watu 100

Watu Wote: All of Us, or simply Watu Wote is a 2017 Kenyan-German, live-action short film directed by Katja Benrath, as her graduation project at Hamburg Media School. The film is based on a December 2015 bus attack by Al-Shabaab in Mandera, Kenya. The film received critical acclaim, winning a Student Academy Award for Narrative, and received an Academy Award nomination for Academy Award for Best Live Action Short Film at the 90th Academy Awards. Production faced difficulties when the crew's camera was stolen before filming had begun.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Baadhi ya Waafrika waliopo kwenye orodha ya watu 100 wenye ushawishi duniani

    Kwa mujibu wa jarida la Times limetoa orodha ya watu 100 wenye ushawishi zaidi duniani kwa mwaka 2024 tarehe 17, Aprili 2024. Orodha hii imejumuisha watu wanaoshughulika na sekta mbalimbali kama biashara , Sanaa, michezo, muziki na nyingine nyingi. Wafahamu baadhi ya waafrika waliopo kwenye...
  2. Wizara ya Afya Tanzania

    Kati ya Wanawake 100, Wanawake 25 wana ugonjwa wa saratani Tanzania

    Na. WAF - Dar Es Salaam Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanawake 100, 25 wana Ugonjwa wa Saratani huku Asilimia 70 ya Wanawake inaonesha wana ugonjwa huo. Hayo yamesemwa leo Februari 4, 2024 na...
  3. JanguKamaJangu

    Majambazi yateka Watu 100 Kaskazini Magharibi mwa Nigeria

    Majambazi wanaodaiwa kutumia Pikipiki huku wakiwa na silaha za moto wamewateka Watu 100 Upande wa Kaskazini Magharibi mwa #Nigeria katika Vijiji vya Jimbo la Zamfara. Wenyeji wa Vijiji husika wanadai utekaji huo umefanyika kwa Watu walioshindwa kulipa 'kodi' iliyodaiwa na Watekaji hao, ikiwa ni...
  4. JanguKamaJangu

    EU yasema Watu 100 wahofiwa kuuawa nchini Burkina Faso

    Umoja wa Ulaya (EU) umetaka uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya Watu 100 kuuawa katika Vijiji kadhaa Nchini Burkina Faso hasa katika Kijiji cha Zaongo. Marekani pia imetoa kauli ya kulaani mauaji hayo licha ya Serikali ya Kijeshi ya Burkina Faso kutotoa kauli yoyote hadharani juu ya taarifa hizo...
  5. JanguKamaJangu

    Iraq: Moto waua Watu 100 harusini

    Mbali na Watu 100 kupoteza maisha wengine 150 wamejeruhiwa baada ya moto kuzuka wakati wa sherehe ukumbini katika Wilaya ya Al-Hamdaniya, Mji wa Nineveh. Chanzo halisi cha moto huo hakijabainika japokuwa taarifa za awali inadaiwa ni ulitokana na fataki kuwashwa eneo la tukio. Bibi harusi na...
  6. Boss la DP World

    Pendekezo: Tuombe Nchi ya Marekani Ituletee Watu 100 kuja kuongoza Nchi yetu

    Maendeleo hayana ubaguzi, kwakuwa ndani ya miaka zaidi ya 60 tumeshindwa kufanya mapinduzi kwenye sekta hata 1 niombe kwa heshima na taadhima tuiombe nchi ya Marekani itupatie vichwa 100 vitusaidie kutengeneza mfumo utakaoleta matokeo haraka na kutengeneza katiba mpya yenye tija. Kwanza hao...
  7. JanguKamaJangu

    Kenya: Kanisa la Mchungaji Ezekiel Odero lafungwa, zaidi ya watu 100 waondolewa

    Zaidi ya watu 100 wamehamishwa kutoka kanisa la Mchungaji Ezekiel Odero, la New Life Prayer Centre and Church, baada ya Mchungaji huyo anayedaiwa kuwa Mshirika wa Paul Mackenzie Nthenge kukamatwa mapema Aprili 27, 2023. Paul Mackezie anatuhumiwa kwa mauaji ya Waumini wake baada ya Miili 98...
  8. JanguKamaJangu

    Nigeria: Zaidi ya watu 100 wauawa baada ya vikundi vya wanamgambo kuvamia Wanakijiji

    Mauaji yametokea Kaskazini mwa Nigeria ikielezwa watu wenye silaha ambao ni Wanamgambo pamoja na vikundi vya kigaidi kuvamia vijiji na kuanza kushambulia kwa risasi na kuchoma moto nyumba. Abubakar Ahmed, kiongozi wa Serikali ya Mtaa ya Bukkuyum amesema idadi ya Watu waliofariki ni zaidi ya 100...
  9. BARD AI

