Kuelekea 2025 Tundu Lissu na ushindi wa urais 2025 kama ilivyokuwa kwa Donald Trump 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Bando la wiki

JF-Expert Member
May 23, 2023
826
2,820
Katika mazingira ambayo kila chombo cha serikali kikisapoti chama cha Mapinduzi katika Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. 2025 itakuwa na mshangazo mkubwa sana katika taifa la Tanzania, kwani ndio mwaka ambao serikali chini ya CCM itaweza kuachia madaraka kwa kushindwa kwenye uchaguzi mkuu.

Sio jambo jepesi ila inawezekana kwa tume hii hii iliyopo kwa sababu wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho juu ya nani awaongoze kwa kipindi cha miaka 5.

CHADEMA ifanyeje ili kujihakikishia ushindi 2025.

1. Cha kwanza ni kuhakikisha mgombea wa nafasi ya mgombea urais anatangazwa mapema iwezekanavyo katika mwaka huu huu wa 2024. Tukumbuke kwamba Samia kajitangaza sana mtaani kwa kuweka mabango kila eneo hasa kwenye barabara kuu.

Tunajua namna nguvu ya matangazo ilivyo na impact katika biashara au siasa hivyo CHADEMA lazima ibadilishe taswira hiyo ya Samia katika jamii na kulazimisha Tundu Lissu ndiye apate airtime ya kutosha katika jamii kama mgombea Urais 2025.

2. CHADEMA ihakikishe inakuwa na kiongozi wa mtaa na vijiji Tanzania nzima. Viongozi hawa wapewe hata ahadi ya kukumbukwa endepo CHADEMA itachukua nchi 2025. Viongozi hawa hata kama hawatashinda kwenye uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa na vijiji wao watasimama kama viongozi wa chadema katika kijiji au mtaa husika.

Database wa wenyeviti hawa iwepo CHADEMA headquater ambapo kutawepo group la WhatsApp kwa ajili ya kujadiliana nao immediately kikanda. Hawa viongozi ndio watahakikisha kila kituo cha kupigia kura kunakuwa na wakala machachali wa CHADEMA katika kituo hicho ili kuripoti kwa haraka kwa wananchi kama kuna wizi wa kura unafanyika katika kituo hicho.

Wakala huyo pia kazi yake itakuwa ni kuhakikisha kura zinahesabiwa kwa usahihi na ripoti ya matokeo kwenye kituo chake anakuwa nayo na kuituma chadema makao makuu kwa ajili ya makao makuu kufanya majumuisho ya kura zote zilizopigwa Tanzania nzima. CHADEMA mkiweza kudhibiti wizi wa wa kura vituoni kupitia mawakala wenu na wananchi kulinda kura walizopiga nasemaje ikulu hiyo hapo asubuhi kabisa tunaingia.

3. Kwa kuwa kwa sasa Tundu Lissu ndiye kiongozi pekee wa upinzani anayekubalika kwa wingi katika jamii ya watanzania wote, naomba mh Mbowe mtangaze huyu Mheshimiwa kuwa mgombea wa kiti cha urais 2025. Mbowe wewe jiandae kuwa waziri mkuu kama ni lazima uhudumu katika serikali ya awamu ya 7 chini ya Tundu Lissu.

4. Tundu Lissu ajibrand kama kiongozi wa urais 2025 kwa kuhakikisha kwamba matukio yote ambayo ni kikwazo kwa wananchi unayatolea ufafanuzi na kuyapinga wazi wazi. Kwa sasa watanzania wanaitaji Rais asiye chekea mafisadi na wezi wa mali za taifa.

Rais ajaye aoneshe ni kwa namna gani anaenda kutokomeza hiyo mitandao ya ufisadi iliyoota mizizi kwa viongozi wa serikali kuanzia mawaziri hadi watendaji wa mitaa.

5. Kila mwisho wa mwezi mwaka huu hadi 2025, Tundu Lissu kama mgombea wa urais Tanzania atangaze kulihutubia taifa hasa kuwapa matumaini watanzania hasa wanaonewa na mfumo huu wa kinyonyaji wa chama tawala.

Kwa mfano kwenye hotuba za Tundu Lissu kila mwisho wa mwezi atakuwa anafafanua ni kwa namna gani wizi serikalini unavyoathiri ustawi wa jamii na kwa namna gani kwenye serikali yake anaenda kudhibiti wizi huo. Akumbushie namna ripoti za wizi uliotajwa kwenye ripoti za CAG hazifanyiwi kazi japo kuwa ushahidi wa wizi na ubadhirifu umeahinishwa humo bara bara.

Hayo ni kwa machache yakitendeka kuanzia hivi sasa tutegemee kubadilisha nchi hii kutoka kwenye mifumo ya kimazoea ya kuendesha nchi kirafiki na kikoneksheni na badala yake tutaona nchi yetu ikiongozwa kwa ueledi na merit based kwa watendaji wengi.

Ongeza mapendekezo yako kwa CHADEMA na TUNDU LISSU ili iweze kuwa bora zaidi kuelekea uchaguzi Mkuu 2025. Tanzania inaweza kuwa kubwa kuliko hizi sasa kama tutakuwa na uthubutu wa kundoa CCM madarakani.
 
