Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule...
VIROJA: Viongozi wengi Afrika wamejaa viroja, Rais Mteule wa Nigeria Dr. Bola Tinubu yupo jijini Paris kwa ajili ya Mapumziko baada ya kampeni na Uchaguzi.
Baada ya Paris ataenda London kabla ya kurudi Nigeria Kwa ajili ya kuapishwa Mei 2023.
===
Nigeria’s president-elect left the country...
Kutoka uwanja wa Kasarani
Septemba 13, 2022
Rigathi Gachagula - Naibu Rais
Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagula amesema kuwa nchi hiyo haitaingilia uhuru wa watu katika kuwasiliana.
Amewataka wakenya kuzungumza kwa uwazi pasipo kuogopa kuwa Serikali itaingilia mawasilano yao. Aidha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ataambatana na baadhi ya Viongozi wa Serikali akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki; Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara na Mhe. Harusi Said...
Rais mteule William Ruto saa hii anakutana na Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta na Ikulu, Nairobi. Ruto ameandamana na Mkewe Rais mteule Rachel Ruto. Ripoti zilionyesha kuwa viongozi hao wawili wanafanya mkono wa kibinafsi kabla ya kuapishwa kwa Ruto mnamo Jumanne katika uwanja wa Kasarani...
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ataungana na Marais 17, Mawaziri Wakuu, Manaibu wa Rais 8 na Mawaziri 7 wa Mambo ya Nje waliothibitisha kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule William Ruto.
Samia ataambatana na baadhi ya Viongozi wa Serikali akiwemo Balozi Liberata Mulamula, Waziri wa Mambo...
Timu ya Mawasialiano ya Rais Mteule imezuia vyombo vya habari vya nchini humo kurusha hafla ya kuapishwa kwa William Ruto na kutoa haki za kipekee za utangazaji kwa Multichoice Kenya Ltd.
Tangazo hilo limepokelewa kwa hisia tofauti na wanahabari wa ndani na mashirika ya habari, huku gazeti la...
Mfuko wa Hazina umetenga kiasi hicho cha fedha kwaajili ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule inayotarajia kufanyika Jumanne ya Septemba 13, 2022 kwenye uwanja wa Kasarani.
Fedha hizo kutoka Hazina ya Serikali zitakuwa chini ya Kamati ya Makabidhiano ya Ofisi (NASC) ambayo inajiandaa kwa...
1. Teknolojia iliyotumwa na IEBC kwa uendeshaji wa uchaguzi mkuu wa 2022 iliafiki viwango vya uadilifu, uthibitisho, usalama na uwazi ili kuhakikisha matokeo sahihi na yanayoweza kuthibitishwa. (Kwa kauli moja. Jaji Mkuu Martha Koome, Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu, Mohammed K Ibrahim, Njoki...
Kitengo cha ulinzi kinachomlinda Rais Mteule wa Kenya, Dkt. William Ruto kimeimarishwa tangu alipotangazwa kuwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa Urais, Agosti 15, 2022.
Kitengo cha Ulinzi cha General Service Unit (GSU) kimeweka walinzi katika nyumba ya Ruto iliyopo Jijini Nairobi na nyingine ya...
Mwaka mmoja baada ya Maafisa wa Idara ya Usalama kuondolewa kwenye makazi ya aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto na nafasi yake kuchukuliwa na Maafisa wa Polisi wa Utawala, leo wamerejeshwa rasmi.
Kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa viongozi, Rais Mteule William Ruto anapewa ulinzi wa maafisa 200...
Ninajua machache juu ya Rais Mteule Ruto juu ya Imani yake kwa Mungu lakini kwa uchache huo yatosha kusema Ruto NI muumini wa Mungu wa kweli Kama alivyokuwa Hayati Magufuli.
Nakumbuka Hayati Magufuli aliwahi kukiri ni Mkapa ndie aliyemshawishi kugombea Urais na Magufuli alipoonesha kutaka...
Tume ya uchaguzi nchini Kenya 16-08-2022 ilitangaza matokeo ya Urais ambapo Wiliam Ruto aliteuliwa kuwa Rais mteule wa awamu ya Tano wa taifa la Kenya , kutokana na kuteuliwa kwake kuwa Rais, nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki tunamategemeo mengi juu
Kenya ni nchi muhimu panapohusika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametuma salamu za pongezi kwa Wakenya katika uchaguzi Mkuuu uliomalizika kwa William Ruto kushinda nafasi ya Urais.
Katika ujumbe wake Rais Samia amewapongeza Wakenya kwa kufanya...
1. Mwenyekiti wa Tume wa Huru ya Uchaguzi, IEBC anatakiwa kumkabidhi Rais Mteule Cheti (Mshindi wa Urais lazima ajitokeze kupokea Cheti)
2. Mwenyekiti lazima awasilishe kwa maandishi taarifa ya Matokeo kwa Jaji Mkuu na Rais aliyepo Madarakani, (Uhuru Kenyatta)
3. Kama itatokea Pingamizi la...
Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, Iwapo mshindi atatangazwa leo, na asipate zuio la kupinga ushindi wake, Rais Mteule ataapishwa Agosti 30 ambayo ni siku 14 baada kutangazwa kwa Matokeo ya Urais
Kifungu cha 141 cha Katiba ya Kenya kuhusu Rais kuchukua Madaraka kinasema:
(1) Kuapishwa kwa Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.