bunge la jmt

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Wabunge/wawakilishi wote wa baraza la mapinduzi Zanzibar wanakuwa wabunge wa Bunge la JMT?

    Naomba kufahamishwa hapo na wataalam, na wanaokuwa sehemu ya Bunge la JMT wanazingatia vigezo gani au wanapatikanaje. Cc Pascal Mayalla
  2. Msanii

    Wafanyakazi wa Bunge la JMT chukueni maua yenu

    Nimefanikiwa kutembelea Bunge letu hivi karibuni wakati vikao vinaendelea. Nilikuwa na issue ya kiofisi, niwaambie Watanzania wenzangu. Ofisi za Bunge la Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa ofisi zote za Umma nchini. Kuanzia mapokezi hadi huduma unazopewa pale unapata uthubutu wa kujivunia Bunge...
  3. gaspern gaspal

    SoC03 Kazi za mitaji chini ya milioni 1, na mtu yeyote anaweza kufanya

    Kazi ni nini? (Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu). Kazi ni utumiaji wa nguvu,juhudi, maarifa katika jambo au jitihada, bidii, utendaji. Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka na wimbi kubwa la tatizo la kukosa nafasi za kufanya kazi. Lakini tatizo hili Kumekuwa likilalamikiwa sana na...
  4. H

    Ahsante sana mzalendo aliyevujisha mkataba wa Dp World, Mungu akulinde, na akuzidishie maisha marefu kwa zawadi uliyotoa kwa mama Tanganyika.

    Wiki ya pili na tunaelekea wiki ya tatu saasa , masikio, macho na mioyo ya wana wa tanganyika yamegoma kuelewa, kupokea, au kusikia nyimbo, mapambio na kelele, maelekezo juu ya uwekezaji tata ulioambatana na mkataba tata wa DP world na mama JMT juu ya bandari za Tanganyika pekee zenye muundo...
  5. Roving Journalist

    Hussein Bashe: Serikali haiwezi kudhibiti bei ya Mazao

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 15 leo Aprili 28, 2023. Serikali imesema haiwezi kudhibiti bei ya mazao, bali inapunguza gharama za uzalishaji kwa wakulima pamoja na kuongeza tija kwenye uzalishaji ili wakulima waweze kupata faida baada ya gharama zao...
  6. R

    Suala la vyumba vya kujisitiri wasichana shuleni kipindi cha hedhi ni kitu cha kujadiliwa bungeni na kutolewa maagizo mpaka leo?

    Takwimu zimekuwa zikitolewa miaka nenda rudi, kweli hili ni swala ambalo mpaka leo halijapatiwa ufumbuzi mpaka kutolewa maagizo bungeni kuwa vijengwe vyumba vya wasichana kujisitiri kipindi cha hedhi? Tunataka kumkomboa mtoto wa kike katika elimu lakini juhudi ni ndogo sana katika kufanikisha...
  7. The Palm Beach

    Shauri Na. 36/2022 la Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA, Spika wa Bunge la JMT & NEC. Ni nini madai yao?

    ✓ Dai lao kuu ni kuiomba mahakama ipitie mchakato wote wa CHADEMA kuanzia ndani ya KK na kisha BK wa kuwafuta/kuwafukuza uanachama ili mahakama ijiridhishe iwapo CHADEMA walifuata taratibu na sheria (katiba yao) ama laa... ✓ Wanasema, mahakama ikiona hawakutendewa haki (utaratibu haukufuatwa)...
  8. Analogia Malenga

    Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  9. Bondpost

    Naomba kufahamishwa bajeti ya Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania

    Waungwana habari zenu. Hapo mwishoni mwa mwaka 2021 na mwanzo wa 2022 nchi yetu imepita kwenye sekeseke la mvurugano wa mihimili mikuu miwili ya nchi yetu ambapo Bunge kwa kupitia Spika limeonekana kumshambulia Rais ambaye ni Executive kutokana na yanayodaiwa kwamba hatupaswi kukopa pesa ingali...
  10. Elius W Ndabila

    Barua ya wazi kwa Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    BARUA YA WAZI KWA MHE SPIKA NDUGAI. Na Elius Ndabila 0768239284 Mhe Spika Ndugai Shikamoo! Ni matumaini yangu Mungu anaendelea kukupigania katika hali yako kiafya. Jana wakati unazungumza na vyombo vya habari ulisema unachangamoto ya kiafya.Ninakuombea kwa Mungu upate tahafifu. Mhe Spika...
  11. Ngongo

    Sasa ni zamu ya Zanzibar kutoa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Baada ya shughuli nyingi za kukimbiza shilingi nipo ndani ya Dada Dala habari kubwa ni hotuba ya Mh Rais Samia. Ghafla anasimama Mzee wa Makamu kavalia Barakashia kama ile ya Kassim Majaliwa anafoka ungefikiri tuko kituo cha polisi “sasa ni zamu ya Zanzibar kutoa Spika wa bunge la JMT” Bahati...
  12. S

    Rais Samia ashauriwe kuvunja Bunge kwa sababu hii

    Kuna kila sababu ya mheshimiwa rais wa JMT ashauriwe avunje bunge kwa maslahi mapana ya Taifa. Kuna sababu kuntu mojawapo ni hizi: 1. Wabunge, ambao ni wawakilishi wa wananchi wanadai mishahara yao iongezwe ili hali wakijua uchumi wa nchi ni tete: Deni la taifa liko juu Miradi ya nchi ni...
  13. S

    Mishahara ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikatwe PAYE

    Huu ni uzalendo. Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
  14. Chachu Ombara

    Mchezaji Mamadou Sakho na Mkewe watinga Bunge la JMT, Dodoma

    NYOTA wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho na Mkewe Majda Sakho wamewasili Bungeni kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali za Kibunge. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari Utalii Tanzania.
Back
Top Bottom