malawi

Malawi (, or ; Chichewa: [maláβi] or [maláwi]), officially the Republic of Malawi, is a landlocked country in Southeast Africa that was formerly known as Nyasaland. It is bordered by Zambia to the west, Tanzania to the north and northeast, and Mozambique surrounding on the east, south and southwest. Malawi spans over 118,484 km2 (45,747 sq mi) and has an estimated population of 18,143,217 (as of July 2018). Lake Malawi takes up about a third of Malawi's area. Its capital is Lilongwe, which is also Malawi's largest city; the second largest is Blantyre, the third largest is Mzuzu and the fourth largest is its old capital Zomba. The name Malawi comes from the Maravi, an old name of the Nyanja people that inhabit the area. The country is nicknamed "The Warm Heart of Africa" because of the friendliness of the people.The part of Africa now known as Malawi was settled by migrating Bantu groups around the 10th century. Centuries later in 1891 the area was colonised by the British. In 1953 Malawi, then known as Nyasaland, a protectorate of the United Kingdom, became a protectorate within the semi-independent Federation of Rhodesia and Nyasaland. The Federation was dissolved in 1963. In 1964 the protectorate over Nyasaland was ended and Nyasaland became an independent country under Queen Elizabeth II with the new name Malawi. Two years later it became a republic. Upon gaining independence it became a totalitarian one-party state under the presidency of Hastings Banda, who remained president until 1994. Malawi now has a democratic, multi-party government headed by an elected president, currently Peter Mutharika. The country has a Malawian Defence Force that includes an army, a navy and an air wing. Malawi's foreign policy is pro-Western and includes positive diplomatic relations with most countries and participation in several international organisations, including the United Nations, the Commonwealth of Nations, the Southern African Development Community (SADC), the Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA), and the African Union (AU).
Malawi is among the world's least-developed countries. The economy is heavily based in agriculture, with a largely rural population that is growing at a rapid rate. The Malawian government depends heavily on outside aid to meet development needs, although this need (and the aid offered) has decreased since 2000. The Malawian government faces challenges in building and expanding the economy, improving education, healthcare, environmental protection, and becoming financially independent amidst widespread unemployment. Since 2005, Malawi has developed several programs that focus on these issues, and the country's outlook appears to be improving, with a rise in the economy, education and healthcare seen in 2007 and 2008.
Malawi has a low life expectancy and high infant mortality. There is a high prevalence of HIV/AIDS, which is a drain on the labour force and government expenditures. There is a diverse population of native peoples, Asians and Europeans, with several languages spoken and an array of religious beliefs. Although there was periodic regional conflict fuelled in part by ethnic divisions in the past, by 2008 it had diminished considerably and the concept of a Malawian nationality had reemerged.

View More On Wikipedia.org
  1. Best home tutor

    Raia wa Tanzania wadakwa na mabilioni nchini Malawi

    Raia wawili wa Tanzania, Paschal Nyanda (28) na Sanda Donald (24), wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Malawi baada ya kukutwa wakimiliki US$1,141,215 (zaidi ya Shilingi bilioni 3 za Kitanzania) bila kuwa na nyaraka zinazoonyesha uhalali wa fedha hizo. Kwa mujibu wa Polisi, tukio hilo...
  2. G

    GWANGJU (1980) mpaka MALAWI (2025)

    Jana nilikua naangalia filamu moja ya Kikorea inaitwa A TAXI DRIVER (2017). Niliamua kuitizama bila kujua plot yake, nikawa najichekea zangu tu maana ilianza kama light comedy. Mara... taratibu story ikaanza kubadilika along with my mood 😵😮‍💨 Elements za kile kilichotokea Malawi Oct...
  3. R

    Middle East Conflict is Over: What next in terms of Oil prices? Malawi yatapanda maradufu

    Time will tell! Trump amesign Iran-USA agreement. Mgogoro wa Iran na USAS umeisha au uko sehemu nzuri sana. Milango yote imefunguliwa ya meli za mafuta kupita as used to be. SWALI KUBWA KWETU: JE MALAWI MAFUTA YATASHUKA? MY PREDICTION: YATAPANDA ZAIDI MAANA SISI NI MAVI, WANATUONA KAMA MAVI...
  4. R

