samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Rais Samia Suluhu Hassan mfukuze kazi Waziri Mwigulu Nchemba kuepuka wananchi kukufukuza wewe kazi 2025

    Ukweli mchungu kwa Rais Samia, Serikali na chama-tawala CCM ni kwamba wananchi wamechoshwa mno na janga la ufisadi uliobadilika na kuwa utamaduni wa watendaji wa Serikali ya CCM. Kitendo cha afisa wa umma TRA kukutwa na pesa taslimu nyumbani kwake 7bilioni ni ishara mbaya sana. Huyu ni...
  2. FaizaFoxy

    Rais wa kwanza wa Tanzania mwenye asili ya Zanzibar ni Samia Suluhu Hassan

    Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu. Mama Samia Suluhu Hassan ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar. Ma shaa Allah, ukiisoma historia yake utaona kuwa kila sehemu ya kazi...
  3. Tlaatlaah

    Rais Samia ni lulu ya amani, upendo na umoja wa kitaifa

    Ni Nuru, Faraja na Tumaini la ndoto za Watanzania wengi. Ni kichocheo cha mshikamano na maelewano ya waTanzania bila kujali mirengo ya kisiasa, kanda atokayo, rangi, dini au kabila. Ni kielelezo cha thamani cha Taifa, nembo, alama na nguzo ya amani na umoja wa kitaifa katika sura ya kimataifa...
  4. B

    Itapendeza baada ya Dr Samia Suluhu, atuachie Mwanaye kama Ni Abdul au mwingine itapendeza

    Hakuna ubishi kwamba Uwezo wa Dr Samia Suluhu wa kuongoza Nchi hadi ikatulia tumeuona. Japo kuna changamoto ndogo ndogo za Hapa na Pale. Napendekeza Baada ya Dr Samia kupitia Chama cha Mapinduzi tumpitishe Mwanaye. Sababu ya kusema hivi ni kutokana na uzoefu kwamba Mtu akiwa na Roho Nzuri pia...
  5. benzemah

    TANZIA Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari

    Taarifa za awali kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Tixon Nzunda pamoja na dereva wake wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea eneo la Mjohoroni mkoani humo. Bado mamlaka husika hazijatoa taarifa juu ya ajali hiyo. Picha kutoka eneo ilipotokea...
  6. Magazetini

    Orodha ya mikopo iliyokopwa awamu ya sita tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani March 19, 2021

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha trilioni 91 kwa miaka 3 iliyokuwa madarakani kutoka trilioni 60 iliyoachwa na Serikali ya awamu ya tano...
  7. U

    Rais Samia akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika pamoja na wajukuu zake Ikulu Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka. Katika kuadhimisha siku hii, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa Serikali, familia na jamii...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Maajabu ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani Machi 2021 baada ya kifo cha ghafla cha mtangulizi wake, Dkt John Magufuli. Ingawa amekuwa wa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini Tanzania, amekabiliana na changamoto nyingi na kuboresha hali ya nchi kwa njia nyingi ambazo zimeleta...
  9. peno hasegawa

    CCM: Bado kuna tofauti kubwa kati ya Tanzania ya Magufuli na Tanzania ya Rais Samia Suluhu

    Bado kuna baadhi ya tofauti kubwa kati ya Tanzania ya Magufuli na Tanzania ya Rais Samia Suluhu. Hapa ni baadhi ya mambo muhimu: 1. Uongozi na Mtazamo: Rais Magufuli alikuwa na mtazamo tofauti kuhusu masuala ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ikilinganishwa na Rais Samia. Magufuli alijikita sana...
  10. Mturutumbi255

    Mada Changamshi: Je, Rais Samia Suluhu Hassan Anatakiwa Kugombea Muhula Mmoja tu?

    Ndugu wananchi na wanachama wa vyama vyote vya siasa, leo tunakutana kujadili suala nyeti na lenye umuhimu mkubwa kwa mustakabali wa taifa letu. Tangu Rais Samia Suluhu Hassan achukue madaraka baada ya kifo cha ghafla cha Rais John Pombe Magufuli, kumekuwa na mijadala na mitazamo tofauti kuhusu...
  11. Magazetini

    Hali ya uchumi ya Taifa 2023 na mpango wa maendeleo wa Taifa 2024-25

    Leo Bungeni waziri wa uchumi na uwekezaji, Kitila Mkumbo anawasilisha Hali ya uchumi ya Taifa 2023 na mpango wa maendeleo wa Taifa 2024-2025. Taarifa hii ndio msingi wa bajeti ya Serikali inayotarajiwa kusomwa baadae leo na waziri Mwigulu Nchemba. Kaa nami =======...
  12. Kabende Msakila

    PreGE2025 Rais Samia Suluhu Hassan anamheshimu Lissu, why Lissu hajiheshimu?

