Kuna sisi tuna vibe la kibongo bongo pesa inatutembelea kwa wakati😅...
Tusivunge wakuu ,ebu tufanye kutamba 😆....
Japo nikidogo tu ila kuna namna tunaishi😇...
Bongo wanaoishi maishi ya kula bata kwenye yachi ya kifahari hawazidi 50 kwa sasa😅😅
Habari wakuu nimeona post moja huko mtandaoni kumhusu nikashawishika kupata taarifa kumhusu huyu muhubiri/mchungaji aliyekuwa anaitwa Moses Kulola,
Nasikia juu juu tu kwamba ni mchungaji ambaye alifanya mambo makubwa kipindi hicho,
Kwa wewe ambaye ulikuwepo kipindi hicho ni nini uliwahi...
Kama wewe ni Mtumishi wa Umma na Umeomba uhamisho kutoka Taasisi Moja na kwenda nyingine basi tukutane hapa kwa ajili ya kupeana updates, najua kuna watu maombi yao yamefika Utumishi siku na miezi mingi imepita bila majibu basi tuzidi kupeana infos hapa ili kama wewe mwenzetu umefanikiwa...
TIMU ZITAKAZO SHIRIKI MSIMU HUU:
Arsenal
Aston Villa
Bournemouth
Brentford
Brighton & Hove Albion
Chelsea
Coventry City
Crystal Palace
Everton
Fulham
Hull City
Ipswich Town
Leeds United
Liverpool
Manchester City
Manchester United
Newcastle United
Nottingham Forest
Sunderland
Tottenham Hotspur...
Weka hapa linalokusumbua.. Lakini Kama unahofu ya kutumia jina lako.. Unaweza kuwasililiana na Moderator akakuweka anonymous
Vijana wamevurugwa mentally.
Vijana wengi hawana sexual awareness
Vijana wengi wanateseka na uraibu
Vijana wengi wanateswa na mahusiano
Vijana wengi wanatepelika kwa...
Naona vijana mnajifanya mna vipaji.
Mnajifanya wachanaji.
Sasa nimewaita hapa mkutane na muuaji.
Awapelekee moto mshindwe hata kuomba maji.
Halafu kila mtu awe jaji.
secretarybird
Jobless_Billionaire
Al-mukheef
KERATO MOMBAA
Hizi ni tabia zinakufanya uendelee kuwa fukara. Mtajazia nilizosahau.
1. Kutojiambia ukweli kuhusu makosa yako na kuchukua hatua badala yake unatafuta visingizio na kujifariji kipuuzi.
2. Kuwa na matumizi makubwa kuliko kipato chako. Acha tamaa. Kama uwezo wako ni dagaa kwa sasa usilazimishe...
Habari za wakati huu;
TRA Tanzania
Jana niliweka uzi hapa kuhusu changamoto ya IP blocking katika Mfumo mpya wa IDRAS
https://www.jamiiforums.com/threads/tangu-mfumo-mpya-wa-tra-kuanza-kuna-changamoto-ya-ip-kuwa-blocked-mnakwama-wapi.2421098/
Nawapongeza kwa kufanya marekebisho na sasa naona...
Hallo. Hbr wana JF.
Natumaini kila mtu atakuwa ashasikia kuhusu CLOUD SERVER, kama vile DropBox, Google cloud etc. Hizi huduma huwa zinapatikana kwa mothly rental fee au bure kwa limited access. Mfano Dropbox wanakupa only 2GB, huku Google wakikupa bure 15GB ya kuhifadhia data zako.
Huduma...
Habarini
Naomba huu uzi uwe ni daraja la kuwatumbua wote wenye elimu za kuunga unga ili iwe kama tahadhari kwa wanaowateua na kuwapa nafasi.
Hapa zitawekwa CV zao na itakua kama database ya wenye elimu za hapa na pale wote Tanzania nzima
Karibu
Hamjambo wakuu!
Poleni wote kwa yote yaliyotokea. Waliopoteza wapendwa wao, waliopata majereha, waliopoteza mali iwe kwa kuibiwa au kuchomwa moto. Na zaidi Mungu awape pumziko linalowastahili waliopoteza maisha.
Upande wangu mambo yalikuwa magumu sana ukizingatia ninapoishi na karibu kabisa na...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza tunaomba wanabodi mtiririke hapa.
Tuna kazi kubwa iliyotukuka Oktoba 29.
Mimi ninashughulika na makazi ya Mbunge wangu wa Ukonga Jerry Silaa.
Wanasiasa wamekua wakitoa ahadi ya mambo ambayo wanapaswa kufanya kwakuwa wanakusanya kodi, sasa Je, ni ahadi zipi ambazo unajua kabisa ni kama mama anamwambia mwanaye baba yule anaendesha ndege anaelekea Ulaya, zile za utotoni?
Mgombea Ubunge Moshi- Nitafufua viwanda vyote vilivyofilisiwa na...
Habari zenu wanaJF wenzang
Wakuu kuanzia leo, uzi huu utakuwa unakusanya taarifa, picha, video, vituko na matukio mbali mbali yatakayokuwa yanafanyika katika kampeni za vyama mbali mbali, ili kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi October mwaka huu.
Kama una taarifa, una...
Habari zenu wakuu.
Baada ya kukutana na vijana kadhaa wanatamani wamiliki gari used kuwahi shughuli zao ila bajeti haitoshi, Yaani ni kazi kukusanya milioni 5 au 4 kwa pamoja.
Naielewa vyema hali hiyo nami nilipitia nikianza maisha ya kujitafuta. Sasa nimekuja na plan kuwawezesha kutimiza...
Ndugu
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu,huu ni Uzi Maalum wa kutoa neno la faraja na kumtakia Heri kiongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu A Lissu aliyepewa kesi ya uhaini na kuwekwa death row pale ukonga huku akikumbana na manyanyaso chungu nzima kutoka Kwa askari magereza...
Duh, kama hizi ndio faida za bia/pombe, basi akili zetu zinahitaji 'reforms'"
Kaa siti ya mbele, nikusimulie vituko na mikasa ya kweli iliyosababishwa na wanywa bia/pombe, halafu ujibu swali langu: "vituko na mikasa hii ndio faida za bia/pombe?"
SEHEMU YA KWANZA(I)
Visa na vituko vifuatavyo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.