Search results

  1. Dong Jin

    Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?

    ... 🔖 𝙉𝘼𝙉𝙄 𝙕𝘼𝙄𝘿𝙄 ? Baada ya ushindi wa Simba (6-0) dhidi ya Jwaneng nimeona mijadala mitandaoni watu wakibishana nani zaidi kati ya Chama na Pacome ?! Nami nimeona nisipitwe na mjadala huu. Kama kawaida yangu huwa naongea na takwimu kisha nawaachia mchambue wenyewe kama hivi ; 𝘾𝙃𝘼𝙈𝘼...
  2. Dong Jin

    Je, utabiri wa Pep Guadiola kuhusu mshindi wa Kombe la Dunia utaenda kutimia hapo Jumapili?

    Mnamo Oktoba Julian Alvarez alipohojiwa na waandishi wa habari, alisema: "Wachezaji wa Ureno na Rodri walikuwa wakizungumza kuhusu nani angeweza kushinda Kombe la Dunia. Walikuwa wakisema Ureno, Ufaransa, na mataifa mengine ya Ulaya. Kisha Pep [Guardiola] akasema, 'unajua nani ana nafasi nzuri...
  3. Dong Jin

    Simba wakiendeleza jadi yao ya uchawi

    Wakati kipindi cha pili kinaenda kuanza, Manura alielekea golini kwake na wakati anaweka taulo, kuna kitu cheupe alikitupa pale golini. Huu ni muendelezo wa matukio kibao ya Klabu ya Simba kutumia ndumba. Tufike mahali tuache mpira uchezwe, hizi kamati za ufundi hazitusaidii kwa lolote...
  4. Dong Jin

    Pitso Mosimane ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Bournemouth ya EPL

    Aliyekuwa kocha wa Mamelodi Sundowns na Al ahly ameteuliwa na klabu ya Bournemouth kuwa mkurugenzi wa ufundi. Awali ilisemekana "Mlete mdhungu fc" wana mpango wa kumleta kocha huyo mwenye CV iliyotukuka zaidi katika mpira wa bara hili 🤣🤣🤣 baada ya timu hiyo kumtimua kocha wao wa dunia Zolan...
  5. Dong Jin

    Hii ndio tofauti kubwa kati ya mkataba wa "sportpesa" kwa Yanga na "m-bet" kwa simba

    Mmoja ni kiprofeshino na mwingine wa chuplichupli.... Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga Mfano wa hundi ya malipo ya m-bet kwa simba Nadhani hapo mmejionea nani ana mkataba wa ukweli na nani katupiga changa la macho🥳🥳🥳🥳
  6. Dong Jin

    Kumbe bajeti ya Tanzania inaweza kuwa Tsh. Trilioni 2 na chenji ikabaki? Inafikirisha!

    Mwanzoni mwa utawala wa mama Samia, kuna mkopo wa trilioni 1.3 wa masharti nafuu ambao ulikopwa kwa ajili ya kupambana na janga la korona. Huu mkopo ulipata umaarufu zaidi baada ya aliyekuwa spika wa bunge mh. Job ndungai kuhoji kwanini mkopo huo umeombwa wakati tunaweza kutumia hela zetu za...
  7. Dong Jin

    Young Africans (Yanga) SC to the world

    Kila pembe ya dunia imeshuhudia hili tukio na kulizungumzia kwa ukubwa wake... Nisiwe na maneno mengi maana maneno bila uthibitisho ni porojo tu. Hebu chekini hapa. Hakika hii ndio klabu kubwa Afrika mashariki na kati, pengine Africa kwa ujumla.... Kongore wananchi..... 💪💪💪
  8. Dong Jin

    Marioo kashashindikana! Unyama alioufanya kwenye Dear Ex nimemnyooshea mikono

    Nisiwe na maneno mengi hebu usikilize afu utoe maksi zako
  9. Dong Jin

    Wimbo huu nautafuta sana, unaitwaje?

    Anaejua jina lake na msanii aliyeimba aniambie unaitwaje?! Maana nimehangaika sana bila mafanikio
  10. Dong Jin

    Wawekezaji (GSM & Mo Dewji) waheshimiwe!

