Jeshi la Uganda limegundua kambi ya mafunzo ya Wanamgambo wa Kiislamu

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Jeshi la uganda limesema kuwa limegundua kituo cha mafunzo kwa wpiganaji wa kiislam Km 60 tu kutoka kampala, watu watatu wanashikiriwa, aidha vyuma vya kutengenezea milipuko vilipatikana pia.

Mamlaka zinalaumu wapiganaji wa ADF walijichimbia katika misitiu ya Kongo kwa mashambulizi ya milipuko ambayo imekuwa ikitokea mara kwa mara jijini Kampala

Fuatilia hapa:

==============

Uganda's army says it discovers training facility for Islamist militia​

KIKUBAJINJA, Uganda, June 16 (Reuters) - Uganda's military said on Thursday it had discovered bomb making material at a training facility for an Islamic State-allied rebel group around 60 kilometres west of the capital Kampala, and that three people had been detained.

Authorities blamed the Allied Democratic Forces (ADF), a militia based in the dense forests in neighbouring Democratic Republic of Congo, for a series of bombings in Kampala and elsewhere late last year which left at least nine people dead.

In one of the worst attacks, a suicide bomber blew himself up at the entrance of a police station in the centre of Kampala. Three minutes later two other suicide bombers detonated along a road that leads to the parliament.

The training facility was found at the home of a local man, army spokesman Felix Kulayigye said during a media tour of the village of Kikubajinja in Luwero district.

A tunnel used for training had been dug in one of the rooms, he said.

Security personnel had become suspicious after reports emerged from neighbours that "nobody was allowed to enter, nobody would be seen getting out," Kulayigye said.

Authorities recovered bomb making materials including metal, nails and wires as well as bullets and a pistol fitted with a silencer, he said.

In November the Ugandan army began a joint operation with the Congolese army to root out the ADF, which started as an uprising in Uganda but has been based in Congo since the late 1990s and pledged allegiance to the Islamic State

Source: Reuters
 
Janja ya Museven kutengeneza maadui alafu anajifanya hajui kitu!!...kuumbe ni walewale!!! sasa weye kajiunge na hao kwa moyo wako wote unauzwa kirahisi tu!....na hao hao ulio waona Maboss wako!! kuuumbe ni upande wa pili wa Museveni..

jiulize tu Konyi yuko wapi??? kwa nini wazazi wake walijengewa Mansions kuuubwa na kuzikwa kwa heshima km zoooote?? ile kichwa mbaya sana!! ilikaa msituni kweli ikastunika!
 
Haya waje watuambie kwamba ni Marekani ndio wanawatumia waislamu kufanya vitendo vya kigaidi kwa nini Marekani wasiwatumie wakristo?

Mujahedeen wanakosa jibu japo ukweli ni kwamba hao watu wako kwenye kile kinachoitwa "Global Jihad Mission" inayofadhiliwa na mataifa ya kiislamu duniani.
 
Back
Top Bottom