mpina

Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mpina amjibu Samia: Nilimsikia akisema Lissu na Mpina wameishiwa Pawa, aliyeishiwa Pawa ni Yeye!

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amemjibu Rais Samia baada ya kudai kuwa Luhaga Mpina na Tundu Lissu, wameishiwa pawa, akisema kauli hiyo si sahihi na kwamba “aliyeishiwa pawa ni yeye.” Mpina amesema hatua zilizochukuliwa dhidi yake, ikiwamo kuwekwa pingamizi mahakamani...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tumpe maua yake Mpina ndiye mwanasiasa anaongoza kwa uvaaji

    Kenye kuvaa jamaa yupo vizuri
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Tundu Lissu aachiwe huru, atafutwe msuluhishi huru wa kimataifa ili kulinusuru taifa

    TAARIFA KWA UMMA YA NDG. LUHAGA JOELSON MPINA KUHUSU UCHAMBUZI WA RIPOTI YA JUMUIYA YA MADOLA KWENYE KIKAO CHA 73 CHA DHARURA CHA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA (CMAG) KILICHOFANYIKA TAREHE 10 JULAI 2026 KUHUSU HALI YA KISIASA NCHINI TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya Luhaga Mpina aliyowasilisha madai kuhusu uchaguzi Mkuu wa 2025 na kuitaka Jumuiya ya Madola kuchunguza

    Aliyekuwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo katika uchaguzi wa mwaka 2025, Luhaga Joelson Mpina, aliwasilisha taarifa kuhusu hali ya kisiasa Tanzania kwa mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera. Katika taarifa hiyo ya Aprili 16, 2026, Mpina...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Kutoka Symbion hadi Sheria ya Fedha 2026 na Ufisadi katika Uagizaji Mafuta. je, Luhaga Mpina amebadili msimamo?

    Dar es Salaam. Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 limefungua mjadala mpya kuhusu nafasi ya siasa za upinzani katika usimamizi wa fedha za Umma...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha amjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania

    Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omaramjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania Pia soma: Luhaga Mpina: Bei ya mafuta imeshuka soko la Dunia kwa 22% lakini hatuoni bei zikishuka hapa nchini
  7. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Mpina aibua Kashfa ya MAFUTA dhidi ya TPDC na VITOL

    "Wakati Serikali ikijitetea kuifanya TPDC kuwa muagizaji pekee wa mafuta kwa kigezo cha kwamba itapunguza bei ya mafuta nchini, viwango vya faida (premium) vilivyowekwa na Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) kwa miezi ya Mei na Juni baada ya mfumo wa ushindani kufutwa, viko juu zaidi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina na Wakili Peter Madeleka wanazungumza, wasema muswada wa kodi unalenga kuwaumiza maskini (Juni 30, 2026)

    https://www.youtube.com/live/KcGPeihnF1c
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Kwanini Mabasi ya Mwendokasi yanaondolewa kodi wakati Mabasi ya Masafa marefu hayana msamaha?

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina akizungumza leo Juni 23, 2026 alipokuwa akichambua Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27. Pia soma ~ Mpango wa LATRA kusitisha vibali vya daladala njia ya Mbagala kuingia mjini ili kupisha Mofat pekee ni kwa maslahi ya nani?
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mpina: Serikali haiwezi kuaminika tena, imesaini mikataba ya siri ya Bandari, NHC, Ngorongoro, TFS, Makaa ya Mawe bila kibali cha Bunge

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina akizungumza na Wanahabari leo Juni 23, 2026 wakati wa kuchambua Bajeti ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2026/27.
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mpina: Nusu ya Bajeti ya Serikali inaenda kutumika katika matumizi yasiyo ya uhalisia, matumizi mengine ni utapeli tu

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amekosoa vikali muundo wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, akidai kuwa kiasi kikubwa cha fedha za umma kinapotea kwenye matumizi yasiyo na uhalisia na ukopaji usio na tija. Akizungumza leo Juni 23, 2026...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Njoni kina Nchimbi na Mpina muongeze nguvu tumalizie palipobaki

    Waheshimiwa wangu tunaona mapambano yenu mkiwa huko mliko yaani CCM na ACT vyama rafiki hivi kabla ya October 29 Niwaombe jambo Moja hebu njooni unganeni na Heche Kisha tupambane Lissu atoke Wallah kazi itakuwa kwishiney kina Muliro watachoka njooni tuliokoe taifa kwenye mikono ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Nilishirikishwa ufisadi na "mamlaka kuu" nikakataa, naogopa laana za Watanzania

