Mamlaka ziweke matuta barabarani Tegeta Kibaoni, kuna matukio mengi ya ajali kutokana na mwendokasi wa magari

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Barabara ya Tegeta Kibaoni mpaka Mbezi kupitia Madale Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kutokea mtukio ya ajali, kuna baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na ajali hizo.

Tatizo zaidi lipo hasa kipande cha kuanzia Wazo Kontena hadi Flamingo, magari yanakimbia kwa kasi sana, tunaomba Serikali ituwekee matuta angalau mwendokasi wa magari na pikipiki upungue kwa kuwa umekuwa chanzo cha matukio mengi ya ajali.
 
Back
Top Bottom