    Philippines: Dhoruba ya udongo yaua watu 100, na mamia hawajulikani walipo

    Takriban watu 100 wamekufa katika moja ya dhoruba mbaya zaidi zilizoikumba Ufilipino mwaka huu huku wengine kadhaa wakihofiwa kutoweka baada ya wanakijiji kukimbilia kwenye njia iliyokumbwa na maporomoko ya udongo na kufukiwa na matope yaliyojaa mawe. Watu takriban milioni 2 wamepoteza makazi...
  10. JanguKamaJangu

    Somalia: Watu 100 waliuawa na wengine 300 kujeruhiwa katika milipuko wa mabomu Mogadishu

    Rais wa Somali, Hassan Sheikh Mohamud amesema milipuko hiyo imetokea katika magari mawili Jijini Mogadishu akilaumu kikundi cha Al-Shabab kuhusika na kuwa idadi ya vifo inaweza kuongezeka. Amesema kati ya waliouawa ni wamama, watoto na wanafunzi ambapo walipuaji walilenga Wizara ya Elimu na...
  11. BARD AI

    Somalia: Watu 100 wauawa kwenye mlipuko wa mabomu ya kutegwa kwenye magari

    Rais wa Somalia amesema kuwa takriban watu 100 waliuawa katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyofanywa kwenye barabara kuu ya Mogadishu na idadi ya vifo huenda ikaongezeka. Katika taarifa yake, Rais Hassan Sheikh Mohamud akiwa katika eneo la milipuko amewaambia waandishi wa habari kwamba watu...
  12. Nyendo

    Meru, Kenya: Zaidi ya watu 100 wakimbizwa hospitali kwa kula nyama ya ngamia aliyekufa

    Zaidi ya watu 100 walikimbizwa Hospitali baada ya kula nyama ya ngamia aliyekufa. Baadhi ya watu wakiwemo watoto wamelazwa katika hospitali ya Nyambene na wengine walitibiwa na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Daktari aliyewatibu amesema walikula Nyama ya ngamia ambaye nyama yake haikuwa salama...
  13. JanguKamaJangu

    Mafuriko yasababisha vifo vya Watu 100 Sudan

    Mvua zinazoendelea Nchini Sudan zimesababisha mafuriko huku idadi ya vifo vya Watu ikifika 100 Hali ya dharura imetangazwa katika majimbo 6 yaliyoathiriwa vibaya ambapo Afisa wa Umoja wa Mataifa amesema zaidi ya Watu 280,000 wameathiriwa na mafuriko katika majimbo 15 kati ya 18. Wananchi wengi...
  14. BigTall

    Ripoti ya UN: Iran imenyonga zaidi ya watu 100 kati ya Januari – Machi 2022

    Iran iliwanyonga zaidi ya watu 100 katika miezi mitatu ya kwanza ya 2022, hali ya kutisha ambayo inazidi kuongezeka, kulingana na ripoti ya katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres iliyowasilishwa Jumanne. Akizungumza mbele ya Baraza la haki za binadamu la Umoja wa mataifa mjini Geneva...
  15. JanguKamaJangu

    Zaidi ya watu 100 wameuawa katika shambulizi Mali

    Serikali ya Mali imesema raia wa kawaida 132 wameuawa baada ya vikundi vya waasi wanachama wa kundi lenye silaha la Katiba Macina linalotajwa kuwa na uhusiano na Kundi la Al-Qaeda kuvamia vijiji na kushambulia katika Mji wa Mopti. Matukio hayo yametokea usiku wa kuamkia Juni 18 na Juni 19, 2022...
  16. Lady Whistledown

    Takriban watu 100 wafariki katika mapigano ya wachimba madini nchini Chad

    Mapigano kati ya wachimba madini wadogo, yaliyodumu ndani ya juma moja kaskazini mwa Chad yamesababisha takriban watu 100 kupoteza maisha na 40 kujeruhiwa, na kupelekea machimbo hayo kufungwa kwa muda usiojulikana Inaelezwa kuwa mgogoro huo ulianza kama mzozo wa kawaida kati ya watu wawili...
  17. Huihui2

    Rais Samia yupo kwenye orodha ya Jarida la "Time" la watu 100 wenye ushawishi duniani kwa mwaka 2022, toleo la Mei 23, 2022

    Hii ni taarifa mbaya kwa "Haters" wa Rais Samia Nyani Ngabu, Nyankurungu2020, Mzee Mwanakijiji, Etwege, Idugunde, Suzy Elias, Beatrice Kamugisha
Back
Top Bottom