Marekani imewalipa wadukuzi wa mtandao waliodukua system za bomba la matuta na kusababisha uhaba mkubwa wa mafuta kwa siku 5

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,039
Bomba kubwa la mafuta nchini Marekani limeripotiwa kuwalipa wahalifu wa mtandaoni wanaofahamika kama DarkSide kiasi cha dola milioni tano $5m (£3.6m) kama kikombozi ,baada ya bomba hilo kuvamiwa mtandaoni.
Bomba la Colonial lilikuwa linapata wakati mgumu kufanya shughuli zake baada ya kudukuliwa mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha kuzimwa kwa huduma za mtandaoni katika bomba hilo kwa muda wa siku tano na hivyo kufanya usambazaji wa mafuta kuwa mgumu katika maeneo yote Marekani.
Ripoti kutoka CNN, the New York Times, Bloomberg na the Wall Street Journal all zinasema kikombozi kililipwa kwa kunukuu vyanzo vyake.

Source BBC
 
Back
Top Bottom