    Wapenda amani SALAÀM! Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:- Mbn Lissu anatukana sana? Mbn Lissu anadhihaki sana? Mbn Lissu anakera sana? Mbn Lissu anachokoza sana? Rais kwa kutambua utu wa binadamu amemrejesha Lissu nchini toka nje...
  13. J

    Prof Kitila: Tuna Mashirika 304 lakini yaliyotoa Gawio ni 145. Jumla ya Gawio ni tsh 637 billion ambapo tsh8.8 bil ni Dividend na 358 bil ni Michango!

    Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema kuna mashirika 304 nchi nzima lakini yaliyotoa gawio ni 145 tu na 159 hayajatoa. Kitila amesema jumla ya Gawio ni tsh 637 billion ambapo tsh 8.8 billion ni Gawio kutoka kwenye Faida( Dividend) na tsh 358 billion ni Michango na ifikapo June 30 Gawio...
  14. Nyendo

    PreGE2025 Rais Samia: Mnashuhudia matusi ninayotukanwa lakini sijibu najigeuza chura

    Na mimi kazi mliyonipa nasimama na ninaifanya na mnashuhudia matusi ninayotukanwa mpuuzi, hana maana, huyu Bibi ana hivi, mambo tele lakini najigeuza chura. Kwahiyo nyingi zinapigwa kelele wakiona haujibu sasa tulitukane litajibu ama halijibu, sijibu nageuza chura masikio sisikii kabisa...
  15. M

    Swali muhimu: Anayefanya Uteuzi ni Rais Samia au Idara ya Usalama wa Taifa?

    Naona kila kona sasa hivi ni juu ya mafyongo ya teuzi. Nakumbuka enzi za hayati Julius (Mwl) mtu alikuwa akipata taarifa za teuzi zake kupitia RTD na unakuta mtu yupo baa, nyumbani au kilabu cha Pombe ndio saa mbili usiku anasikia kuteuliwa kwake. Ila nasikia enzi hizo ni idara ilikuwa kifanya...
  16. Roving Journalist

    Rais Samia Suluhu asema uwekezaji wa kweli katika Nishati ni kuwekeza katika Nishati safi ya kupikia Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiambia Dunia kuwa uwekezaji wa kweli katika nishati ni kuwekeza katika nishati safi ya kupikia barani Afrika. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati anahutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Korea na Afrika unaofanyika Seoul, Korea...
  17. peno hasegawa

    President Samia Suluhu Hassan will receive another honorary doctorate in aviation management from Korea Aerospace University (KAU)

    President Samia Suluhu Hassan will receive another honorary doctorate in aviation management from Korea Aerospace University (KAU) during her visit to South Korea. This will be her fifth honorary degree since she came to power on March 19, 2021. The degree will be awarded in honor of her...
  18. chiembe

    Rais Samia CCM watoe amri mfumo wa PEPMIS usimame kwanza mpaka pale mtandao wao utakapokuwa na nguvu

    CCM ni chama chama wakulima na wafanyakazi, lazima kiwasemee watu hawa. Ni wapiga kura wake. Katika pitapita zangu mitaani, ni hofu imetanda miongoni mwa watumishi wa umma. Watumishi wa umma wamewekewa mfumo wa kutathmini kazi zao, na wanatakiwa wajaze taarifa zao humo. Kwa mujibu wa...
  19. N

    Rais Samia Suluhu Hassan anatazamia kutafuta mikopo zaidi toka China wakati wa Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika mwezi wa 9

    Rais Samia Suluhu Hassan atatembelea China mwezi Septemba kwa ajili ya Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Focac) ambapo anatarajiwa kusaini mikataba mipya ya mkopo huku Tanzania ikianza kutekeleza sera mpya ya mambo ya nje iliyofanyiwa marekebisho. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma

    Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma Mbunge wa Kasulu Vijijini mkoani Kigoma, Augustine Vuma amesema kazi kubwa ya kumtua mama ndoo kichwani inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Maji imeleta mabadiliko makubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji...
Back
Top Bottom