Search results

  1. amshapopo

    DOKEZO Serikali mulikeni kiwanda cha pombe cha Kingdom kilichopo Kalobe Mbeya

    TRA Tanzania Hiki kiwanda kipo kata ya Kalobe Mbeya mjini. Kiwanda kina waajiriwa wengi na kinauza bidhaa zake sana. Cha ajabu baadhi ya bidhaa hazilipiwi stika ya TRA. Wafanyakazi tunalipiwa mishahara mkononi hamna payee kwa serikali. -Anakata NSSF kwa wafanyakazi lakini hawasilishi michango...
  2. amshapopo

    Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    Habari, Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu. Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia...
  3. amshapopo

    Hela ndogo ndogo unazozidharau ndo chanzo cha kufeli kwenye maisha yako

    Wasalam, Watanzania wengi tumekuwa na tabia ya kudharau pesa ndogo ndogo tuzipatazo. Chukulia mtu anaingiza ujira wa 10,000 kwa siku anakula na kutumia yote bila kusave chochote. Just imagine kama angesevu hata 3,000 kila siku kwa mwezi angeweza hata nunua mfuko wa mbolea kutosha kuanzia kulima...
  4. amshapopo

    Niyaonayo kwenye familia yangu; Vijana tuna la kujifunza kwani nasi ni wazee watarajiwa. Soon tutaumbuka!

    Nisiwachoshe! Nimezaliwa kwenye familia ya pangu pakavu tia mchuzi tule. Tupo watano, wote tumesoma Hadi elimu ya juu ila wenye kazi ya uhakika wa kipato yaani ajira maalumu ni watatu. Mzee alistaafu miaka mitatu iliyopita na kufanikiwa kupata kiinua mgongo not less 50ml sasa hivi ni mwendo wa...
  5. amshapopo

    Nimeamini Maisha sio kombolela nimepata akiba 14.7ml Mwaka huu!

    Mwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo...
  6. amshapopo

    CCM na kauli 'watatufanya nini sisi ni wenye dola' siku si nyingi itawageuka!

    Wana CCM hawana uoga na kitu chochote wanacho amua kufanya, wanaamini kushika kwako dola ndo kila kitu kwao. Wapo wanaoamini wao na familia zao watatawala milele. Lakini naamini hakuna marefu yasio na ncha. Moshi mweupe umeanza kufuka, watanzania wa sasa sio wajinga kama miaka iliyopita. Mwisho...
  7. amshapopo

    Kama unataka unataka hela ndefu weka mzigo kwenye hisa za Tanga cement PLC

    Wakuu hisa za Tanga cement zimerise for almost 50% ndani ya wiki mbili tu. Kama mjuavyo hii mostly imechangiwa kwa kampuni hii kuuzwa kwa Twiga cement company PLC hivyo future prospectus itakuwa njema zaidi. Kama una mpunga tupia Tanga cement PLC hutojuta. Asante
  8. amshapopo

    SoC03 Jinsi kazi za ndani zinavyotokomeza ndoto za watoto wa kike

    Imekuwa ni kawaida kwa desturi zetu za sasa, hususani maeneo ya mijini pindi familia inapohotaji msaidizi wa kazi za ndani ya nyumba, hupelekekea kupiga simu maeneo ya pembezoni mwa miji Ili kupata msaidizi wa kusaidia kazi za ndani. Wengi wetu tumekuwa tukihitaji wafanyakazi hawa bila kufuata...
  9. amshapopo

    SoC03 Utakufa! Nitakufa! Tutakufa! Maisha mapito duniani tuishi na watu vizuri

    Maisha ya sasa duniani yamekuwa kama uwanja wa vita. Binadamu tumeendekeza maisha ya duniani na kujijengea himaya zetu kana kwamba tutaishi milele. Hebu jaribu kutafakari visa vinavyotokea kila siku; Mauaji ya kinyama kwa kulipiza visasi. Wizi wa mali ulikithiri ( especially kwa viongozi wa...
  10. amshapopo

    SoC03 Njia duni za utunzaji wa fedha ndio chanzo cha umaskini kwenye jamii zetu. Tuziepuke!

    Habari, Watanzania wengi ni watu wenye vipato vyenye kukidhi mahitaji madogo madogo ya kila siku. Kwa kuzingatia hilo kumekuwa na harakati mbalimbali za kupambana na hali duni za maisha kwaajili ya kutafuta kipato cha uhakika kitakacho wafanya waishi maisha mazuri. Zifuatazo ni njia duni...
  11. amshapopo

    Wataalam wa hisia DSE

    Wasalam, Naomba kujua ni hisa gani zinafanya vizuri Dse kwa sasa? Nataka nijitoe muhanga kununua hisa.
  12. amshapopo

    Mwaka 2022 unaelekea mwisho, Malengo yako yalikuwa yapi? Umetekeleza nini? Changamoto? Let's share experience!

