The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 804
- 1,643
✓ Dai lao kuu ni kuiomba mahakama ipitie mchakato wote wa CHADEMA kuanzia ndani ya KK na kisha BK wa kuwafuta/kuwafukuza uanachama ili mahakama ijiridhishe iwapo CHADEMA walifuata taratibu na sheria (katiba yao) ama laa...
✓ Wanasema, mahakama ikiona hawakutendewa haki (utaratibu haukufuatwa) kwa mujibu wa ushahidi watakaotoa, basi mahakama itoe amri (hukumu) tatu (3) zifuatazo kuwapendelea wao;
1. Mahakama itengue (ifute) mchakato na uamuzi wa CHADEMA kuwafukuza/kuwafuta uanachama uliofanywa na KK na BK...
2. Mahakama itoe amri ya kuilazimisha CHADEMA kutimiza wajibu wake kisheria wa kuwapa nafasi ya kusikilizwa wakijitetea dhidi ya mashitaka ya tuhuma zao chamani...
3. Mahakama itoe amri kwa Spika wa Bunge la JMT na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ya kutochukua hatua zozote dhidi ya ubunge wao hadi malalamiko yao yatakaposikilizwa...
## Wanasheria mnayaonaje madai ya kina mama hawa katika jicho la kisheria hasa namba 3....?
## Na hivi ni kweli hawa watu hawakupewa nafasi ya kujitetea ili wasikilizwe kabla ya wanachama wenzao kupitia vikao vyao vya KK na BK hawajachukua maamuzi ya kuwafukuza..?
## Uhalali wa ubunge wao unatoka wapi kiasi cha kuudai mahakamani iwapo chama chao hakiwatambui na hakijawahi kushiriki ktk mchakato wa kuwateua kwa kadiri ya sheria na katiba ya JMT inavyotaka..?
## Kwa kigezo hicho hapo juu, ndugu mchangiaji unadhani ni nini itakuwa ni turning point ya kesi hii...?
## Nani atafungua "Pandora Box" la siri ya ubunge wa kina mama hawa? Je, ni CHADEMA? NEC? au Spika wa Bunge Ndugai/Dr Tulia...?
## Ni nani watawakiwa na "JUA KALI" kati ya NEC, BUNGE na CHADEMA wenyewe juu "utata wa ubunge" wa kina mama hawa kiasi cha kusababisha wapoteze uanachama wao ndani ya CHADEMA na kuzua sokomoko hili linaloendelea sasa huku mahakama ikijaribu kusawazisha mambo..?
NOTE:
Vifupisho hivi vinasimama badala ya maneno:
KK = KAMATI KUU..
BK = BARAZA KUU