Lugalo is a village in Tanzania near Iringa which in 1891 was the site of a battle between a German colonial military force and the Hehe army of Chief Mkwawa. This was the first major defeat for the German Schutztruppe and the beginning of the Hehe wars.
A German monument marks the site next to the TANZAM-highway.
Ndugu zangu;
Kila mtu anafahamu wazi,
Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police!
Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani!
Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A...
SUMAJKT imekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi millioni 50 katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo, Kitengo cha Mama na Mtoto, ikiwa ni sehemu ya mchango wake katika kuboresha huduma ya afya ya mama na mtoto.
Akikabidhi Vifaa tiba hivyo Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa SUMAJKT...
Mtu anatoka Makongo anaenda Mbezi Beach, Kawe au Lugalo, kwa nini azungukie Mlimani?
Hii ndiyo inayochangia foleni. Nashauri barabara ipasuliwe itokee pale Makongo Sekondari au Super, ili wanaotoka Makongo wawe wanapita moja kwa moja huko badala ya kupita Mlimani. Hii itapunguza kwa kiasi...
Kama una mpango wa kuja Mwenge ukitokea Tegeta au mbezi au Kawe tafuta njia nyingine tu
Kuna foleni ya kutisha na haisogei nimekaa hapa ni lisaa limekata hakuna matumaini ya kusogea hata, natamani hata nilitelekeze gari nichukue boda maana kuna mahali natakiwa kuwahi...
Hii ya leo ni...
Wakuu hiyo situation mnaichukuliaje maana kuhusu pesa inaweza isiwe shida kwanini iwe tofauti kati ya bei anayoona abiria na dereva au wanajiongezea tu imenipa mkanganyiko sana mimi kwenye app ya bolt naona 11500 yeye kwake anasema imekuja 15500 hivi changamoto hiyo mnaichukuliaje hapa nipo...
Kama hukuwahi kufahamu sababu ya kambi ya jeshi ya LUGALO, iliyopo jijini Dar es Salaam, kuitwa hivyo – basi leo nakufahamisha. Watu wengi huamini kuwa kambi hiyo ilipewa jina hilo tangu mwanzo, lakini si kweli. Jina la "LUGALO" lina chanzo chake ambacho si Dar es Salaam, bali ni sehemu maalumu...
Hiyo kambi ipo kitambo sana enzi hizo mji unaishia Magomeni na Oysterbay, Sinza ilikuwa mashamba ya miwa na mpunga. Lugalo ilionekana ni nje ya mji.
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya kijeshi ila ile kambi kuwa pale ni kero tu. Kwanza huku Kawe watu wanaishi kwa hofu tu, kila mtu anajifanya ni...
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa shule kubwa ya wasichana Lugalo Iringa.
Timu ya waandishi wa habari wakiambatana na officialbabalevo washuhudia juhudi za serikali ya awamu ya sita inavyofanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya Elimu hakika katika...
Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame.
Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi.
Swali, je, jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu...
Kuna Member Mmoja ( maarufu sana hapa Jamiiforums ) ila nimemsahau tu Jina amekuwa akianzisha Threads nyingi tu za Kuwalaumu Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Wiki iliyopita Kukamata Watu, Kuwatesa na Kuwapiga baada ya Raia wa Kawe Dereva Bajaji Kumuua kwa Kumchoma na Kisu Moyoni Askari wa...
1. Kuanza sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya hatutaki tena Wanajeshi wa Kawe kuja KUTUKOPA Pesa Sisi Raia wa Kawe na badala yake waende wakamkompe Amiri Jeshi Mkuu au CDF wao bila kumsahau Waziri wa Ulinzi
2. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA...
Kwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemkabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote.
Kama unabisha sawa hayo ya Kawe yatakuwa sehemu ya maisha popote pale Tanzania.
It is what it is, it pains but swallow it the hard way...
GENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana.
Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo...
Kijana aliyepokea Kipondo kikali cha MP wa Lugalo tokea Juzi na Jana Jioni Kuachiwa
"Yaani nashindwa Kutembea hivi huku Macho yangu hayaoni vizuri kutokana na Adhabu na Kipigo. Labda hawa Wanajeshi wasije kushinda nasi huku Kawe Kisasi nitakilipiza tu"
Mdada aliyepokea Kichapo kutoka kwa MP wa...
RIP sis Angel,
Jirani, dada, mwanamazoezi mwenzangu leo umelala nyumba yako ya milele. Mh Waziri wa Afya narudia kuwapongeza humu niliwahi kuandika vitendo vya hospitali Kijitonyama juu ya mzee wangu mkafuatilia na wahusika wakakutana na waliyoyatafuta.
Leo naja na kisa hiki cha kuhuzunisha...
Nimefurahi jana nimepita pale Lugalo nikakuta alama za LUGALO BARRACKS getini vimeboreshwa. Hongera Kwa aliyefanikisha hili, sasa bado zile bango kubwa nyeusi zilizoko moja bondeni karibu na daraja la waenda kwa miguu na lingine karibia Mwenge.
Nasikia Kiingilio ni Bure na Bia nazo ni bure kwa idadi uitakayo halafu Wanawake wote wanatakiwa Kuvaa Madela ila ndani wawe Watupu tu
Vile vile Watumbuizaji wakuu ni Christian Bella na Mboso na hivi sasa Saa 6 na dakika 57 hii Mvua ikiwa inanyesha Mboso ndiyo anaanza Kupanda Stejini.
Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.