bernard membe


 1. Lancanshire

  Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

  Habari za muda mabibi na mabwana! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora. Karibuni kwa maoni yenu. ====
 2. Rutashubanyuma

  Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

  Friends of Bernard Membe at the University of Dar-Es-Salaam still believe they have got their man who is heading nowhere but to the state house in replacement of JK….comes 2015. This can only narrate why the UDASSA was so eager and willing to invite Membe as their chief guest at Nkrumah...
 3. M

  Si Membe aliyesababisha biashara ya Korosho kudorora, maamuzi ya kukurupuka ndiyo yametufikisha hapa!

  Ni hivi: Siyo Membe aliyesababisha biashara ya Korosho kudorora huko kusini. Ni maamuzi ya kukurupuka ndiyo yametufikisha hapa. Ni sawasawa na walivyozuia wanunuaji wa Kahawa kutoka kwa madalali na matokeo yake kujikuta hawawezi kumtosheleza mkulima kwa soko bora na bei nzuri. Jamani Mkapa...
Top