dege eco village


  1. n00b

    Rais Magufuli: Uwekezaji wa NSSF wa Dege Eco Village(Kigamboni) haufai

    Asema bila kujali ulianzishwa na nani na kwa malengo gani ni uwekezaji usio na tija. Ungefanywa na kampuni binafsi ingeeleweka Asisitiza, tena kwa sasa ndo haufai kabisa kufuatia Serikali kuhamia Dodoma. Amewataka NSSF kujitafakari juu ya uwekezaji huu. Amesema kama SSRA wangekuwa makini...
Top