    Habari wakuu. Binafsi mwaka huu niliwekea Malengo makuu matatu. 1. Kuhama nyumba ya kupanga na kuhamia kwangu (Nyumba ilikuwa hatua za mwisho yaani finishing) mungu amesaidia nimetekeleza. 2. Kuwa na eneo la ziada (plot) ambayo itakuwa kama asset ya baadaye. Nimetekeleza. 3.Kuwa na mtaji wa...
  13. amshapopo

    Kiuchumi lipi wazo la busara wazo la busara kati ya haya?

    Habari wanajamii wenzangu. Je, ukipata hela ni wazo lipi bora kulifanya kati ya mawazo yafuatayo? 1. Kununua kiwanja au viwanja kwaajili ya uwekezaji wa baadaye. 2. Kufanya biashara ya mazao. 3. Kuhifadhi pesa fixed account au tresuary bond na bills. 4. Kununua vyombo vya usafirishaji Kama...
  14. amshapopo

    Dkt. Kalemani tunaomba imulike TANESCO jiji la Mbeya rushwa imezidi kuunganishiwa umeme

    Habari wanajamvi, Kiukweli kuunganishiwa umeme kwa jiji la Mbeya, imekuwa kama ni hisani. Nimelipia nguzo ili niunganishiwe umeme laki 567,000 tokea mwezi wa pili lakini hadi leo sijapata huduma ya kuunganishiwa umeme. Nimefuatilia ofisini kwa mara kwa mara wanasema tutakuja tutakuja lakini...
  15. amshapopo

    Swali Fikirishi: Kuna anayewaelewa CHADEMA kwa sasa? Mbona kama wamepotea kabisa? Au ni mimi tu?

    Habari wadau, Kiukweli kwa CHADEMA ya sasa sijui inaelekea wapi! Nimejaribu kumsikiliza Katibu Mkuu wa wa CHADEMA katika press yake ya leo, lakini naona kama amepaniki vile. No hoja. Kipindi cha miaka ya nyuma katibu mkuu akiongea ni kama nchi inasimama. Saivi no Sera ni kama taarabu vile...
  16. amshapopo

    Tuliotoboa kampuni za Wahindi/ zinazosimamiwa na Wahindi tuambizane

    Habari wanajamvi, Kwakweli kufanya kazi kampuni zinazomilikiwa na Wahindi ni pasua kichwa. Ila cha ajabu hii kampuni ninayofanya kazi ni kama miujiza. Muhindi ambaye ni boss wetu ametupa uhuru mkubwa sana ikiwemo kujadiliana naye masuala ya mishahara na maslahi mengine. Pia, ametuwezesha...
  17. amshapopo

    MTAZAMO; Wanaoshadadia maandamano ni wezi, waliotumbuliwa, n.k

    Kwa mtazamo wangu watu wengi wanaohamasisha maandamano ni wale ambao wamechoka na maisha kiufupi wakishawishiwa na baadhi ya watu ambao akili zao zimeyumba hivyo wanataka kuonekana kama wanaushawishi ndani ya nchi. Siamini kwamba kama MTU unamajukumu yako uandamane uache shughuli zako za...
  18. amshapopo

    Rais Magufuli kwenye suala la ununuzi wa kahawa, tunaomba utusaidie vijana wako kampuni zinafungwa

    Kwako mheshimiwa raisi, Pole na majukumu. Mimi ni mojawapo wa vijana tulioajiriwa kwenye kiwanda cha kahawa kinaitwa CMS yaani Coffee management service tupo zaidi ya vijana 1300 tulioajiriwa moja kwa moja na wengine kwa mkataba. Kutokana na kauli ya waziri mkuu ya kampuni za kahawa kutokununua...
  19. amshapopo

    Wakuu hili la wabunge wa chama flani (.......) kutiwa nguvuni ni kiki tu au kuonewa?

    habarini wakuu. Nimekua kila mara nikiona na kusikia kuwa wabunge wa chama flani wakitiwa nguvuni na dola. Huwa napata kigugumizi na kujiuliza maswali yafuatayo; 1. je kuna kiki ya kisiasa ndani yake? 2. Au kuna hali ya kuonewa ndani yake? 3. Kama ni kuonewa kwanini ni wao tu? 4. Kwanini...
  20. amshapopo

    Ishu ya bombardier haiwezi kubadilisha upepo

    Habari, nimekua nikiona uzi nyingi kuhusiana na bombardier kushikiliwa ikihusishwa na masuala ya kisiasa. Ni kweli jambo limetokea lakini haliwezi kubadili upepo kwa sisi wananchi wanyonge kushindwa kumuamini Raisi wetu kipenzi JPM. Tunaamini katika kusimamia kweli na maendeleo hayakosi...
Back
Top Bottom