Mwenye suluhu ya uume mdogo (kibamia) kwa njia za asili aokoe jahazi la walio wengi

Dong Jin

JF-Expert Member
Jun 4, 2018
754
1,442
Kuna nyuzi nyingi sana zimeanzishwa humu watu wakiomba msaada wa kusaidiwa kuondokana na tatizo la uume mdogo. Lakini hakuna hata msaada zaidi ya kukejeliwa na kuchekwa...

Kuna walio na tatizo hilo toka wadogo na wengine kujikuta uume unasinyaa ukubwani... Watu wanasema apime ukiwa umesimama, nami nasema ukikiangalia kidole chako cha mwisho cha mkononi ndo urefu halisi wa hivyo vibamia vikiwa vimesimama imara

Sasa wenzetu wanavyoomba msaada tuwe tunawaelewa na kuwasaidia upatikanaji wa hizo dawa na si kumcheka au kukejeli

Basi wale wanaoweza kusaidia tiririkeni hapa watumie nini au kuna dawa gan inafaa zaidi?

Natumai tutawasaidia wenzetu
 
Issue hapa sio ukubwa au udogo. But how u can kick it. Mimi dawa naijua, ila ukiitumia inakuza viungo vyote kuanzia pua, masikio, na matiti. Nikupe ukiota maziwa kama wadada sawa. Pua ikiwa kubwa fresh na masikio yakifia ya sungura uikubali hiyo hali maadam dushe nalo litakuwa limeomgezeka.
 
Hahahaaah! Jomba utaua watu...
 
Hili Najua Baadaye Litazaa Issue Za Vanilla, Mr Kuku, Deci

Endelea Kuwatengeneza Tu
 
Yaani kama kengele zile za kanisani
 
Basi kwenye ule umbea wenu wa saluni muwe mnawatetea wanaume wanaosemwa kwa vibamia vyao... Kuna jamaa kanusurika kujiua kisa kusemwa mpaka na kitoto cha darasa la 7 kilichomaliza juzi tu hapo
Nae ni Fataki kitoto cha darasa la saba alikivulia nguo!
 
Kuna nyuzi nyingi sana zimeanzishwa humu watu wakiomba msaada wa kusaidiwa kuondokana na tatizo la uume mdogo. Lakini hakuna hata msaada zaidi ya kukejeliwa na kuchekwa...

Kuna walio na tatizo hilo toka wadogo na wengine kujikuta uume unasinyaa ukubwani... Watu wanasema apime ukiwa umesimama, nami nasema ukikiangalia kidole chako cha mwisho cha mkononi ndo urefu halisi wa hivyo vibamia vikiwa vimesimama imara

Sasa wenzetu wanavyoomba msaada tuwe tunawaelewa na kuwasaidia upatikanaji wa hizo dawa na si kumcheka au kukejeli

Basi wale wanaoweza kusaidia tiririkeni hapa watumie nini au kuna dawa gan inafaa zaidi?

Natumai tutawasaidia wenzetu
Shida siyo kwamba watu hatutaki kutoa misaada kwa wenye hali kama hizo. ishu ni kwamba nyinyi mpo na utayari wa kiasi gani..

watu mpo katikati ya mashaka,,hujui humuamini nani na nani usimuamini. hapa tukisema dawa ipo utaipata kwa utaratibu wa kuchangia kiasi kadhaa au labda uambiwe njoo dm basi utahisi unaenda kutapeliwa. na watu wataanza kuku pump hapa hapa.

wengine mnataka dawa za kunywa leo na kupona kesho jioni. mnachekesha sana !
mtu una tatizo la muda mrefu. wengine wameathirika na PUNYETO na video za ngono kwa miaka kibao halafu unataka upewe dawa ya maajabu ya kusolve hilo tatizo kwa masaa machache...mtaendelea kupigwa.

mtu ukiambiwa lipia kiasi fulani utengenezewe formular utakayoitumia kwa miezi miwili mfululizo unaona ni utapeli..endeleeni kutafuta vya bure kama vipo.

wengine mnapewa formular kwa maelekezo ya kuacha kabisa PUNYETO na video za ngono lakini hamuachi mnataka muendelee kutumia hizo formula huku mkiendeleza hizo ishu za PUNYETO..hautapona hata iweje !

kama unauhitaji muombe Mungu akuongoze sehemu sahihi ya kupata suluhu ya hicho kinachokusumbua.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom