uber

 1. M-bongotz

  Naomba kujua biashara ya Uber kwa mkataba

  Wakuu Salaam, Baada ya saving za muda mrefu nimefanikiwa kununua kagari kadogo ambako nataka nikasajili kwenye biashara ya Uber. Nimeshasikia kuwa kuna utaratibu wa hesabu ya siku au Mkataba. Binafsi natamani zaidi huo mfumi wa mkataba ingawaje sina ABC's za kutosha juu ya namna unavyoendeshwa...
 2. Saa Mbovu Master

  Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

  Wakuu heshima kwenu, kuna jamaa anataka kuniazima gari yake ndogo, Mimi niwe dereva tu katika biashara ya usafirishaji wa uber, niwe nampa yeye kama mmiliki wa gari Tsh 25,000/= kila siku, je kuna faida yoyote ntapata mimi kama dereva tu, je uber wenyewe wanachukua kiasi gani kwa siku...
 3. No retreat no surrender

  Biashara ya UBER mwenye uzoefu naomba anifahamishe

  Naomba mwenye uwelewa na uzoefu wa biashara ya usafiri wa UBER anijuze please! Inaendeshwaje na mimi napataje commission yangu?
 4. M

  Natafuta IST au VITz ya kukodi kwa ajili ya uber

  Mwenye IST au VITz ya kukodi kwa ajili ya uber tuwasiliane! Nitamletea hesabu nzuri. Gari langu liko kwenye matengenezo makubwa! 0738969673
 5. mageta mageta

  Dereva wa uber

  Habari wana JF Dereva wa uber anahitajika Vigezo: 1. Awe na experience ya biashara 2.awe na account uber [active account] 3.awe mkazi wa dar es salaam Kama yupo anitafute kwa namba hii 0656735641
 6. Cicero

  Madereva wa Uber, tupeni stori za mnayokutana nayo hasa weekend

  Huu uzi ni kwa ajili ya madereva wa Uber ku-share mikasa wanayokutana nayo katika kazi zao. Nimeamua kuuanzisha baada ya dereva mmoja kunisimulia mastory ya abiria anaokutana nao hasa nyakati za usiku siku za weekend wakiwa wamekolea. Hivi vituko vinavoendeleaga vinawakuta na wengine? Nina hamu...
 7. Dee david

  Uber kenya

  Ni pesa gapi ambayo ni mrejesho wa madera kwa ma boss zao huko Kenya
 8. D

  MADEREVA WA UBER ,TAXIFY NA ROVA.

  Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam SIFA ZAO ★Wanajua ufundi wa magari ★Wamepitia mafunzo ya udereva ★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu ★wastaarabu ★Wasafi Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva kupitia Email hapo...
 9. D

  MADEVEVA WA UBER,TAXIFY NA ROVA DSM

  Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam ,Dodoma na Mwanza. SIFA ZAO ★Wanajua ufundi wa magari ★Wamepitia mafunzo ya udereva ★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu ★wastaarabu ★Wasafi Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva...
 10. D

  TAXIFY DODOMA

  Mfumo wa usafiri wa kimtandao wa Taxify sasa wawafikia wakazi wa dodoma. Kwa yeyote anaehitaji madereva wa hesabu au mkataba usisite kuwasiliana na jobsfacilitators@gmail.com Madereva wanapatikana, wastaarabu na waaminifu na wenye uzoefu na kazi. Gari...
 11. Mr. MTUI

  Kwanini Uber haziruhusiwi kuchukua abiria Mwalimu Julius Nyerere International Airport?

  Ni dhahiri kwa tuliowahi kutoka safari mbalimbali kupitia uwanja wa ndege wa JNIA bila watu wa kutulaki na kutaka kutumia Uber tutakuwa tumepata adha ya kulazimika kutembea hadi nje ya uwanja huo ili kupata usafiri huo. Najua mtasema "kwanini usipande taxi za ndani ya uwanja?" lakini jibu ni...
Top