wamuua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Ndugu wamuua dada yao wakigombea ardhi

    Wanaume wanne wamekamatwa kwa madai ya kumuua dada yao waliompiga hadi kumsababishia umauti kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mgogoro wa ardhi waliokuwa nao kwa muda mrefu. Tukio hilo limetokea siku ya Jumamosi usiku, wilayani Rukiga nchini Uganda, tovuti ya Monitor ya Uganda imeripoti. Watuhumiwa...
  2. M

    Ruvuma: Wazazi wamuua mtoto wao ili wapate utajiri

    Baba wa kambo na mama mzazi wanashikiliwa na polisi Ruvuma kwa tuhuma za kumuua na kumfukia kwenye shimo la takataka mtoto wao wa miaka 6 aitwaye Paul Haule huku sababu zikiwa ni imani za kishirikina ambapo wamesema wamefanya mauaji hayo wakiwa na nia ya kupata utajiri. Tukio limetokea katika...
  3. M

    Kiteto: Wamuua bodaboda na kunyofoa viungo vya mwili

    Watatu wakazi wa Kiteto mkoani Manyara akiwemo mwalimu wa sekondari Lesoiti, wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Kiteto, kwa tuhuma za kumuua dereva bodaboda na kunyofoa baadhi ya viungo vyake kwa imani za kishirikina. Watuhumiwa hao wamefikishwa mahakamani leo Novemba 28, 2022, baada ya...
  4. Jidu La Mabambasi

    Huko Geita: Watoto watatu watuhumiwa kumuua mama yao mzazi

    Kuua kunatisha. Kuua kwa makusudi kunatisha zaidi. Kuua mama yako kunatisha, kunasititisha na kuogofya, na ni laana kubwa. Kuna vijana wamemuua mama yao aliyewaleta duniani kwa kudai urithi wa shamba. Kwa jadi hizi tunaweza kumwelewa mwendazake. ---- Watoto watatu wa familia moja...
  5. Idugunde

    Geita: Wamuua mama yao Kikongwe wa miaka 70 kisa tu wanataka urithi wa shamba

    Picha: Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe amethibitisha tukio la Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji na kata ya Nyaruyeye Wilayani Geita, Milembe Lutubija (70) kuuawa kwa kukatwa mapanga na watoto wake kwa madai ya watoto kuhitaji...
  6. Analogia Malenga

    Wanamgambo wa Somalia wamuua mbunge wa kike katika shambulio la bomu la kujitoa mhanga

    Takriban watu 15, akiwemo mbunge mwanamke wa bunge la shirikisho la Somalia, waliuawa katika milipuko miwili ya kujitoa mhanga katika mji wa Beledweyne katikati mwa Somalia. Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble ametaja kifo cha Amina Mohamed Abdi kama "mauaji". Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi...
  7. Analogia Malenga

    Kigoma: Wamuua binti kwa kipigo wakimlazimisha kuolewa ili wapate ng'ombe

    JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa kijijicha Lufubu wilayani Uvinza kwa tuhuma za kumpiga fimbo mtoto wake Mbaru Juakali (17) hadi kusababisha kifo huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa ni kumlazimisha mtoto huyo kuolewa...
  8. C

    Kenya: Walinzi wamuua Mwanafunzi wa kiume baada ya kumkuta bwenini kwa wanafunzi wa kike

    Walinzi watatu wa Shule ya upili ya Wasichana ya Komothai Nchini Kenya wamekamatwa kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa kiume wa Shule nyingine jirani ya Wavulana aliyekutwa kwenye Bweni la Wasichana la Shule hiyo saa kumi alfajiri wiki iliyopita. Taarifa ya leo imesema Walinzi hao Joseph Mutahi...
Back
Top Bottom