jmushi1
Joined
Likes
4,809

Profile posts Latest activity Postings About

 • Kuntakinte
  kaka...yeah nimeona jamaa wanatumia hili jina ingawa wao wameweka space kunta kinte...ebwana nipo mambo yanasogea nilikuwa nimekaa nikakukumbuka sana maana nakumbuka kipindi kile kabla hawajaja hawa watoto watoto wa sasa tulivyokuwa tukichemshana na kina Rev Kishoka, Mwanakijiji, EX Pastor, Game Theory na wengineo wakongwe

  Life linakwendaje lkn?
  Kuntakinte
  Jmushi..hope upo salama..long tym no see....
  rosemarie
  JMushi ni ya wapi bana???mimi machame paleeee weruweru,nakubali point zako halafu umejiunga long time unaonyesha you can hold on for something you real need
  Roulette
  You wanted some french lessons, there is a thread now. I hope you are still interested
  Mwali
  Asante sana... as a matter of fact I really like L. Fishburne too...
  Mamaya
  Mangi mushi pokea salamu kutoka mandenyi kule uru mruia na mawela
  M
  Hodi wahishimiwa sana naomba kuwa javini nanyi ili kupata uzoefu wa nyuma katika kupashana habari.
  F
  Hello to our community in our Introduction forum
  Lusajo
  JMushi my bro from another mother. Natumaini unaendelea vizuri katika Noeli hii. Mungu akubariki katika mwaka ujao uwe wa mafanikio mema. Ubarikiwe.
  BAK
  Hello Jmushi1,

  I would like to take this opportunity to wish you and your loved ones a very Merry Xmas and a happy and prosperous New Year. Also I wish you good health, happiness and good luck during the coming year of 2009.

  May God bless you and your loved ones.

  Merry Xmas and a Happy and prosperous New Year.
  jmushi1
  Nimejishushia hadhi kivipi?
  Ukweli usipowekwa wazi kunakuwa na conspiracy theories!
  Mtu wa Pwani
  sawa mkuu ila ukienda kwa kasi utajigonga na utaangukia pua
  jmushi1
  Ni mambo yanayosikitisha ndugu yangu!
  Wala hata sijui kwamba thats the case ila niko very closely kwnye conversation na pia kuna mambo ambayo yanakatisha tamaa!
  Mtu wa Pwani
  mkuu unatisha, nnakupongeza kwa speed ya maandiko
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…