Je, utabiri wa Pep Guadiola kuhusu mshindi wa Kombe la Dunia utaenda kutimia hapo Jumapili?

Dong Jin

JF-Expert Member
Jun 4, 2018
754
1,442
Mnamo Oktoba Julian Alvarez alipohojiwa na waandishi wa habari, alisema:

"Wachezaji wa Ureno na Rodri walikuwa wakizungumza kuhusu nani angeweza kushinda Kombe la Dunia. Walikuwa wakisema Ureno, Ufaransa, na mataifa mengine ya Ulaya. Kisha Pep [Guardiola] akasema, 'unajua nani ana nafasi nzuri zaidi?'. Hakusema chochote [ila] akaninyooshea kidole."

Argentina sasa wamebakiza mechi moja kushinda WC.

💪💪💪💪💪💪💪💪
 
Back
Top Bottom