An all-rounder is a cricketer who regularly performs well at both batting and bowling. Although all bowlers must bat and quite a few batsmen do bowl occasionally, most players are skilled in only one of the two disciplines and are considered specialists. Some wicket-keepers have the skills of a specialist batsman and have been referred to as all-rounders, but the term wicketkeeper-batsman is more commonly applied to them, even if they are substitute wicketkeepers who also bowl.
Needs distributor tunauza na kusambaza Maziwa ya aina yote kampuni ya Brookside, Biskuti aina zote za kampuni ya Sunvet pamoja na Sabuni za kuogea Zuri..
Ofisi ipo dar es salaam sinza mori kwa uhitaji wa kuuza maziwa, Biskuti katika eneo lako la biashara karbu sana,
Tutumie order yako kwa namba...
Japo mimi na rap songs hazijaiva sana,
Ila napenda sana kusikiliza 90s raps pamoja na wasanii wachache kama
1:Kanye west
2: Dax
3:xxx tentacion
4:j cole
Ila muziki wa zamani hasa rap ilikuwa enzi hizo, watu walikuwa na akili hawakuwa mazombie wa siku hizi wanaimba vitu vya kijinga
Kipindi...
BEACH RESORT HOTEL FOR SALE IN MBEZI BEACH-WHITESAND ROAD
✅60 Rooms all en suite
✅2 Conference Halls
✅Swimming pools 2
✅Big Restaurant
✅Standby Generator
✅Has more than 60 Employees
✅Plot size Sqms 16,000
✅Document: Title Deed
Price USD $7m negotiable
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717...
Kila safari. Kila kituo. Kila mtaa.
Ni nafasi ya brand yako kuonekana👀
SantaPrint - Tunapeleka brand yako barabarani, barabara ina macho!
📍 Mwenge, opposite Mlimani City
☎️0743 717 072/ 0733 000 638
Tunachokijua(What we Know)
Uganda's Ministry of Education and Sports releases an official academic calendar each year, and any changes to term dates are communicated through official statements from the Permanent Secretary, not through unverified social media graphics.
Uganda’s Ministry of...
Omusuuga of Tooro, Prince Charles Kamurasi Akiiki has declared that he is now the interim leader of the Kingdom and royal clan, following the death of his nephew, Omukama Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV.
In a video posted on TikTok, he says, "Now all the power of the throne belongs to me. I...
Watanzania tuungane kwa pamoja tupigane na hiki kikundi Cha mashetani.
Kama mtu mkubwa kama huyu anajiuzulu Ina mana imefika pabaya na too much.
Too much arrogance
Too much innocent blood shed
Too much theft
It is time my fellow tanzanians
Mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia, Argentina, walijikongoja kufuzu hatua ya 16 bora na sasa wanakabiliwa na mtihani mgumu zaidi dhidi ya Misri katika mchezo utakaopigwa jijini Atlanta.
Argentina haikuonyesha kiwango cha kuridhisha katika hatua ya 32 bora, ambapo ilihitaji dakika za nyongeza...
Hivi ndivyo Samia anavyozungumziwa kimataifa.
Kwa kweli watu wanaomuunga mkono huyu muuaji siwaelewi kabisa.
==============
Serikali imepiga marufuku mikutano yote ya kisiasa, jambo ambalo limepingwa na wanaharakati na upinzani (Chadema) kama "ukandamizaji unaoongezeka" na jambo ambalo ni...
Kila kitu hubadilika ila mabadiliko ndo kitu pekee hakibadiliki.
Mabadiliko yanapokuja au kutokea , Jaribu kuyaeleweka na kubadilika kutokana na hayo mabadiliko .
Mfano mdogo ni platform za kufanya siasa.
Ili chama kiwe relevant au mwanasiasa awe relevant inambidi awe relevant mtandaoni kwa...
Habari wanajf,
Nimekuwa nikitazama mambo jicho la nini ni sahihi na sio nani ni sahihi?
Na kufahamu sababu yeyote ile inayokufanya kuwa sahihi (in moral sense) ,ndio sababu hiyo hiyo inayokufanya usiwe sahihi.
Kwa sababu ili jambo liwe Zuri kwako inabidi likufurahishe wewe?
Lakini tunasahau...
Tanzania has banned the use of the U.S. dollar and other foreign currencies for local transactions as the government moves to strengthen and protect the Tanzanian shilling.
Under the new directive, businesses and individuals will be required to conduct domestic transactions using the local...
Je, sasa ni wakati sahihi kusema all roads lead to Beijing ? Au ni kama ajali imetokea tu ziara za viongozi mbalimbali wa mataifa makubwa kuongozana Beijing ?
Nini hasa kinacho sukuma kwa sasa viongozi wakubwa kutii mguu Beijing kwa kipindi cha hivi karibuni ?
Ukiondoa ziara hii ya leo ya...
Seran una lolote la kutuambia? Its your day! Jiachie
Nawe mpenzi msomaji karibu ujumuike kwenye hili vibe!
NB: Hakuna kukerana hapa! Tupo kwa ajili ya chitchat na furaha yetu sote..
Don't cross the red line please..! You will be punished accordingly!
https://www.facebook.com/share/r/1CR9xuDei1/
Kero kubwa iko Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI kitengo cha UHAMISHO wa Watumishi UNAPEWA BARUA YA UHAMISHO LAKIN MSHAHARA HAUHAMI.
Hili JIPU linahitaji KUTUMBULIWA maana inasababusha mtumishi kukosa stahiki nyingi za kiutumishi!
Uganda’s Attorney General, Kiryowa Kiwanuka, has directed that all criminal proceedings arising from the nullified provisions of the Computer Misuse (Amendment) Act be terminated following a ruling by the Constitutional Court.
The directive follows a decision by the Constitutional Court of...
Yooote yanakwenda na mtaro wa maji machafu as long as maisha ya watu hukuyapa thamani na ukayapoteza.
1. Watu wasiojulikana walianza kipindi cha Magufuli
2. Where is Ben Saanane
3. ......And many others!
https://youtu.be/UiIa2i29PZ4?si=2FBzIVDQBmQWwV81
Sikiliza mistari, mstari kwa mstari
Sikiliza beat, sijui nani aliwatengenezea
Sikiliza Father Nelly(RIP) anavyonata na hilo beat
Sikiliza ujumbe mzito, ujumbe relevant mpaka leo
Ninazijua nyimbo zote za Rap toka 2010s kushuka chini. Nawajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.