gairo

Gairo District is one of the seven districts of the Morogoro Region of Tanzania, East Africa. It is located in the northwest corner of Morogoro Region. The administrative seat is in the town of Gairo.

View More On Wikipedia.org
  1. Hismastersvoice

    Watanzania tususe kupanda mabasi ya Shabbiby wa Gairo

    Leo kupitia magazeti nimekutana na habari isemayo walipa kodi waongezewe kodi kwenye laini za simu, kama alivyopendekeza mheshimiwa asiyelipa kodi kwenye mshahara wake. Mheshimiwa huyu ni mmiliki wa mabasi ya Shabbiby wa Gairo Morogoro japo anatambulika zaidi Dodoma huenda kutokana na Gairo...
  2. Trubarg

    Sababu gani inafanya mji Gairo kuwa na matuta mengi Barabarani

    Habari wadau, Naomba kufahamu sababu inayofanya mji wa Gairo kuwekwa matuta mengi kuliko mji wowote Tanzania. Matuta yanaanzia pale unaingia mjini mpaka unapoumalza mji zaidi ya km 10.
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Norah Mzeru Akabidhi Mashuka Yaliyotoka kwa Rais Samia Hospitali ya Gairo na Mafiga Morogoro

    MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MASHUKA YALIYOTOKA KWA RAIS SAMIA HOSPITALI YA GAIRO NA MAFIGA MKOANI MOROGORO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 17 Februari, 2024 baada ya Bunge kuhitimishwa amefika Hospitali ya Wilaya ya Gairo na Mafiga zilizopo Mkoa wa...
  4. mahahila

    DED wa Gairo ana kiburi na majivuno, Waziri Mchengerwa fuatilia hili

    DED Gairo amekuwa kiburi na majivuno, halipi stahiki za watumishi akisema mapato madogo lakini yeye kutwa safari na anajilipa, anatukana watumishi bila kujali umri maana wengine wamemzidi sana. Anambeza na kumdharau DC wa Gairo ikiwa ni boss wake. Waziri Mchengerwa fatilia hili, watumishi Gairo...
  5. lufungulo k

    Pongezi kituo cha afya GAIRO

    Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Serikali na kituo cha afya GAIRO, nimekwenda kupata HUDUMA majira ya saa 14:00. Nimepokelewa vzr, toka mapokezi mpaka kwa daktari. Baada ya maelezo kwanza nimepimwa pressure. Kisha nikaelekezwa niende MAABARA. nimechukuliwa vipimo. Jamani hili kipindi cha...
  6. E

    CDF mteule Jenerali Mkunda ni Mkagulu toka Wilaya ya Gairo

    Ndugu zake wengi wako wilaya ya Mpwapwa maeneo ya kijiji cha Bumila pia wako kitongoji cha Ng`ambo mjini Mpwapwa. Amefanana kabisa na Mkunda yule aliyekuwa amemuoa Dr. Mkunda yule alikuwa daktari wa meno hospitali ya wilaya Mpwapwa na Dodoma (wote wawili ni marehemu kwa sasa). CDF huyu ni...
  7. T

    Je, ni kweli kuwa hadi Rais Magufuli anafariki mfuko wa UREA Kg 50 ulikuwa Tsh. 50,000/- leo umefika Tsh. 147,000/-

    Mkulima huyu anadai ilikuwa ikiongezwa Tsh 1,000 anamwambia Waziri rudisha Tsh 50,000 Waziri wa sasa alikuwepo akiwa Naibu. Siku amekufa kesho yake kabla hajazikwa ikaongezwa Tsh 20,000 ikawa Tsh 70,000. Leo ni Tsh 147,000 na Naibu kawa Waziri. Wadai mnaofatilia bei ya pembejeo tupeni...
  8. data

    DED wa Gairo aliyepiga bati asimamishwa kazi.

    Safi.. Maana ilikuwa inatia doa kwa Serikali.
  9. msovero

    DED wa Gairo asimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa mabati zinazomkabili

    Leo sept 10, 2021 waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe. Ummy mwalimu amemsimamisha kazi aliyekuwa mkurugenzi wa gairo bw. Asajile Mwambambale kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa mabati anayodaiwa kuiba na wenzake wakati akiwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya kilosa kabla ya...
  10. Analogia Malenga

    DED wa Gairo na wenzake warudisha mabati waliyoiba

    Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale na watumishi saba wa halmashauri ya Wilaya ya Kilosa waliodaiwa kuiba mabati 1,172 wameyarejesha wilayani humo. Hivi karibuni, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Muslim alieleza kuwatia mbaroni watumishi saba...
  11. Q

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo akamatwa na Polisi kwa tuhuma ya wizi wa mabati

    Morogoro. Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale anashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma ya wizi wa mabati 1,100 mali ya halmashauri ya Wilaya ya Kilosa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fotunatus Muslimu amesema hayo leo Jumanne Agosti 24, 2021...
  12. DustBin

    SoC01 Laptop ilivyobadilisha maisha ya Jojina wa Gairo

    Baada ya kuhitimu masomo yake ya kidato cha sita mwaka 2013 katika shule ya sekondari ya wasichana Kilakala, Jojina alirudi nyumbani kwao Gairo. Jirani yao Mzee Mkude alikuwa amefungua duka la vifaa vya maofisini na shuleni (stationery) karibu na stendi ya zamani. Hivyo Jojina alimuomba Mzee...
Back
Top Bottom