michezo tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Waandishi wa Habari wa Michezo Tanzania acheni Unafiki na Upuuzi

    kabla ya Taifa Stars kucheza na morocco leo katika michuano ya AFCON huko nchini ivory coast waandishi wa habari za michezo wa Tanzania walituaminisha kuwa morocco atafungwa tu huku wakiwapa sifa kem kem za uwongo na kweli wachezaji wa Taifa Stars na kuna wapuuzi na majuha waliwaamini Cha...
  2. Allen Kilewella

    Mashabiki wa Yanga ndiyo wanunuzi wa habari za michezo Tanzania

    Ukitaka habari zako za michezo ziuze hapa Tanzania, andika au toa habari za kuisifia au kuitukuza Yanga. Hakuna mashabiki wanaonunua habari za michezo hapa Tanzania kuliko mashabiki wa Yanga. Kwa hili mashabiki wa Yanga mheshimiwe.
  3. _pirate

    SoC03 Mpango wa kuandaa vijana wenye ubora na uwezo wa kusaidia kuleta maendeleo katika kiwango cha timu ya taifa ya Tanzania katika mpira wa miguu

    1. TATIZO LINALOIKUMBA TIMU YA TAIFA YA MPIRA WA MIGUU TANZANIA. Kiujumla timu ya taifa ya Tanzania imekuwa na muendelezo wa kiwango kibovu ambapo kizazi cha kuanzia miaka ya 1990 hakijawahi kuishuhudia timu hii ya Taifa katika kiwango bora hasa katika mechi za mashindano. Timu hiyo ya Taifa...
  4. kwisha

    Yanga wakipata Philip Kizumbi na Kipre Junior watakuwa wamefaidika sana

    Ningepata nafasi ya kuwashauri Yanga kuhusu usajili ningewambia watafute mawinga wazuri zaidi ambao wanajua ku dribble, wana speed na pia ni wazuri kwa kutoa pass. Moloko ni mzuri some time kwa kutoa pass na speed lakini hajui ku dribble, na ni lazima winga awe mzuri pia kwa ku dribble kama...
  5. GENTAMYCINE

    Waandishi wa Michezo Tanzania wachukia kutumika kuleta Hamasa Taifa Stars na baadae Kunyanyasika Viwanjani na TFF Ofisini

    "Wakitaka tuwasaidie kuleta Hamasa kwa Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) huwa wanatunyenyekea ila tukimaliza tu Kuwatangaza na Kuhamasisha Watanzania na Kujikita katika Majukumu yetu ya Habari wanaanza Kutudharau na hata Kutunyanyasa. Jana baada ya Taifa Stars Kufungwa na Uganda Waandishi wa...
  6. Erythrocyte

    Bondia Tony Rashid avuliwa ubingwa ABU, yadaiwa ulikuwa wa koneksheni

    Hii ndiyo taarifa mpya iliyosambazwa mitandaoni, ambako inadaiwa Rais wa ABU Haucine Hauichi amegundua kwamba alama zilizotangazwa na Majaji wa mchongo zilipigwa karata tatu, keusi kekundu. Kwamba alizopaswa kupewa Sabelo Ngebinyana wa S. Africa akapewa Tony Rashid kwa njia ya Uzalendo. ABU...
Back
Top Bottom