Waandishi wa Habari Dennis Msacky na Aboubakary Liongo walamba teuzi ndani ya CCM

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,588
6,640
Vyanzo vyangu ndani ya CCM vinadokeza kuwa wanahabari wawili, Dennis Joe Msacky na Aboubakary Liongo wamelamba teuzi.

Dennis Joe Msacky kateuliwa kuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi.

Naye Aboubakary Liongo kateuliwa kuwa Mkuu wa Mawasiliano katika Idara ya Uenezi, Itikadi na Mafunzo ya CCM.

Msaky aliwahi kuwa Mhariri Mtendaji wa Mwananchi na New Habari. Liongo alikuwa msaidizi wa masuala ya habari wa Lowassa na mtangazaji wa michezo wa vituo kadhaa vya runinga vinavyotangaza Kiswahili.

Update
Imethibitika wahusika wameteuliwa kwenye nafasi hizo na wameshaanza majukumu yao.

abf4449e-c99b-4360-abac-62b1f414aac6.jpeg
 
Ndugu Zangu Vyeo Vipo Tuchape Kazi Huku Tukimtanguliza Mungu Mbele
 
Back
Top Bottom