Tuliotoboa kampuni za Wahindi/ zinazosimamiwa na Wahindi tuambizane

amshapopo

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
730
1,261
Habari wanajamvi,

Kwakweli kufanya kazi kampuni zinazomilikiwa na Wahindi ni pasua kichwa.

Ila cha ajabu hii kampuni ninayofanya kazi ni kama miujiza. Muhindi ambaye ni boss wetu ametupa uhuru mkubwa sana ikiwemo kujadiliana naye masuala ya mishahara na maslahi mengine.

Pia, ametuwezesha kupata mikopo ambayo imetusaidia kujenga vibanda vyetu na usafiri binafsi.

Huwa tunajiuliza hivi huyu ni Muhindi kweli ama? Maana tunaona wenzetu makampuni mengine wanavyotaabika.

Tupeane ujuzi jinsi ulivyotoboa kampuni ya Muhindi au inayosimamiwa na Muhindi.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka utakuwa unafanyia jamana
 
Back
Top Bottom