Wampatie Mwabukusi, ana kitu na atalifikisha hili taifa mbali
Katika mazingira ambayo kila chombo cha serikali kikisapoti chama cha Mapinduzi katika Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. 2025 itakuwa na mshangazo mkubwa sana katika taifa la Tanzania, kwani ndio mwaka ambao serikali chini ya CCM itaweza kuachia madaraka kwa kushindwa kwenye uchaguzi mkuu.
Sio jambo jepesi ila inawezekana kwa tume hii hii iliyopo kwa sababu wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho juu ya nani awaongoze kwa kipindi cha miaka 5.

Chadema ifanyeje ili kujihakikishia ushindi 2025.

1. Cha kwanza ni kuhakikisha mgombea wa nafasi ya mgombea urais anatangazwa mapema iwezekanavyo katika mwaka huu huu wa 2024. Tukumbuke kwamba samia kajitangaza sana mtaani kwa kuweka mabango kila eneo hasa kwenye barabara kuu. Tunajua namna nguvu ya matangazo ilivyo na impact katika biashara au siasa hivyo CHADEMA lazima ibadilishe taswira hiyo ya samia katika jamii na kulazimisha TUNDU LISSU ndiye apate airtime ya kutosha katika jamii kama mgombea Urais 2025.

2. CHADEMA ihakikishe inakuwa na kiongozi wa mtaa na vijiji Tanzania nzima. Viongozi hawa wapewe hata ahadi ya kukumbukwa endepo chadema itachukua nchi 2025. Viongozi hawa hata kama hawatashinda kwenye uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa na vijiji wao watasimama kama viongozi wa chadema katika kijiji au mtaa husika. Database wa wenyeviti hawa iwepo CHADEMA headquater ambapo kutawepo group la WhatsApp kwa ajili ya kujadiliana nao immediately kikanda. Hawa viongozi ndio watahakikisha kila kituo cha kupigia kura kunakuwa na wakala machachali wa chadema katika kituo hicho ili kuripoti kwa haraka kwa wananchi kama kuna wizi wa kura unafanyika katika kituo hicho. Wakala huyo pia kazi yake itakuwa ni kuhakikisha kura zinahesabiwa kwa usahihi na ripoti ya matokeo kwenye kituo chake anakuwa nayo na kuituma chadema makao makuu kwa ajili ya makao makuu kufanya majumuisho ya kura zote zilizopigwa Tanzania nzima. Chadema mkiweza kudhibiti wizi wa wa kura vituoni kupitia mawakala wenu na wananchi kulinda kura walizopiga nasemaje ikulu hiyo hapo asubuhi kabisa tunaingia.

3. Kwa kuwa kwa sasa Tundu Lissu ndiye kiongozi pekee wa upinzani anayekubalika kwa wingi katika jamii ya watanzania wote, naomba mh Mbowe mtangaze huyu Mheshimiwa kuwa mgombea wa kiti cha urais 2025. Mbowe wewe jiandae kuwa waziri mkuu kama ni lazima uhudumu katika serikali ya awamu ya 7 chini ya Tundu Lissu.

4. Tundu Lissu ajibrand kama kiongozi wa urais 2025 kwa kuhakikisha kwamba matukio yote ambayo ni kikwazo kwa wananchi unayatolea ufafanuzi na kuyapinga wazi wazi. Kwa sasa watanzania wanaitaji Rais asiye chekea mafisadi na wezi wa mali za taifa. Rais ajaye aoneshe ni kwa namna gani anaenda kutokomeza hiyo mitandao ya ufisadi iliyoota mizizi kwa viongozi wa serikali kuanzia mawaziri hadi watendaji wa mitaa.

5. Kila mwisho wa mwezi mwaka huu hadi 2025, Tundu Lissu kama mgombea wa urais Tanzania atangaze kulihutubia taifa hasa kuwapa matumaini watanzania hasa wanaonewa na mfumo huu wa kinyonyaji wa chama tawala. Kwa mfano kwenye hotuba za Tundu Lissu kila mwisho wa mwezi atakuwa anafafanua ni kwa namna gani wizi serikalini unavyoathiri ustawi wa jamii na kwa namna gani kwenye serikali yake anaenda kudhibiti wizi huo. Akumbushie namna ripoti za wizi uliotajwa kwenye ripoti za CAG hazifanyiwi kazi japo kuwa ushahidi wa wizi na ubadhirifu umeahinishwa humo bara bara.

Hayo ni kwa machache yakitendeka kuanzia hivi sasa tutegemee kubadilisha nchi hii kutoka kwenye mifumo ya kimazoea ya kuendesha nchi kirafiki na kikoneksheni na badala yake tutaona nchi yetu ikiongozwa kwa ueledi na merit based kwa watendaji wengi.
Ongeza mapendekezo yako kwa CHADEMA na TUNDU LISSU ili iweze kuwa bora zaidi kuelekea uchaguzi Mkuu 2025. Tanzania inaweza kuwa kubwa kuliko hizi sasa kama tutakuwa na uthubutu wa kundoa ccm madarakani.
 
Tundu Lissu apewe nafasi ya aidha Waziri Mkuu au Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki..
 
Kwa kuwa kwa sasa Tundu Lissu ndiye kiongozi pekee wa upinzani anayekubalika kwa wingi katika jamii ya watanzania wote, naomba mh Mbowe mtangaze huyu Mheshimiwa kuwa mgombea wa kiti cha urais 2025. Mbowe wewe jiandae kuwa waziri mkuu kama ni lazima uhudumu katika serikali ya awamu ya 7 chini ya Tundu Lissu.
 
Back
Top Bottom