    Wawekezaji waheshimiwe ! Kupitia kampeni za 'NANI ZAIDI', Simba kuchangia pesa kujenga uwanja, Yanga kujiandikisha kidigigitali,, Picha halisi ni aina gani ya mashabiki waliopo kwenye vilabu vya Simba na Yanga imeonekana. Katika zoezi la nchi nzima la kuchangisha pesa kujenga uwanja, ndani ya...
  11. Dong Jin

    Wimbo huu nautafuta sana, unaitwaje?

    Anaejua jina lake na msanii aliyeimba aniambie unaitwaje?! Maana nimehangaika sana bila mafanikio
  12. Dong Jin

    Messi L vs Ronaldo C

    Messi Vs Timu za Ulaya Ronaldo Vs Timu za Amerika Kusini Kumbuka: Kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya soka, Messi amefunga mabao matano katika mechi yake ya kwanza dhidi ya nchi ya Ulaya chini ya 100 katika viwango vya FIFA. Messi hajawahi kucheza dhidi ya nchi ya Ulaya chini ya 100 katika...
  13. Dong Jin

    Tuangazie tuhuma walizoelekezewa Azam TV na utetezi wao

    Kuna tuhuma imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa azam tv kupitia kipindi chao cha Toonami walirusha katuni yenye maudhui ya hovyo. Azam TV wametoa utetezi kuwa sio ukweli, na ni uzushi ili kuiharibia kwa jamii Sasa kama tuhuma zimepelekwa ka azam TV, kuchunguza kafanya azam TV na...
  14. Dong Jin

    Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    Ijumaa hii ya tarehe 11, Diamond Platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia...
  15. Dong Jin

    Diamond Platnumz na Rayvanny wanazidi kuchanja mbuga Afrika! Hakika hawa ni Tanzanian heavyweights

    Hii ni list ya views za wasanii wa ukanda wa chini ya jangwa la sahara kwa mwaka 2021. Kwa Tanzania ni diamond na rayvanny ndo walioingia top ten
  16. Dong Jin

    Macvoice katika tuzo za kimataifa AEAUSA, mbona Ibraah na Tommy flavour siwaoni?

    Majina ya wanaowania tuzo za Africa Entertainment Awards (AEAUSA) zinazotolewa huko marekani yimetoka. Moja kati ya vipengele katika tuzo hizo ni kipengele cha BEST NEW ARTIST ambapo to my great suprise nimekutana na jina la MACVOICE Macvoice ana takiribani mwezi na siku kadhaa toka...
  17. Dong Jin

    Mwenye suluhu ya uume mdogo (kibamia) kwa njia za asili aokoe jahazi la walio wengi

    Kuna nyuzi nyingi sana zimeanzishwa humu watu wakiomba msaada wa kusaidiwa kuondokana na tatizo la uume mdogo. Lakini hakuna hata msaada zaidi ya kukejeliwa na kuchekwa... Kuna walio na tatizo hilo toka wadogo na wengine kujikuta uume unasinyaa ukubwani... Watu wanasema apime ukiwa umesimama...
  18. Dong Jin

    Mwenye kujua mbadala wa viagra, alkasusi na vumbi la kongo ambayo unaweza itengeneza mwenyewe locally

    Wanajamvi habari, Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, hivi mbadala wa haya madawa ambao unaweza kuuandaa mwenyewe getoni kwako na ukaleta ufanisi unaoendana nayo ni upi? Maana kila ukimuuliza mtu atakwambia hayo mabooster ya hospitali hayafai. Wengine wanakwambia mikongo na jamii yake nayo ni...
  19. Dong Jin

    Hahahaaah! Watani hongereni kwa kuhamishiwa shirikisho

    Hahahaaah! Dah... Wikend yangu inataka iishe vizuri leo... Bado liva anifurahishe nilale Kikosi kipana... Leo kimepanuliwa palepale kwa mkapa ambapo huwa hatoki mtu! Wani wei tu shirikisho... Na kule mnatinduliwa palepale kwny mshono wa marinda box
Back
Top Bottom