mhanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mpinzani

    JamiiForums Tanzania Tupac na Biggie hawakuuawa kwa sababu walichukiana. Walitolewa mhanga kwa sababu 'Mfu' hahitaji mshahara, halipwi mirahaba, na hadai hesabu za fedha.

    Nadharia ya Kijasusi: Nyuma ya Vifo vya Tupac na Biggie; Je, Kulikuwa na ‘Wall Street’, Polisi Mafisadi na Biashara ya Bima ya Maisha? Wakuu, salamu. Kwa miongo mitatu, ulimwengu unalishwa hadithi ya uongo—kwamba marapa hawa walikufa kwa sababu ya bifu la mitaani la East Coast na West Coast...
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Ogopa watu ambao mara nyingi wanatus wenzao "wewe choko/shoga", tafiti zinaonesha mtu anaependa kuongelea taharuki fulani mara nyingi nae ni mhanga

    Hio ndio saikolojia ya mwanadamu Sasa inaweza kuwa yeye ndio mtumiaji wa mashoga, anafir wanawake, yeye ndio shoga mwenyewe au anapenda kuangalia pornographia za mashoga.
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama kijana kabla haujafika miaka 35 tambua haya mambo kumi na moja yafuatayo ili usiishie mhanga wa kulalamika na kujutia

    HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI, KAMA YATAKUFAA BASI KARIBU, KAMA UTAONA BATILI, THEN LIVE YOUR LIFE 1: Hakuna jambo lolote la kiroho linalo control maisha yako. Maombi na swalah ni njia za kujifariji ila sio za kumuokoa mnyonge au kubadili mwelekeo wako 2: Hakuna utajiri kwa mganga. Utaishia...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Madenge kijana aliejitoa mhanga kubadili upepo wa Oktoba 29

  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Gen Z kashajitoa Mhanga huko Rungwe sikiliza hii nyimbo

    Ngoma hii hapa. Anasema yeye ni mbuzi wa kafara haogopi kufa wala kutekwa Tukumbuke Mwigulu ndo katoka juzi juzi huko. Je wataua na kuteka wangapi? Wakikamata mmoja wanaibuka mia ahah aha ha ha Haya mambo yanamwisho.
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere: Mtumwa na Mhanga wa Maono yake

    Leo 14/10 ni siku ya Nyerere. Lakini pia ndiyo siku aliyozaliwa Baba yangu mzazi niliyemzika 27/9/2025. Leo angetimiza miaka 86. Siku hii ni mababa wawili waliohusika kuzifanya fikra zangu ziwe hivi zilivyo (Baba Bagonza na JKN). Wapumzike kwa amani. Mazuri yangu ni yao; mabaya yangu ni yangu...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Malengo makuu ya Vita ni Kuishi na kushinda; sio kujitoa mhanga

    MALENGO MAKUU YA VITA NI KUISHI NA KUSHINDA; SIO KUJITOA MHANGA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Unapoingia kwenye vita yoyote jambo la kwanza unapaswa kuangalia uwezekano wa kuishi upo. Kuyalinda maisha yako. Hilo ndilo jambo la kwanza. 2. Jambo la pili, kama uwezekano ni mdogo je kuna...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukijitoa mhanga kupambana na Serikali yoyote ile duniani ukiwa ndani ya nchi husika zingatia sana haya ya muhimu yafuatayo

    1. Acha kabisa kutumia Simu 2. Kaa mbali kabisa na Ndugu zako na Marafiki zako uliowazoea 3. Hakikisha kila Siku unahama makazi 4. Matembezi yako yawe ni ya Kimahesabu na yawe ni nyakati za usiku tu 5. Usiwaamini kabisa Watu wa Mtandaoni bali jiamini zaidi Wewe mwenyewe 6. Kataa kabisa kuwa...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Bomu la kujitoa mhanga kanisani huko Syria lafanya maafa

    Hii ni kazi ya vijana wa itikadi ya msimamo mkali maana yuko radhi ajinyonge ila sio kuona ukristo ukiwa karibu yake.
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huwezi kuamini ila Peter Madeleka ndiye alikuwa wakili wa huyu mhanga

    Watanzania wengi linapokuja suala la tumbo huwa tunachanganyikiwa. Tuna njaa hakuna mfano duniani. Huyu jamaa wakili mlevi alikuwa anasimamia hii kesi ila leo ndiye anatoa majibu haya kwa kitu alichokuwa anasimamia. Wakili meme!
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanamke mhanga kati waliopigwa Mabwepande asimulia kwa machozi ya uchungu walivyokamatwa na kuteswa

    "Naitwa Pendo, Jana nilitoka nyumbani kwa ajili ya kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya Lissu, niliwahi sana kufika mahakamani, nikakuta akina Pambalu, Mwaipaya na viongozi wengine. Tulishauriana turudi ili tukawasaidie waliochukuliwa getini. Tulikuta dada yupo chini, juu yupo uchi, nikatoa...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mlipuko nje ya Hotel ya Trump: Uchunguzi wabaini ni tukio la kujitoa mhanga

    Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) ikimtaja Matthew Livelsberger, kuwa mtu aliyefariki ndani ya gari aina ya ‘Tesla Cyber truck’ iliyolipuka nje ya hoteli maarufu ya Trump jijini Las Vegas, polisi nao wamesema ni tukio la kujitoa muhanga. Tukio kilo lilitokea zikiwa zimepita saa chache...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Shetani, kwa nini haukuomba msamaha yaishe? Ulipewa nafasi ya kujirudi au basi tu na wewe ulikuwa mhanga wa Matrix? Au ni kiburi chako tu?

