NYASI-MSESE
Member
- Jun 16, 2015
- 31
- 59
Weatherman wa Kenya wamesema kutokana na data za satelaiti, Mvua za El Nino zinazotarajiwa hazitakuwa kubwa kama ilivyotabiriwa hapo awali.
Je, upande wa TMA wao data zao za satelaiti zinaonesha nini maana matangazo yao hayana ukweli bali pata potea.
Tunaona halmashauri nyingi wapo busy kupiga pesa za kusafisha mifereji ya maji.
Hivi na ule mpango wa kurusha Satellite angani umefikia wapi?