Shaka Hamdu Shaka, tupia jicho Jimbo la Ukonga

Acholile

Member
May 30, 2022
91
59
Hili Jimbo linadhalilisha sana Jiji la DSM na CCM na wapenda maendeleo.

Mwenezi fumbua jicho lako eneo hili; linawadhalilisha, linawakosesha wananchi imani na Serikali akiwemo Rais mno. Shuka chini Shaka, usiishie kwa wajumbe watakudanganya kwa maslah madogo binafsi; kama anavyokudanganya Katibu wa Wilaya na Mwenyekiti. Huku Ukuriyani kwa dhiki zilizopo wapinzani 2025 hawahitaji nguvu kabisa.

Kwanza halina Mbunge ila lina msanii fulani ambae anajua Sanaa ya Wakazi wa Ukonga. Jerry si mkazi wa Ukonga hivyo hawezi kujua shida za wana ukonga; anaishi zake kwa Miraji JK huko town habari za huku mashambani hana.

Katibu wake nae ni mbombo ngafu; akishirikiana na Diwani wa Kipunguni pamoja na Shosti wa karibu wa Mbunge Slaa (Diwani wa Pugu Kajiungeni - Imelda)!(Hii mada nyingine ya mashosti hawa wawili diwani Imelda na Mbunge Jerry tukiwa tunazungumzia mambo ya hali ya hewa hususan- 🌈 🏳️‍🌈 🌈) hawana la muhimu zaidi ya Kurusha vi clip vya anavyoipenda ukonga ktk wasap groups na visingizio eti TUMUUNGE MKONO MBUNGE 2025 KWANI ANAUPIGA MWINGI KIMYA KIMYA.

Matumaini yake kwa wana ukonga hawatamuangusha; ni kweli kabisa. Wajumbe asilimi 98 wa jimbo la ukonga wamechoka maisha yamewaburuza na shule imewakokota; hii inampa SHANGWE Jerry kuwa hana kazi nzito zaidi ya kuwaandalia elfu 5 tano tu, Ubunge anaupata.

Kwa mantiki hii hana haja ya kuwakilisha vilio vya wana ukonga. Ni kuandaa fedha kiasi tu tu
Ndio maana Jimbo hili litaendelea kuwa la mwisho DSM hadi Tanzania kwa miundo mbinu ya hovyo.

Ukonga wana jiita wakaxi wa Jiji la Dsm lakini miundo mbinu ya barabara ni kichefu chefu, maji safi umiondoa maeneo machache ni story, vituo vya afya, masoko, madaraja hizo ni ndoto.

Ni Jimbo pekee ambalo ukiwa Pugu mnadani unaelekea ulongoni utahitaji kubebwa na wahuni kwa 1500 ili wakuvushe, kama ambavyo Magole wanataabika.

Bila wana CCM (wajumbe wa jimbo) kubadilika tusitarajie mabadiriko Ukonga NA MBUNGE SLAA ATAENDELEA KUTUCHEZEA NA KULIA BUNGENI SABABU YA KUKOSA TENDA ZA KUWA SUB CONTRACTOR WA BARABARA ZA MWENDO KASI KWENYE KAMPUNI YA MPYA YA UJENZI YA MHESHIMIWA NAIBU WAZIRI (FROM MSOGA FAMILI) AMBAYO JERRY NI SHAREHOLDER.
 
Bila kusahau jimbo la Kibamba...barabara, maji,..hovyo kabisa.
 
Mbunge wake aliunga mkono juhudi
Ile biashara ya kununua binadamu iliishia wapisijui
 
Back
Top Bottom