Lamu or Lamu Town is a small town on Lamu Island, which in turn is a part of the Lamu Archipelago in Kenya. Situated 341 kilometres (212 mi) by road northeast of Mombasa that ends at Mokowe Jetty, from where the sea channel has to be crossed to reach Lamu Island. It is the headquarters of Lamu County and a UNESCO World Heritage site.
The town contains the Lamu Fort on the seafront, constructed under Fumo Madi ibn Abi Bakr, the sultan of Pate, and was completed after his death in the early 1820s. Lamu is also home to 23 mosques, including the Riyadha Mosque, built in 1900, and a donkey sanctuary.
Rais William Ruto sasa amesema makubaliano kati ya Serikali ya Kenya na Mfanyabiashara Aliko Dangote kuhusu Refinery ya Lamu hayatawekwa wazi, huku akimuelekeza yeyote anayetaka kuyaona kutumia utaratibu wa Bunge kuyaomba.
Kauli hii inakuja wakati mradi huo wa takriban Shilingi trilioni 2.2...
Na: Dr. Zack, Mtaalam wa Masuala ya Uchumi Duniani
01.10.2026
Kuzinduliwa kwa mradi wa Dangote wa US$16 bilioni huko Lamu, Kenya, jana si habari ndogo kwa Afrika Mashariki. Refinery hiyo imepangwa kuwa na uwezo wa kuchakata mapipa 700,000 ya mafuta kwa siku, ikiambatana na mtambo wa umeme wa MW...
Rwanda imeanza kutumia Mombasa kama njia mpya ya kuingiza mafuta baada ya metri tani 40,000 za petrol na diseli kuwasili katika Bandari ya Mombasa, ikiwa hii ndiyo shehena ya kwanza chini ya makubaliano ya Kenya na Rwanda yaliyotiwa saini Juni 29, 2026.
Meli MT Sea Wolf ilitia nanga Kipevu Oil...
Video:
President Yoweri Museveni joined Kenyan President William Ruto, Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed and other regional leaders in Lamu, Kenya, today on Wednesday, September 30, 2026, for the groundbreaking of the $16 billion Dangote East Africa Oil Refinery.
The refinery, to be built...
Billionaire Aliko Dangote ameonyesha kuwa kesi ya ardhi inayohusisha eneo linalopangwa kujengwa Dangote East Africa Refinery huko Lamu haitoshi kumfanya abadili msimamo kuhusu mradi huo.
Akizungumza na wawekezaji Jijini Nairobi leo, Dangote alitaja changamoto za kisheria nchini Kenya kama jambo...
Wakazi 133 kutoka Chandavai, Lamu, wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu ya Malindi wakipinga shughuli zinazoendelea kwenye ardhi inayohusishwa na ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote.
Wakazi hao wanataka mahakama isimamishe shughuli zaidi kwenye eneo hilo hadi madai yao kuhusu...
Mradi wa Mfanyabiashara kutoka Nigeria Aliko Dangote katika kaunti ya Lamu unaonekana kuwa mkubwa zaidi ya refinery ya mafuta ambayo imekuwa ikizungumziwa kwa miezi kadhaa.
Bilionea huyo amesema mradi huo pia utakuwa na mtambo wa kuzalisha hadi megawati 1,000 za umeme kutokana na petcoke(nyenzo...
Waharakati wa Lamu wameitaka Serikali kuhakikisha wakazi wanaoweza kuathiriwa na mradi unaopendekezwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote wanalindwa na maslahi yao kuzingatiwa.
Waharakati hao wanasema maendeleo ya kiuchumi hayafai kuja kwa gharama ya kupoteza ardhi, mazingira na riziki...
President William Ruto has appointed Deputy President Kithure Kindiki to chair a high-level government committee tasked with coordinating the implementation of the proposed Sh2.2 trillion East African oil refinery project in Lamu.
The appointment follows confirmation by Nigerian industrialist...
Wakazi wa Faza, Lamu East bado wako kwa shock baada ya msiba wa kutisha kutokea ndani ya msikiti mchana kweupe. Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 33, anayejulikana kama Khalid Maka, aliuawa kwa kuchomwa kisu akiwa ndani ya Faza Jamia Mosque wakati wa swala.
According to taarifa za polisi...
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 23, Lukman Ismail Athman maarufu kama Jelal, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Lamu kwa kosa la kumbaka mara kadhaa mwanafunzi wa Darasa la Tisa kati ya Novemba 14 na 24, 2024 katika eneo la Paradise, Langoni. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu...
Toka miaka ya 90 moja ya utani kwa mtu anayependa vitu vya bure aende Mombasa. Kuwa kwa Mombasa unaweza enda kula sehemu ukataka kulipa wakakuambia ushalipiwa wewe.....
Ukaoneshwa mtu ambaye unaambiwa amekulipia unamwona anakuna ndevu zake akitabasamu. Hii hali na huu utani upo miaka nenda...
Wadau hamjamboni nyote?
Msiba mzito huko kenya
Naibu Gavana wa Lamu Raphael Munyua afariki akipokea matibabu katika hospitali moja jijini Nairobi, Katibu wa Kaunti Balozi Abass Ali athibitisha.
Lamu Deputy Governor Raphael Munyua dies while receiving treatment at a hospital in Nairobi, County...
"Hakuna mwenye uwezo wa kutabiri mambo yatakayotokea wakati ujao kwa usahihi isipokuwa Mungu pekee". Hivyo ndivyo wanasema, maana yeye pekee anatambua mwanzo na mwisho wetu. Wataalamu wengi wamejaribu kufanya hivyo, wengi wameaibika na wengine kuapa kabisa kamwe hawawezi kuja kutabiri, baada...
ZANZIBAR NA LAMU ZINAVYOFANANA
Picha hiyo ya punda kabeba mizigo ni kwa hisani ya Abuu Shani.
Picha hii nimeipenda na imenikumbusha mara hyangu ya kwanza kufika Lamu mwaka wa 2007.
Nilikwenda kwenye Maulid ambayo ni katika kalenda muhimu kwa Waislam wa Afrika ya Mashariki.
Nimewaambia rafiki...
Mahakama Kuu imesitisha kwa muda mpango wa serikali kubinafsisha bandari hizo kutokana na ombi la wakazi wa maeneo hayo wanaodai Ubinafsishaji huo una njama za kutwaa usimamizi na mali za Mamlaka ya Bandari (KPA).
Kwa mujibu wa Wafungua Shauri, wamedai mpango wa Ubinafsishaji wa Gati za Bandari...
The Quran manuscript is part of a larger collection of ancient Arabic/Islamic texts owned by Ustadh Abubakar Mohammed Banchuoni of Pate Island.
The National Museums of Kenya (NMK) has discovered a Quran manuscript estimated to be more than 600 years old.
Mohamed Mwenje, curator in charge of...
Wajuba... mapipa bilioni 4.8 sio mchezo
=======
Kenya is just weeks away from announcing the discovery of new oil resources in the Lamu basin, bigger than what was found a decade ago in Turkana, in what could be a turning point for the country’s dreams of reaping petrodollars.
Italian oil...
Mambo yanakwenda kimya kimya....
Construction of the $400 million first phase of Kenya’s second commercial port in Lamu has been completed.
The second and third berths were completed in December, paving the way for the government to float a tender to private companies to construct 20 more...
Lengo ni kufiksha mifugo 500,000 kwa mwaka
Kenya on Monday resumed direct export of livestock to Oman after more than 16 years ban.
A ship carrying more than 14,000 goats and sheep from different livestock keeping zones left Mombasa port on Monday afternoon to Salalah Port, Oman, as the two...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.