watoto wa kike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    Wanaume mlio oa na mlio na watoto wa kike wakubwa ( mabinti vigori/li) Hivi jina " Dullah" liliwakosea nini mbona mnali demonize hivyo?

    Kosa jamaa aambiwe " Kaka mkeo alikuwa anaongea na Dullah" yani jamaa hata kama hamfahamu huyo Dullah basi atawaza tu kwamba huyo Dullah anatembea na mkewe. Atagombana na mkewe na atakuwekea jealousy wewe Dullah. Unashangaa tu unakutana na mtu barabarani ana kuangalia kwa chuki unabaki...
  2. Melki the Storyteller

    Hakuna maisha bila watoto wa kike. Nimechoka

    Mtanisamehe sana wale wenzetu mlio katika mfungo mtakatifu. Muda huu ndo napata kugundua kuwa hakuna maisha pasi na mwanamke. Nimekaza sana ndugu zanguni, huu ni mwezi wa sita sijaiona mbususu tofauti na kwenye simu tu. Hii ilikuwa ni baada ya kugundua kuwa hawa viumbe wanamaliza sana mifuko...
  3. LIKUD

    Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

    Juzi niliandika Uzi hapa nikisema Mtoto wa kike anakuwaga mzuri sana kwa baba akiwa bado hajavunga ungo ila akisha vunja ungo anakuwa an alien to her daddy. Watoto wadogo waliniponda lakini watu wazima walikubaliana na nilicho kiandika. Hazijapita hata siku mbili tumeyaona ya mtoto wa Madee...
  4. sky soldier

    Mnaowalea watoto wa kike bila kuwafundisha kazi za nyumbani mnawaandalia mazingira gani wakiwa wakubwa?

    Ni siku ya leo nimekumbuka nikiwa kwenye mahusiano hapo miaka ya 2015 na binti moja mrembo, mapenzi yalinoga sana lakini baada yakuanza kuishi nae niliona mapungufu mengi sana, la kwanza kabisa alikuwa hajui kupika yani ugali sometimes unakuwa mbichi halafu hata hajishughulishi kuongeza mboga za...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ntate: Wazazi Kuweni Makini na Malezi Hasa ya Watoto wa Kike

    Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate amewaasa wazazi na walezi kuwa makini na malezi ya watoto hasa watoto wa kike kwa kuwa watoto hao wapo hatarini sana kutokana na kukumbana na vishawishi vya kila aina tofauti...
  6. Ricky Blair

    Watoto wa kike wapo wengi kuliko wa kiume

    Unajua nimenotice from a personal perspective kutoka marafiki, ndugu hata watu wengine kwamba wanapata watoto wa kike sana kwa rate kubwa kuliko wa kiume yaani kama 60 to 70% ratio compare to boys. Na pia Tanzania kama unavyoona kwa map hapo rangi ya bluu ni moja ya nchi yenye wanawake wengi...
  7. Hyrax

    Watoto wa kiume ni wagumu kuwasadia wazazi wao kuliko watoto wa kike

    Hili jambo nimelifuatilia muda mrefu sana hapa barani africa esp. Tanzania wazazi wanaenjoy tu pale ambapo mama akipata toto la kiume jamii inakuchukulia mtu wa thamani sana yaani hongera unapata nyingi lakini kadri toto hilo la kiume linavyozidi kuwa kubwa ndivyo linavyoanza kuwa jitu la hovyo...
  8. digba sowey

    SoC03 Huu ndio mwarobaini (Suluhu) dhidi ya mimba kwa watoto wa kike mashuleni na majumbani

    Karibuni katika kuchangia mawazo ili kuweza kupata mbinu zitakazo wezesha kumnusuru mtoto wa kike dhidi ya mimba za utotoni na ukatili wa kingono,mara nyingi naweza sema kuwa serikali imekuwa nyuma sana katika kuhakikisha kuwa inazuia na inaweka mazingira ambayo mtoto wa kike anakuwa katika...
  9. amshapopo

    SoC03 Jinsi kazi za ndani zinavyotokomeza ndoto za watoto wa kike

    Imekuwa ni kawaida kwa desturi zetu za sasa, hususani maeneo ya mijini pindi familia inapohotaji msaidizi wa kazi za ndani ya nyumba, hupelekekea kupiga simu maeneo ya pembezoni mwa miji Ili kupata msaidizi wa kusaidia kazi za ndani. Wengi wetu tumekuwa tukihitaji wafanyakazi hawa bila kufuata...
  10. Stephano Mgendanyi

    DC Mwegelo akabidhi Baiskeli 200 kwa Watoto wa Kike shule 10 Korogwe

    MHE. JOKATE MWEGELO AKABIDHI BAISKELI 200 KWA WATOTO WA KIKE SHULE 10 KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Jokate Mwegelo amekabidhi baiskeli 200 kwa Wanafunzi wa kike kwa Shule 10 za Sekondari Wilayani humo ambapo amesema zitawasaidia Vijana wa kike kufika Shuleni kwa wakati na kuondokana na...
  11. To yeye

    Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

    Nadhani mmeona wenyewe mambo aliyofanya ASHRAF HAKIMI na wanaume pia baadhi ya wanawake wanavyofurahia alichokifanya. Mwanaume anamdharau mwanamke anamthamini mama yake. Yaani anamthamini aliyemzaa anamdharau aliyemzalia, namaanisha anamdharau mama anamweshimu mama, nadhani mmenielewa. Kiufupi...
  12. The real Daniel

    Kusoma Sheria kunawachanganya watoto wa kike

    Baada ya kusoma Sheria watoto wakike wanashindwa kufit kwenye jamii. Ndoa zao ni taabu na nyingi maana wanataka kureason Kila kitu na kupigania 50/50. Wanakuwa brainwashed kwa kiwango kikubwa na kugeuka watetezi wa lifestyle za ulaya na wanaona Mila na desturi za waafrica ni barabaric na...
  13. Mparee2

    Tulee watoto wa kike waukubali uwanawake

    Ukifuatilia huku mtaani kuna nguvu ya kutaka kuwalinganisha Watoto wa kike na wakiume kitu ambacho kimsingi sina tatizo nacho ila tatizo ni utekelezaji wake Namaanisha kuna gap kubwa tunaliacha kwa kukosa kulea Watoto wetu wa kike kujikubali na kujiamini kuwa wao ni Wanawake na kuwafunza...
  14. MakinikiA

    Kama una kijana hana la kufanya nyumbani, usimuache na watoto wa kike au wa kiume peke yao

    Kisa cha kweli, Mtoto alikuwa analelewa na bibi yake Naye bibi kalundika vijana wasio na kazi wanakula bure na kulala bure, mmoja wa vijana ana tabia ya kuwalawiti watoto huyu wa sasa ni watatu. Issue ikajulikana Mara kutahamaki bibi wa aliyelatiwa anamaliza tatizo kifamilia mwenye mtoto...
  15. L

    Mjumbe wa CPC ajitolea kuwasaidia watoto wa kike kupata elimu

    Mwaka 1995 ulikuwa ni mbaya sana katika maisha ya Zhang Guimei, kwani ni mwaka ambao alimpoteza mume wake mpenzi aliyefariki kutokana na kuugua saratani, baada ya kutumia akiba yao yote kumpatia matibabu. Zhang Guimei ambaye amechaguliwa kuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha...
  16. Sildenafil Citrate

    Hedhi ya uongo kwa watoto wa kike baada ya kuzaliwa

    Ndani ya wiki moja baada ya kuzaliwa, mtoto wa kike anaweza kutokwa na kiasi kidogo cha damu kwenye via vyake vya uzazi. Kitendo hiki kinachofahamika kama false menses (Hedhi ya uongo) ni cha kawaida lakini hakipaswi kutokea tena hadi pindi atakapo vunja ungo. Huchangiwa na kuondoka kwa...
  17. DR HAYA LAND

    Hawa watoto wa kike ambao wanapewa mimba na kuzalia kwao ndo wanakuza umasikini katika familia

    Tafsiri ya umasikini ni laana. Yaani nimeangalia Familiya za kibongo watoto wa kike ndo wanaleta umasikini yaani mtu anazalia kwao bila hata Aibu Yaani wazazi wamekulea Kwa shida bado unashindwa kuolewa unaishia kuzalia kwenu huku baba wa mtoto hachangii chochote Unazaa mtoto then hujui nani...
  18. K

    Umefika wakati sasa wa Serikali kulegeza masharti ya umilikishaji wa silaha kwa watoto wa kike

    Kutokana na haya tunayoyaona yakiendelea ya akina Swalha Kiduku kupigwa risasi kichwani, naona iko haja ya Wanawake hasa walioko kwenye ndoa kuwezeshwa kumiliki miguu ya kuku (bastola) ili kubalance mahesabu Au mnasemaje masela ? Tuuze nchi tugawane mahela ? Naomba uzi huu bwana GENTAMYCINE...
  19. dubu

    Dr. Mzuri: Wanaotaka Watoto wa kike wanaojiingiza kwenye Mapenzi wakiwa na Miaka 15 Wafungwe Gerezani wanakosea sana

    Mkurugenzi TAMWA-ZNZ awashangaa wanaotaka mabadiliko ya sheria Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa habari wanawake TAMWA-ZNZ Dkt,Mzuri Issa amesema mtazamo wa baadhi ya wanajamii kutaka watoto wakike wanaobakwa waliofikisha miaka (15) wawe sehemu ya kupata adhabu kisheria ikiwemo kufungwa...
  20. T

    Jakaya Kikwete achaguliwa kuishinikiza Taliban kurudisha watoto wa kike shule

    Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia... Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto wa kike shule akiwa kama mwenyekiti wa Global Partnership for Education. Mtu atakaepata mkanda wa...
Back
Top Bottom