Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

amshapopo

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
733
1,271
Habari,

Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.

Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
 
Habari,

Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu. Siitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
mie nilidunduliza nikafika mil 22,nikaenda bank nikachukua loan ya 40m nikaweka kwenye ujenzi.
 
Habari,

Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu. Siitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Niliuliza kwenye Uzi flani je kiwango cha kuwekeza huko utt ni shingapi ikawa kama fumbo!
 
Back
Top Bottom