    Amejitoa mhanga! Anytime soon atabambikiwa kesi ya Uhaini! Or any other life threatening attempts on him Huyu ni next to Lisu! Msikilize Note: mamlaka kuu ameitaja, sikutaka kuiweka kwenye heading
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Full Text: Taarifa ya Luhaga Mpina kuhusu Tume ya Chande ya Kuchunguza yaliyotokea 29.10.2025

    BURIANI MASHUJAA WETU YANA MWISHO HAYA Bonyeza HAPA kupakua Hotuba yake Hapa Chini nimeweka Video ni Mapendekezo yake.. MAONI NA MAPENDEKEZO KWA UFUPI Baada ya kufanya uchambuzi hapo juu ninatoa Maoni na mapendekezo kama ifuatavyo:- (i) Kuundwa Tume Huru chini ya Umoja wa M ataifa...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mpina: Kuna tuhuma za wizi wa kutisha! Deni la serikali lapaa kutoka trilioni 60.7 hadi 115.2 kwa miaka mitano

    "Kuna tuhuma ya wizi wa kutisha kwenye mikopo ya serikali ambapo kwa miaka mitano iliyopita deni la serikali limeongezeka kutoka trilioni 60.7 Machi 2022 hadi trilioni 115.2 Februari 2026, sawa na ongezeko la trilioni 54.3. Deni limeongezeka kutoka ukuaji wa wa asilimia 7 hadi ukuaji wa asilimia...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mpina: Bunge lote limejaa familia za Watu, Ndugu jamaa na Marafiki

    "Vijana wanaingia kwenye soko la ajira kila mwaka zaidi ya milioni moja, wanaopata ajira ni asilimia 20 tu. Yaani hawapati ajira zaidi ya vijana 800,000. Sasa ajira zenyewe nazo zinakuwa za Godfather, mpaka uwe na Godfather ndio upate ajira. Ukikosa Godfather ndio hivyo tena. Teuzi nazo zenyewe...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha mpina kuteuliwa kuwa majibu Waziri mkuu kivuli ni Ishara ya ACT kutambua serikali ambayo walisema haijacjaguliwa kihalali , tuwaeleweje ?

    Mijadala ya Act wengi walikiri uchaguzi haikuwa huru na haki Hadi Walifikia hatua ya kusema tume ilipodadilisha JINA ilipoteza uhalali kikatiba Sasa wanapoteua mawaziri vivuli Ili wasimamie serikali ipi Mpina amekuaje siku hizi
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi Luhaga Mpina yuko wapi na anajishughulisha na nini kwa sasa?

    Ile jeuri na kiburi ya kisiasa alokua nayo akiwa CCM bado anayo tena huko ACT Wazalendo? Ama kwa hakika samaki hawezi kuishi nchi kavu. Ngebe zake zote hakuna tena na amekua funzo na darasa la anguko katika uongozi hasa kwa wanasiasa wanaopenda majivuno, ulevi wa sifa na kiburi nonsense. Hata...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpina akataa wito wa Tume ya Rais ya kuchunguza matukio ya Uchaguzi Oktoba 2025

    Nakiri kupokea barua yako yenye Kumb. Na. SAE. 3511527/L ya tarehe 21 Januari 2026, ikinitaka kufika kukutana na Tume tarehe 31 Januari 2026, kuanzia saa 2:00 mchana hadi saa 9:00 alasiri katika Ukumbi wa Manyara, Benki Kuu – Dar es Salaam. Utakumbuka kuwa mnamo tarehe 18 Novemba 2025, Chama...
  20. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ni kweli maandamano yalianzia kwa Mpina kisesa, na kwa Gwajima Ubungo? Je wako wapi?

    Moja ya kauli aliyowai kuitoa RAIS Samia, ni kuwa adui zake no wale wa kijani na sio vinginevyo hahahaha! Je, ni kweli maandamano upande wa Mwanza yalianzia kisesa kwa Luhaga Mpina? Je, hao walipmdamana walipewa pesa na Mpina? Kwa upande wa Dar mambo yalianzia kwa KANISA la Mzee Gwajima...
Back
Top Bottom