utegemezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ACT Wazalendo

    Macheyeki: Kukabili Utegemezi wa Mafuta, Serikali Iongeze Matumizi ya Gesi

    Changamoto ya upatikanaji wa mafuta na athari za matumizi yake ilipaswa kutumika kama sababu msukumo kwa Serikali kuongeza kasi katika kuhakikka taifa letu kutumika Nishati mbadala ambayo inapatikana nchini. Lakini tunaona kuna changamoto kuu mbili (2) kubwa; moja ni gharama kubwa za mfumo wa...
  2. N'yadikwa

    Utegemezi wa Dunia sasa umeelekea Bara la Asia sio Magharibi tena. Kwaheri Umagharibi!

    Ni ukweli kwamba mwegemeo wa dunia kwa sasa "global economic activity center of gravity " unajiegemeza bara la Asia hasa mataifa ya Uchina, Indonesia na India pamoja na Falme za Kiarabu. Hakuna ubishi tena kwamba enzi au zama za umangimeza wa nchi za Magharibi umeshafikia mwisho. Nchi...
  3. J

    SoC03 Mapendekezo mapya ya elimu yakayoweza kusaidia kufikia soko la ajira nchini Tanzania

    Elimu ni maarifa na ujuzi anaokuwa mtu kuhusu jambo fulani, hivyo kusaidia katika kufanya kazi Fulani kwa ufanisi na matokeo ya kazi hiyo kuwezesha mtu kuinua hali yake ya kimaisha. Elimu ni sekta muhimu katika kuzalisha wataalamu na wahudumu mbalimbali wenye ufanisi na stadi mbalimbali ambazo...
  4. BARD AI

    Utafiti: Wanawake wanaongoza kwa utegemezi Tanzania

    Wakati jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi katika kuwainua wanawake kiuchumi nchini, ripoti mpya ya Wizara ya Fedha inaonyesha jinsia hiyo bado inaongoza kwa utegemezi. Ripoti hiyo inayohusisha ujumuishi wa masuala ya kifedha kwa wananchi inayoitwa Finscope 2023...
  5. Pascal Mayalla

    Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!

    Wanabodi Waswahili wana vijineno neno vyao, ukivisikia unaweza kuviona ni kama vineno vya Utani!. Moja ya vineno hivyo ni "Penye Uzia Penyeza Rupia!" na "hakuna mkate mgumu mbele ya chai". Siasa zetu ni siasa za kijungu jiko, yaani siasa za hand to mouth kwa kutegemea ruzuku!. Hizi ni siasa...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Rais Magufuli alitekeleza sera kadhaa za viwanda zilizolenga kukuza viwanda vya ndani na kupunguza utegemezi

    Rais John Magufuli alitekeleza sera kadhaa za viwanda zilizolenga kukuza viwanda vya ndani na kupunguza utegemezi wa bidhaa kutoka nje. Baadhi ya sera kuu ni pamoja na: Marufuku ya uagizaji wa bidhaa zinazoweza kuzalishwa nchini: Mwaka 2020, Rais Magufuli alipiga marufuku uingizaji wa bidhaa...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Uchunguzi; Tatizo la walioajiriwa ni utegemezi; usimpe pesa mtu ambaye hajaitolea jasho

    UCHUNGUZI; TATIZO LA WALIOAJIRIWA NI UTEGEMEZI. USIMPE PESA MTU AMBAYE HAJAITOLEA JASHO Anaandika, Robert Heriel. Tatizo sio kuajiriwa, tatizo ni wategemezi, tatizo ni extended Family. Tofauti ya mtu aliyejiajiri na aliyeajiriwa IPO kwenye utegemezi. Waliojiajiriwa hawategemewi Sana...
  8. Getrude Mollel

    Rais Samia Suluhu amedhamiria kuodoa utegemezi wa ngano kutoka nje

    Tanzania imeandaa mkakati kabambe wa kuondoa kabisa utegemezi wa zao wa ngano kutoka nje ambapo malengo yaliyowekwa hadi ni kufikia uzalishaji wa tani milioni moja ifikapoi 2025. Tanzania huagiza ngano kwa wingi kutoka Urusi na Ukreini ambapo kutokana vita katika nchi hizo, kumepelekea uhaba wa...
  9. E

    Lazima tuwe na plan ya kupunguza utegemezi wa mafuta

    Nchi zetu hizi za kiafrika ni kama tumelaaniwa, itafika wakati watu wataona aibu kuzaliwa nchi zetu hazina mipango wala chochote, mipango ni kutazama huduma za jamii basi, Nikirudi kwenye Hoja, tunahitaji kuwa na mpango wa kuondoka katika utegemezi wa mafuta. na hapa ni lazima tuweke mkakati...
  10. E

    SoC01 Utegemezi wa nchi za Afrika barani Ulaya, umeendelea kuwa tatizo sugu. Maoni haya yenye tija yatasaidia kupunguza utumwa huu

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Nchi nyingi za Kiafrika zimeendelea kuwa tegemezi Barani Ulaya, Amerika, Asia na Mataifa mengine toka Mabara ya nje. Serikali nyingi za Afrika, zimeendelea kutegemea mikopo, misaada na sera za kiutawala na kiuchumi kutoka Mataifa hayo. Utumwa huu usiokoma...
  11. N

    Tujikumbushe: Kikwete - Ni wakati wa kujenga Chama imara tuache kutegemea Jeshi la Polisi kutufanyia Siasa

    Wakati Mh Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani, alituambia imefika wakati wakujenga chama Cha siasa imara kwa matakwa ya mda tulio nao tuache kutegemema jeshi la Polisi kutufanyia siasa . Ajabu ni kwamba jambo lile lilichukuliwa km maneno tuu, ila ukweli Mchungu sana kwa...
Back
Top Bottom