rasta

Raul-Stig Rästa (born 24 February 1980) is an Estonian singer and songwriter who, along with singer Elina Born, represented Estonia in the Eurovision Song Contest 2015 with the song "Goodbye to Yesterday". He co-wrote the song "Play" by Jüri Pootsmann, which represented Estonia at the Eurovision Song Contest 2016. He competed by himself in Eesti Laul 2018 with the song Home.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Kuna Wakili Mmoja Nguli kaniambia huyu Muuaji Kato Rasta aliyemuua Afisa JWTZ akijitetea hivi wala hatofungwa na ataachiwa Huru upesi

    "Kama unajuana na huyo Kijana Kato Rasta au Rasta Mayele aliyemchoma Kisu Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna mwambie akienda Mahakamani ajitetee kuwa baada ya Kupigwa Vibao na Afande huyo huku akitukanwa nae alimuona Afande Muna anajishika Kiunoni akiashiria kutaka kutoa Pistol hivyo kwa...
  2. GENTAMYCINE

    Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

    Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma. Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva...
  3. Corona2020

    Engine ya gari kutoa sauti Kali unapopita kwa speed Kali kwenye rasta

    Heri ya Christmas na mwaka mpya. Wakuu Leo nilikuwa na safari ndefu kidogo Sasa nilikuwa nilikuwa natembeza kachombo kangu kwa speed. Baadaye nikaanza kusikia mlio mkubwa wa kugonga kwenye engine nikipita kwenye rasta kwa speed. Kausafiri kalizima Kama mara moja kutokana na iyo hali. Je...
  4. R

    Kwanini nywele za mawigi au rasta huoneka smart kuliko nywele natural?

    Wakuu, Hili jambo limekuwa likinishangaza sana, mwanamke anaetengeza nywele zake natura anaambiwa mbona hujasuka, ingekuwa rasta ndio ingekuwa sawa na ungependeza, ingekuwa wigi ndio ungekuwa smart. Siku mwenye natura akisuka rasta anaambiwa sasa leo umesuka? Kwanini iko hivi? Lakini pia...
  5. S

    Rasta za barabara ya Bagamoyo zinakera

    Rasta barabara ya Bagamoyo eneo la kuanzia Baobab, Kibosha, Mapinga shule hadi Kerege CCM ni kero kwa magari. Ziwekwe alama nyingine za tahadhari kwa sasa.
  6. ommytk

    Hivi mtu mwenye imani ya Rasta anaweza kupata ajira serikalini?

    Wadau naomba kujuzwa hili maana nina mjukuu wangu anasoma, ndoto yake aje kuwa Dokta na sisi ni rastafari. Je, anaweza pata ajira?
  7. ndibuka

    Muongozo juu ya biashara ya rasta za kike

    Habarini wakuu,nipo Mkoani huku na baada ya kuhangaika sana kutafuta biashara kwa ajili ya kipato cha ziada. Nimegundua kua biashara ya rasta za wadada inatoka sana,ninaomba mwenye abc juu ya biashara hii tuwasiliane kwa namba hapo chini, lengoni kujuzwa wapi kwa Dar ntapata mzigo wa jumla na...
  8. ommytk

    Hivi Rasta zina uhusiano gani na utalii

    Wadau kuna hili jambo naomba kushare humu naona mara nyingi nakutana nalo asa nikienda labda kutembea maeneo mbali mbali ya kutalii kuna ili jambo nakutana nalo la vijana wengi ambao ndio wanakuwa kama waelekezaji wageni kuwa na Rasta sasa uwa najiuliza je wageni toka nje uwa wanahitaji sana...
  9. FRANCIS DA DON

    Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?

    Kuna foleni kali ya ajabu inayosababishwa na matuta na rasta mpya eneo la Lugalo zilizowekwa jana au leo nadhani, needlessly. Je, aliyeweka hayo matuta na rasta akapimwe akili? ============================ Wameondoa rasta ndogo ila bado tuta kubwa kama mlima limeachwa na linaendelea kusababisha...
  10. O

    Namtafuta wakala wa rasta

    Nahitaji kuanzisha biashara ya rasta tu nataka nianze na mtaji wa bero moja la sh 90000/= nilivyofanya uchunguzi lina rasta 100. Nahitaji kuuza kwa sh 1200. Naomba msaada wa wakala pia naomba mnisaidie mtu atakayekuwa ananifanyia hii biashara niwe namlipa sh ngapi(my agent), pia shelves ziwe za...
Back
Top Bottom