    Mafuta yashuka bei baada ya makubaliano ya USS na Iran. Subiri, hapa Malawi yatapanda

    Ujumbe ni huo, hakuna zaidi Hapa yatapanda mara dufu
  5. Fbn

    Sijaona serikali ya Tanzania ikiwasaidia Watanzania wao kuwaondoa Afrika Kusini mmezidiwa mpaka na Malawi

    Kila nchi na serikali yake zinajitahidi kuwasaidia raia wao kwa kinachoendelea. Ila Tanzania ni sikio la kufa wala hata kujionesha kuwa wameguswa na kusaidia raia wao.Zaidi ya kukaa kimya kila ucheo.
  6. Zack Abdul

    Uganga Unalipa: Nimejionea Malawi!

    👉Kumbe kazi ya uganga wa kienyeji inalipa kuliko nilivyokuwa nikifikiria hapo awali. 👉Ndani ya wiki mbili pekee nimeona uhalisia wa biashara hii ulivyo. 👉Nimegundua vijana wengi wa Malawi wanatafuta utajiri wa haraka bila kutaka kupitia jasho la kazi. 👉Wengi wao wanaamini...
  7. R

    Lori lililobeba Dawa za Kulevya kutoka Malawi lakamatwa ikiingia Afrika Kusini

    Polisi wa doria ya mipakani nchini Afrika Kusini wamekamata lori lililokuwa likitokea nchini Malawi likiingia nchini humo likiwa limesheheni dawa za kulevya zenye thamani ya karibu randi bilioni moja (sawa na dola milioni 61). Katika msako huo, vikosi vya usalama viligundua zaidi ya kilo 700...
  8. R

    Ningelikuwa Rais wa Malawi ningelifanya hivi kupata ukweli halisi kutoka wanachama wenzangu wenye nia njema lakini wanaogopa

    Ningelifungua page hapa JF nikasikiliza maoni ya watu. Katika anonymity ya JF, kuna watu wa CCM wenye nia njema ( ingawa ni debatable kama CCM kuna mwenye nia njema in exclusion of Judge Sinde Warioba) watakupa ukweli mwema na ukakuongoza kutoa maamuzi. Unapokuwa kwenye vikao nao, wanaangalia...
  9. britanicca

    The plane Crash that Will be Comforting the Nation in one of African Countries 2026/7

    The Lord is near to the brokenhearted and saves the crushed in spirit. He gives strength to the weary and increases the power of the weak. I urge… that petitions, prayers, intercession and thanksgiving be made for all people— for kings and all those in authority, that we may live peaceful and...
  10. Harvey Specter

    Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera awasili nchini kwa ziara ya kikazi kama Mjumbe wa Jumuiya ya Madola

    Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini usiku wa kuamkia leo Alhamisi Aprili 9, 2026, akiwa kama kiongozi wa ujumbe wa Jumuiya ya Madola. Chakwera aliteuliwa mnamo Novemba 2025 na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Botchwey kuwa mjumbe maalumu wa jumuiya hiyo, na...
  11. Allen Kilewella

    Usiku ambao jeshi la Malawi lilipomalizana na UVCCM wa Malawi

    Zama za mfumo wa chama kimoja nchini Malawi chini ya chama cha Malawi Congress Party (MCP) kilichokuwa kinaongozwa na Hastings Kamuzu Banda, siasa za nchi hiyo zilikuwa za kuogofya sana na zilijaa kila aina ya ukatili na uovu. Katikati ya vurumai hiyo, kulikuwa na jumuiya ya vijana ya chama...
  12. Mikopo Consultant

    Post ya CIA imenifikirisha: Wamelisifia Ziwa Malawi (Ziwa Nyasa) pasipo kuitaja Tanzania!

