Marioo kashashindikana! Unyama alioufanya kwenye Dear Ex nimemnyooshea mikono

Songi kali sana.

Huku kwetu Burundi kutokana na yanayoendeleq kwenye mahusiano hilo songi linakwenda kuwa songi la karne ukiacha lile songi la beer 🍺🍻🍺 tamu.

Marioo Marioo Marioo 👏👏👏
 
Nadhani mimi sikio langu halijapata kumuelewa huyu bwana mdogo,namuweka katika kundi la wasanii wanaotiatia huruma na kulalama/kulialia katika mashairi yao na sauti zao(Spack,pnc,tundaman,& B2K -Tunaendana, marioo n.k)!!SIFAGILII WATU WA KUTIATIA HURUMA & KULALAMA HOVYO.
 
Nadhani mimi sikio langu halijapata kumuelewa huyu bwana mdogo,namuweka katika kundi la wasanii wanaotiatia huruma na kulalama/kulialia katika mashairi yao na sauti zao(Spac,pnc,tundaman,& marioo n.k)!!SIFAGILII WATU WA KUTIATIA HURUMA & KULALAMA HOVYO.
Siku mkalie kitako umsikilize neno by neno ndo utamuelewa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom