mv mwanza

MV Mwanza is a Lake Victoria ferry operating on Lake Victoria in Tanzania. The ferry is a Ro-Pax ferry that operates between the villages of Kigongo and Busisi south of Mwanza town across the Mwanza Gulf in east-west direction. MV Mwanza is not the only ferry along the route (there are three other ferries) which highlights the relevance of the ferry service.The ferry, now the largest Ro-Pax ferry on Lake Victoria, has two decks for vehicles and goods (main deck and boat deck) and an indoor passenger deck with seats. It was constructed by a local Tanzanian construction company in Mwanza, Songoro Marine Transport.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania MV. Mwanza Hapa Kazi Tu inatoa huduma au hapana?

    Hii meli mpya kabisa inafanya route zipi? Hii meli nakumbuka tuliambiwa imeanza rasmi safari zake kati ya Mwanza na Bukoba mwezi Sept mwaka jana. Lakini sasa hivi nadhani hii route bado inahudumiwa na MV. Victoria peke yake. Wenyeji wa Mwanza, Bukoba Musoma hii meli inato huduma huko mliko? Au...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania MV Mwanza ni wazo la Hayati Magufuli sio Samia

    Hivi karibuni, tumeshuhudia video mitandaoni kutoka kwa kina Photogenic Mtoto na kikosi chake. Wametupitisha kwenye madaraja ya kifahari ya meli mpya ya MV Mwanza "Hapa Kazi Tu", kuanzia VIP hadi daraja la kawaida. Kusema kweli, meli ni nzuri sana! Ina mvuto wa aina yake, na kwa mbali unaweza...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Meli ya New MV Mwanza ilivyofanya safari ya kwanza Mwanza kwenda Bukoba

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, tarehe 21 Septemba, 2025 ameshuhudia safari ya kwanza ya meli ya MV New Mwanza kutoka Bandari ya Mwanza Kusini iliyopo jijini Mwanza kuelekea Bandari ya Bukoba ikiwa imebeba wataalamu kutoka kwa Mkandarasi, Maafisa wa Serikali na wawakilishi kutoka vyombo vya...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi hii miradi kama SGR pamoja na Mv Mwanza ni mali ya CCM?

    Nimeshangaa sana huyu mwanaCCM kuongea namna hii. Kwamba wasiompigia kura Rais Samia wasipande SGR au kutumia barabara zilizojengwa kwa kodi za Watanzania. Hajui kuwa kila mtanzania awe CCM au sio CCM analipa kodi? Soma >> GE2025 - Kasesela: Kama unataka kumnyima kura Rais Samia, usiende...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Buchosa wamepokea kivuko MV Mwanza

    Kivuko cha MV Mwanza kimepokelewa katika Jimbo la Buchosa, ambapo kitakuwa kikifanya safari kati ya Nyakaliro na Kisiwa cha Kome Kivuko hicho kimepokelewa kwa shangwe na wananchi wa Buchosa wakiongozwa na Mbunge wao, Eric Shigongo, na kinatarajiwa kurahisisha shughuli za usafirishaji wa abiria...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli MV Mwanza kuanzia safari kupitia Singida, Tabora hadi Dodoma?

    WADAU nimekutana na mjadala kwenye kijiwe cha kahawa,naombeni usibitiaho kama Uzi hapo juu unavoeleza
  7. Informer

    JamiiForums Tanzania TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Vongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) unapenda kutoa fafanuzi kuhusu sehemu ya maudhui ya matangazo mbashara ya hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza, Ziwa Victoria iliyofanyika tarehe 12 Februari, 2023 kwamba mtangazaji alichokusudia kukisema ni kuwa MV Mwanza itasafirisha mizigo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akikagua meli mpya ya MV Mwanza (Hapa Kazi Tu) katika Bandari ya Mkoa wa Mwanza

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Meli Mpya ya hapa kazi tu katika Bandari ya mkoani wa Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteremka kutoka ndani ya Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV...
  9. J

    JamiiForums Tanzania MV MWANZA " Hapa Kazi Tu" yashushwa Majini, ni furaha kuu Jijini Mwanza!

    Tukio liko mubashara TBC Watu ni Wengi sana sana kwa kweli hii ni Baraka Wafuasi wa vyama wakiwa Ndani ya sare zao nao wapo CCM, Chadema na ACT Wazalendo Mungu ni Mwema wakati Wote
  10. K

    JamiiForums Tanzania Meli ya MV Mwanza kushushwa majini Februari 12

    Ni Magufuli tena. Tukio hilo la kihistoria la kushushwa kwenye maji kwa meli hiyo inayojengwa katika Bandari ya Mwanza Kusini litaongozwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Huduma ya Meli nchini (MSCL), Eric Hamissi amewaambia waandishi...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yaonesha picha matengenezo ya MV Mwanza yalipofikia leo Januari 11, 2023

    Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeweka picha hizi za MV Mwanza na kusema kuwa ndivyo hali ilivyo kufikia asubuhi ya Jumatano Januari 11, 2023:
Back
Top Bottom