    Wakati wenye mamlaka wakiwa busy kuponya majeraha ya MO29, kwa kuyakanusha na kupindua taarifa za ukweli; wenye dunia yao huko duniani, hawachoki kuitafiti dunia na ku shape geopolitics kulingana na taarifa sahihi za kiuchunguzi. Jana niliingia Instagram, kwenye post ya CIA, nikakuta wameweka...
  13. pulex

    Baada ya Mo29 na yanayoendelea Malawi, naona waasi wa M23 ndio wazalendo na PK ni Pan africanist halisi kwa sasa

    Mara ya kwanza niliona M23 ni wabaya na kumchukia PK, ila baada ya yaliotokea october 29 pale Malawi na yanayoendelea kutokea, nachelea kusema waasi wa M23 ni wazalendo kwel na PK ni Pan Africanist wa mifano ya Thomas Sankara. Si ajabu wale mboga mboga wanamchukia sana maana anawafungua...
  14. K

    Kenya, EU, USA, SA, Zambia, Malawi watusaidie kwenye kubadilisha madaraka Tanzania

    Kenya, EU, USA, SA, Zambia, Malawi watusaidie kwenye kubadilisha madaraka Tanzania. Tanzania tunahitaji wana demokrasia kutusaidia kuungana na zaidi ya 70%-80% wanaotaka mabadiliko ya uongozi na katiba kwa njia zote zinazowezekana. Ikishindikana kwa Aamani hata kwa kijeshi maana hata jeshini...
  15. M

    Chakwera anaamini Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi, huyu anawezaje kutusuluhisha?

    Tumesikia kuwa Jumuia ya Madola imemtuma Chakwera, rais wa zamani wa malawi kuja kusaidia kuleta maridhiano nchini, Hata hivyo Chawera amekuwa akitoa msimamo kuwa ziwa nyasa lote ni mali ya malawi, mtu wa aina hii asiyeamini hata territorial integrity ya nchi yetu anawezaje kuja kutusuluhisha...
  16. Tate Mkuu

    Uongozi wa Yanga na wachezaji mna cha kujifunza kupitia hizi dharau na kejeli mnazo fanyiwa na timu ya Silver Strikers ya Malawi

    Kwanza nitoe pole kwa mashabiki na wanachama kwa kipindi hiki kifupi na kigumu tulichopitia tangu timu ilipokuwa chini ya kocha aliyetimuliwa Romain Folz. Kocha huyu alikuwa hana uzoefu wa kutosha kufundisha timu kubwa kama Yanga. Na matokeo yake tuliyaona kwenye mechi alizozisimamia. Moja ya...
  17. The Father of All

    Tunajifunza nini toka Madagascar, Malawi, na sasa Kameruni ambako kinaanza kuumana?

    Sina shaka na hili. Tanzania tuna tatizo. Tunafanya uchaguzi bila upinzani. Vyama CCM B vimewekwa baada ya kuhongwa ili kuhalalisha uongo. Ni uchaguzi gani halali wa huru na haki bila Lissu? Ni uchaguzi gani ambapo hata baadhi ya wagombea walijiteua na kukataa hata taratibu za ndani ya chama...
  18. ESCORT 1

    Siku hizi ujanja ni kutafuta Azam Tv ya Burundi au Malawi

    Huku bei ni mserereko kabisa. Malipo ya mwezi ni kitonga kwelikweli.. Endeleeni na bei zenu za alfu 28 kwa mwezi. Endeleeni kukamuliwa..
  19. Mi mi

    Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano

    Uchaguzi wa Malawi uliofanyika na Malawi kupata Rais wa kuongoza nchi ya Malawi. Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano ijayo ataondoshwa. Huu ni uhakika wa 100% ataondoshwa baada ya muda mfupi na serikali nzima itavunjwa huu sio utabiri ni uhakika wa 100%.
  20. W

    Rais wa Malawi akubali kushindwa kabla ya matokeo rasmi kutangazwa

    Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, ameweka historia baada ya kukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa urais saa chache tu kabla ya Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo rasmi. Akihutubia taifa Septemba 24, 2025 Chakwera alisema: “Ni haki nikubali matokeo haya kwa heshima ya maamuzi ya wananchi na kwa...
Back
Top Bottom