Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikuu mojawapo ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita makao ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, ikiteketezwa na Jeshi la Israel .

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa tahadhari za kiusalama ikiwemo hofu mabomu ya kujitoa muhanga.

View attachment 2836051
Wanavuna walichopanda.
Mwana kulitafuta mwana kulipata!
 
jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel .

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

View attachment 2836051
Mkuu sky soldier,
Tunaomba source ya habari hii?
Kuondoa utata tu maana wapo wanasema hao ni raia wakawaida.

Ahsante.
 
Mara wapo 3000 mara ni sawa na panya road mara allah akbal yaani hata hamueleweki ili mradi tu mpigwe na kutafuta huruma.Tumieni askari wasioonekana(majini wema) mtawashinda Wayahudi.
Unyama waliufanya Hamas October 7 kuua watu wakiwa vitandani kuteka wazee na vitoto vichanga yaani hata Majini na baba lao iblisi yamewakataa Hamas yamesema Allah hajawafundisha waliyofanya Hamas wameanzisha group la Shetani Mpya
 
jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

Kuna raia Zaidi ya 300,000 bado wako gaza kaskazini na wengi walirudi kipindi cha usitishaji wa mapigano.
 
Unyama waliufanya Hamas October 7 kuua watu wakiwa vitandani kuteka wazee na vitoto vichanga yaani hata Majini na baba lao iblisi yamewakataa Hamas yamesema Allah hajawafundisha waliyofanya Hamas wameanzisha group la Shetani Mpya
Hamas wameshambulia october 7 lakini israel ameizingira gaza kwa zaidi ya miaka 50 na anauwa wa palestine anavyojisikia kwahyo ulitaka miaka yote wakae kimya tu kukubali uonevu huo wanavunjiwa nyumba zao maeneo wanawekwa wazayuni wanajenga nyumba hayo maeneo wanafanya ushoga humo halafu mnawaita watakatifu,km ww unaweza kuvumilia uonevu ni ww
 
Propaganda video hyo ww hamas uwakamate wengi hvyo kwa wakati mmoja hao wakitembea wengi sana 4 unafikiria km idf wanatembea makundi km nyumbu wakipgwa kombora wanakufa 50 km walivyouawa juzi 60 kwa wakati mmoja
jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

Propaganda video hyo ww hamas uwakamate wengi hvyo kwa wakati mmoja hao wakitembea wengi sana 4 unafikiria km idf wanatembea makundi km nyumbu wakipgwa kombora wanakufa 50 km walivyouawa juzi 60 kwa wakati mmoja
Chukua ndege hadi Egpty uende mpaka wa Rafah, uingie Gaza uombe kujiunga na Hamas, uombe kwendq mstari wa mbele, uje utuhadithie unyumbu wa IDF na ushujaa wa Hamas
 
Mamia ya wapiganaji wa HAMAS wamejisalimisha kwa jeshi la Israel kaskazini mwa GAZA. Picha zimesambaa mitandao ya kijamii ikionesha wanajeshi wa Israel wakiwa wanawatembeza uchi wa mnyama huku wengine wakipakiwa kwenye malori kupelekwa upande wa Israel.
IMG_20231203_171703_163.jpg
IMG_20231208_042142_300.jpg
IMG_20231208_042153_247.jpg
IMG_20231208_042152_868.jpg
IMG_20231208_042152_815.jpg
 
jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

Cc Faiza Fox na The Boss
 
Back
Top Bottom