Vyanzo vyangu ndani ya CCM vinadokeza kuwa wanahabari wawili, Dennis Joe Msacky na Aboubakary Liongo wamelamba teuzi.
Dennis Joe Msacky kateuliwa kuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi.
Naye Aboubakary Liongo kateuliwa kuwa Mkuu wa Mawasiliano...
ACT-Wazalendo wataka uchunguzi ufanyike.
Chama Cha ACT Wazalendo, Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI
Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa...
Vongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) unapenda kutoa fafanuzi kuhusu sehemu ya maudhui ya matangazo mbashara ya hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza, Ziwa Victoria iliyofanyika tarehe 12 Februari, 2023 kwamba mtangazaji alichokusudia kukisema ni kuwa MV Mwanza itasafirisha mizigo...
Watumishi watano wa Kituo cha Afya cha Mikanjuni kilichopo Jijini Tanga wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi baada ya kufanya uzembe uliosababisha kifo cha Mama mjamzito Fatuma Mussa Suleiman (36) Mkazi wa Magaoni, aliyefariki baada ya kuwekewa damu ambayo hakustahili kupewa na hakuwa na...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.
Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni...
Kama kuna kitu kimeshangaza watu wengi ni uamuzi wa DRC kuyatimua majeshi ya kulinda amani ya EAC. Ilitarajiwa kuwa kikosi hicho cha EAC ndio kingekuwa mhimili katika shughuli za kuhakikisha amani inarejea mashariki wa DRC.
Lakini nchi hiyo imechoshwa na kikosi hicho kilichokaa nchini humo...
Wakati Jamhuri ya Kidemorasia na Kongo (DRC) ilipokubaliwa kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) mwaka 2022 watu wengi waliamini kuwa hatua hiyo inaweza kusaidia kumaliza machafuko yaliyodumu kwa muda mrefu katika eneo la mashariki mwa DRC.
Ilidhaniwa kuwa DRC ikiwa mwanachama wa EAC...
Wakuu,
Nini kinaendelea?
Nimeikuta hapa > https://www.klm.co.tz/information/travel-alerts
===
Latest alerts and rebooking policies
Tanzania - Civil unrest
Due to civil unrest in Tanzania from Friday 27 January up to and including Monday 30 January 2023, some of our flights to, from or via...
NOTE: This article was written in 2017
After more than a year in power, Tanzanian President John Magufuli had not managed to address corruption in the power sector, and corrupt pension funds, including the National Social Security Fund (NSSF) also successfully escaped his dragnet.
Pension...
MWANAHABARI nguli na mkongwe wa siku nyingi Dkt.Gideon Shoo ambaye pia alikuwa mchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi ndani na nje ya Tanzania amefariki.
Kwa mujibu wa taarifa za awali zilizoifikia DIRAMAKINI zinaeleza kuwa, Dkt.Shoo amefariki Julai 9, 2022 wakati...
Wakuu,
Usiku huu Uber wametuma ujumbe unaosomeka hivi:
👇🏾
Huduma ambayo ilianza kama wazo tu — la kutumia simu yako kupata usafiri ndani ya dakika chache— Mfumo wa Uber umeenea duniani kote na zaidi ya safari milioni 15 hufanyika kila siku kupitia kwenye mfumo huu. Imekuwa ni heshima kubwa...
Watafiti wamebaini takriban 7% ya watu wote duniani hupata Kipandauso, na angalau 9% hupata maumivu ya kichwa siku yoyote
Prof. Lars Jacob Stovner wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Norway anasema matatizo ya maumivu ya kichwa huweza kusababisha vitu mbalimbali ikiwemo matatizo ya...
Taarifa kutoka ndani ya Manchester United ni kuwa klabu hiyo ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kumtangaza Erik Ten Hag kuwa kocha wao mkuu alitokea Ajax ya Uholanzi.
Man United imeamua kumpa nafasi kocha huyo atakayeanza majukumu msimu ujao kutoka katika listi ya makocha...
> Rosemary Ndlovu will be back in court on 20 April over allegations that she plotted the murders of three people
Two of the people she allegedly wanted killed are her former boss and the investigating officer in the case of the six people whose murders she was convicted of
The third person is...
Shirika la Ndege la Kenya Airways (KQ) linatarajiwa kufanya mabadiliko makubwa katika utendaji kazi wake ikiwemo kupunguza safari na kuwaondoa kazini wafanyakazi kutokana na tatizo la fedha
Maamuzi hayo yametangazwa na Serikali ya Kenya kutokana na Shirika kujiendesha kwa hasara, hivyo maamuzi...
By Hannah Murphy in San Francisco
Microsoft said it uncovered attempts by a Russian state-backed hacking group to hack into US and EU government institutions to conduct cyber espionage as part of supporting Russia’s ground invasion of Ukraine.
In a blog post on Thursday, Microsoft said it had...
By Hannah Murphy in San Francisco
Microsoft said it uncovered attempts by a Russian state-backed hacking group to hack into US and EU government institutions to conduct cyber espionage as part of supporting Russia’s ground invasion of Ukraine.
In a blog post on Thursday, Microsoft said it had...
The US government has dismissed claims that the detained Nigerian influencer Ramon Abbas, known as Hushpuppi, executed a $400,000 (£304,000) internet fraud from prison.
Hushpuppi, 37, was arrested in the United Arab Emirates in 2020 for crimes that cost victims almost $24m and is currently in a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.