asielewane na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli. Membe ambaye ni mmoja wa mashushusu hodari nchini, amesema Rais Magufuli, pamoja na mambo mengine, alimfitini...
 9. ChatGPT

  Mazungumzo ya Bernard Membe na John Magufuli Baada ya Kukutana Mbinguni

  Mara tu baada ya kuwasili mbinguni, Bernard Membe anakutana na Rais John Magufuli wanasalimiana na kuanza kuzungumza, ila punde si punde Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere anawajoin. Membe alimuuliza Mwalimu Nyerere kama alikuwa amefurahishwa na jinsi Tanzania ilivyokuwa ikiendelea tangu...
 10. F

  Kuna haja kwa Watanzania kumsamehe hayati Dkt. John Magufuli. Nini kifanyike?

  Ni miaka miwili kamili leo hii tangu aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania hayati John Pombe Magufuli afariki dunia. Kifo cha Magufuli kilipokelewa kwa hisia tofauti na watanzania wengi wakionesha kushtushwa na kifo cha ghafla cha rais aliyekuwa madarakani...
 11. Chibudee

  CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

  Amesisitiza kuwa Serikali imeamua kutowazuia Watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa kutambua madhara mkubwa yanayoweza kutokeza kwa kufanya hivyo. Aidha, amesema madhara hayo yanaweza pia kuziathiri nchi 8 ambazo zinatengemea kupata huduma na bidhaa kupitia Tanzania hususan bandari ya...
 12. Meneja Wa Makampuni

  Rais Magufuli alitekeleza sera kadhaa za viwanda zilizolenga kukuza viwanda vya ndani na kupunguza utegemezi

  Rais John Magufuli alitekeleza sera kadhaa za viwanda zilizolenga kukuza viwanda vya ndani na kupunguza utegemezi wa bidhaa kutoka nje. Baadhi ya sera kuu ni pamoja na: Marufuku ya uagizaji wa bidhaa zinazoweza kuzalishwa nchini: Mwaka 2020, Rais Magufuli alipiga marufuku uingizaji wa bidhaa...
 13. R

  Anayejua Viwanda vilivyojengwa na Hayati Rais Dkt. John Magufuli anioneshe vilipo

  Habari ndugu zanguni. Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo Watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda. Ni viwanda vile tulivyoimbiwa nyimbo na mapambio na wanaccm kwamba vinajenga na kila siku vilikuwa...
 14. system hacker

  Kenya 2022 Uchaguzi Kenya unatukumbusha mtanange wa Hayati John Magufuli vs Edward Lowassa

  Odinga atapata kura sio zaidi ya milioni 8. William Ruto kura si zaidi ya milioni 6 Ndivyo itakavyotokea. Hata kwa akina Magufuli vs Lowassa ilitokea hivi. Lets wait and see!
 15. Replica

  Mzee wa upako: Haina maana Samia Suluhu anafurahia kifo cha Magufuli, ni ramani ya Mungu. Adai Magufuli alimwambia 'alideep' Urais

  Mzee wa upako akiwa kwenye kongamano la viongozi wa dini la kumuombea na kumpongeza Rais Samia ameongelea kuhusu uongozi na ameongelea jinsi viongozi wa Tanzania walivyopatikana ikiwemo Samia, Magufuli na mwl Nyerere. Mzee wa Upako(Anthony Lusekelo): Wakati Jakaya anamaliza uenyekiti wa chama...
 16. P

  Tuzo aliyopewa Rais Samia na shukrani zake kwa mtangulizi Hayati John Magufuli

  Unaweza ukamkejeli kadri unavyojisikia kwamba alikuwa mtesaji, alikuwa mkabila alikuwa mkatili. Unaweza ukamsimanga kadri ya uwezo wa akili yako utakavyokuwezesha, hataweza kukujibu amelala usingizi wa milele na hataweza kuamka. Amepumzika nyumbani kwake Chato, na siku alipokuwa njiani kuelekea...
 17. nyboma

  Rais Samia kuwa mwangalifu, hawa wanaomsema Hayati Magufuli ndio watakusema ukiondoka madarakani

  Rejea kichwa cha habari Siku ukiondoka madarakani utasemwa sana, na katika mwaka wako wa uongozi umeonesha udhaifu tayari hasa katika suala zima la ROYAL TOUR, inasemekana watu wamepiga pesa na kukuachia msala maana hatimiliki iko chini ya Peter Greenberg na Tanzania haijanufaika na chochote...
 18. BigTall

  Umoja Party waelezea sababu ya kutumia picha ya John Magufuli

  Mwanzilishi wa Chama cha Umoja Party, Seif Maalim ametoa sababu za kwanini chama hicho kinatumia picha ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika fulana zao. Maalim amesema chama hakina nia mbaya kutumia picha hiyo kwa kuwa ni moja ya njia ya kujitangaza kwa wananchi. "Unajua sera zetu...
 19. Mpinzire

  Dkt. Slaa kuongoza kongamano kujadili falsafa ya Hayati Magufuli

  Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli. Kongamano hilo litakalofanyika Ijumaa Machi 25, mwaka huu katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Mwanza pia linalenga kufanya...
 20. G Sam

  Kama Hayati Magufuli alikuwa anaipeleka nchi shimoni tujuzwe. Watendaji wengi aliowafurumusha wamerejeshwa huku wake wakifurumushwa

  Watendaji wengi ambao hayati Magufuli alikuwa akiamka ama usiku wa manane akiwafurumusha hatimaye wengi wanarejeshwa kwa kasi tena wakipanda vyeo maradufu. Kwa uchache 1. Lawrence Mafuru alifurumushwa kutoka msajili hazina kwa kupinga kuwa hakuna mkurugenzi anayelipwa milioni 15. Leo...
Back
Top Bottom