    Eeh Mungu nisamehe kama ninakufuru!! Like nini haswa kilikuwq nyuma ya shetani kuasi. Alipata hamasa binafsi au kulikuwapo na mamlaka nyingine iliompa hamasa ili washirikiane kumpindua Mungu pamoja kwa ahadi ya vikubwa zaidi ya vile mwenyezi Mungu alivyokuwa amempa. Is lucifer, satan? Au...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sauti za waliofukiwa na Ghorofa Kariakoo: "Tuko hai lakini tunateseka, tusaidieni tutakufa"

    Ayo TV imeongea kwa njia ya simu na mtu aliyepo chini na wenzake tangu asubuhi Novemba 16,2024 ghorofa lilipoporomoka ambapo amesema yeye na wenzie 10 wapo hai lakini hali zao ni mbaya. Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Majeruhi 63 kati ya 70 waruhusiwa, uokozi...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kama kuna homa mpya na mimi ilinipitia. Ukiona una dalili nilizopata tumia tiba hizi, weka ubahili pembeni

    October 17 had 27 Mwezi uliopita kuna kipindi nilipitia kipindi kigumu sana. Kwanza kabisa nilianza kwa kukohoa, nilichukulia kawaida lakini siku ya pili nakohoa sana, asubuhi nilienda kununua good morning haikusaidia chochote Jioni nimefika nyumbani mara ghafla tu mwili hauna nguvu, vungo...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watoto wafundishwe; nature inamtaka mhanga ajihami kwani ndiye anayepata madhara

    WATOTO WAFUNDISHWE; NATURE INAMTAKA MHANGA NDIYE AJIHAMI KWANI YEYE NDIYE ANAYEPATA MADHARA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Katika Jambo lolote lazima uangalie Nafasi yako ni Ipi. Je wewe ni mshika mpini au mshika Makali. Je wewe ni Mhanga au unayesababisha madhara. Hii itakusaidia kuishi Kwa...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani labda huyu mtoto wa mmoja wa waanzilishi wa Hamas kanunuliwa na Israel, hapana, ni basi tu amekataa kuwa mhanga wa itikadi za kitapeli

    VITA YENU SIO YA UKOMBOZI WALA HAKI, ILA NI YA ITIKADI, ITIKADI YA KITAPELI. Mwamba anaitwa Mosab Hassan Yousef. https://youtube.com/shorts/06CNNyOmG0o?si=qaIhsskImYcfSPkj https://youtube.com/shorts/JLR7e6Gl1Rc?si=WqrAKJeMu6w3dabd https://youtube.com/shorts/4wwi8jW72cQ?si=TiduWhz6rCXcLUQN
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika kila mmoja wetu hapa akiihoji na kuichunguza dini yake kwa kutumia akili yake binafsi mtambuka hakuna ataebaki kuwa mhanga wa doctrines

    Sisi ni nani, Kwanini tuwe sisi, Kwanini tuwe kama wao. Hivi kiundani ushajiuliza imekukuaje umekuwa wa dini hio? Kwa nini uamini kirahisi rahisi juu ya stori zao ambazo muda mwingine akili yako inazipa red flags (alerts) kwa maana ni somewhat controversial? Unaweza kuta kweli njia...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa wasanii wa bongo movie: Diamond ni mhanga na aliwasema waziwazi

    Nina uzoefu binafsi na hawa watu.. Sio wakuwaendekeza hata kidogo. Ni wabinafsi, ni wachoyo, ni ombaomba hawaridhiki na hawana shukrani.. Ni waongo sana pia na huwa wanajiona ni wajanja kukuzidi Unaweza kujitoa kuwasaidia sana. Watakupamba sana na kukuganda lakini nyuma ya pazia wanakuona...
  20. H

    JamiiForums Tanzania TCRA mmeamua kuuza utu wetu kwa wahuni wa App za mikopo mtandaoni

    Ndugu wanajamvi, Asalaam Aleikhum. Kama kichwa cha habari kilivo hapo juu nimejikuta na kuwa mhanga wa hawa matepeli wa APP za mitandaoni. Iko hivi kuna mtu ambaye ninafahamiana naye ama ni mtu wangu wa karibu ktk familia, kwa utashi wake binfasi alikopa kwa hawa jamaa, alikopa lini na kiasi...
Back
Top Bottom