Kuna changamoto kwenye kituo cha mwendokasi ambapo wakati wa ku scan inatoa notification haijafanikiwa ukirudia ku scan ikikubali wanakata fedha mara mbili. Leo nilikuwa naelekea kivukoni sasa nikaweka tsh 2000 ambapo cashier amedhibitisha hela iliwekwa kwenye card ,, sasa wakati nimeenda ku...
Nazungumza hapa nikiwa ni mmoja wa wanaofuatilia suala hili na ninaomba mamlaka husika zilichunguze kwa kina, baadhi ya wanafunzi wa University of Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa fedha za mkopo (boom) mara mbili kimakosa kutoka Bodi ya Mikopo (Higher Education Students' Loans Board - HESLB)...
Anonymous
Thread
boom
kimakosa
kwani
makosa
mara
takukuru
udsm
wanafunzi
Ukichunguza vizuri kuna baadhi ya wafuasi ,wakeleketwa na machawa Promax wa chama fulani kilochongukia katika list ya terrorist organization ,nina kila sababu ya kusema hawakupaswa kuwa katika zama za sasa za ustaarabu bali walipaswa kuwa stone age ,kwasababu maisha wanayoishi na fikra walizo...
Suala hili kiukweli linaumiza sana. Kulikuwa na amri ya kubomoa Kitalu namba 13, ambacho kiko upande wa nyuma na kilikuwa ni eneo la wazi lililovamiwa. Nyaraka zote za serikali, maamuzi ya mahakama, barua za notisi, na ramani zilikuwa zinaonyesha wazi kuwa zoezi lilikuwa ni kwa ajili ya Kitalu...
CRDB kama mpo hapa naomba mlifanyie kazi hii kero ya kuchelewesha kurudisha muamala hasa kwa sisi mawakala wa CRDB, Yaani muamala(shs 237,800/=) Wangu una mwezi mzima mpaka leo ni danadana, tunaomba basi muwe serious maana hizo ni pesa za KAZI.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amewataka Maafisa Habari, Uhusiano na Mahusiano wa Serikali kuuza huduma zinazotolewa kwa jamii ili umma ujue utekelezaji wa kila siku wa shughuli kwa jamii.
Mtanda ameyasema hayo leo tarehe 28 Mei, 2026 wakati akizungumza na uongozi wa Chama cha Maafisa...
Kila mmoja wetu ana ile series yake (TV Show) ambayo ilimfanya aingie kwenye "addiction" kuifuatilia. Ile ambayo unajikuta unafuta hata ratiba zako za muhimu ili tu upate muda wa kutazama episode nyingine.
Lakini, kuna maumivu ya aina yake pale story inapozidi kunoga, ghafla unakuta kituo cha...
Kamandi la Jeshi la Marekani (CENTCOM) imesema Machi 2, 2026 kuwa mfumo wa ulinzi wa anga wa Kuwait kwa bahati mbaya ulitungua ndege tatu za kivita za Marekani ikiwa vita dhidi ya Iran na Israel na Marekani ikiendelea.
Kwenye taarifa yao, CENTCOM imesema: "Saa 5:03 usiku Machi 1, 2026 ndege...
Baada ya sekeseke la Oct29 kuunda wizara ya vijana kulionekana kama sehemu ya majibu na tiba ya kilichotokea na kilichosababisha vijana wakubali kutumika.
Hata hivyo, vijana ni nani na wako wapi?. Vijana ni wale wenye umri chini ya miaka 40 hivi. Vijana hawa wengi wao wako kwenye familia...
Kwanza kataa ndoa nisiwaone huku, hii mada ni kwa wale tulowah kuishi maisha ya ndoa na familia yenye watoto.
Je mwanao au wanao walishawakuta mpo faragha kimakosa? Je ulichukua hatua gani ili kuondoa mental au psychological damage kwa mtoto?
Hii mara nyingi hutokea pale wazazi wakiwa na...
Habari wana jamvi
Jana jioni mida ya saa 12 katika mtaa mmoja ninaoishi nilikuwa nimekaa na washikaji zangu tukibishana kuhusu kanuni za mpira baada ya bodi ya ligi kuahirisha mechi ya watani wa jadi simba na yanga
Simu yangu mfukoni ika,vibrate kuashiria kwamba kuna sms imeingia, sikuifungua...
Naomba wenye kujua wanijuze hili, kuna bank furani ilituma pesa kimakosa February 1 katika account yangu... na baada ya kuchukuwa statement ikaonekana na mshahara uliolipwa kutoka kaasisi furani. (Mimi sio muajiriwa wa taasisi yoyote).
Baada ya siku tatu wakanipigia simu kupitia mtu wa bank...
Je, ni neno gani la kiingereza, Kiswahili au jina la mtu ambalo mtu wako wa karibu au mtu yeyote unayemfahamu aliwahi kutamka kimakosa mpaka ukaona aibu kwa niaba yake,
Ukamshusha hadhi uliyokuwa unampa au ukamhurumia.
Binafsi nimekuwa nikitana na watu tofauti tofauti wasomi na wasio wasomi...
Rasmi sasa WhatsApp waruhusu kuedit message uliyoituma kimakosa au bila kuwa na makosa lakini ungependa kuedit vitu kama vile emoji n.k
Ni uamuzi mzuri japo utaleta hoja kuhusu encryption ya message tutakazokuwa tuna tuma kwasabu WhatsApp ni end to end encrypted.
Kumbuka waweza kuedit text Yako...
Wanaukumbi.
Kama kawaida ya Jeshi la Israel kwa kujisifia ujingq.
⚡️🇮🇱 NDANI TU: Norit Yohanan - Kan Kiebrania:
Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa...
Salaam Wakuu,
Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.
Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.
Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.
"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja...
Wanajeshi Wawili wanatarajiwa kushtakiwa kufuatia shambulizi la anga lililosababisha vifo vya raia 85, Desemba 3, 2023 katika jimbo la Kaduna, Kaskazini-Magharibi mwa nchi hiyo
Shambulizi hilo linatajwa lilitokea wakati wa maadhimisho ya Kidini ambapo ndege ya Kijeshi isiyo na rubani iliyokuwa...
Watumishi watano wa Kituo cha Afya cha Mikanjuni kilichopo Jijini Tanga wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi baada ya kufanya uzembe uliosababisha kifo cha Mama mjamzito Fatuma Mussa Suleiman (36) Mkazi wa Magaoni, aliyefariki baada ya kuwekewa damu ambayo hakustahili kupewa na hakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.