soc2022

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    SoC02 Afya ya akili Tanzania

    Nakumbuka Julai mwaka 2021 katika mashindano ya Olimpiki yaliyofanyika Tokyo, Japan mwanadada Simone Ariane Biles kutoka Marekani alizua gumzo bada ya kuamua kujitoa katika timu yake iliyokua imefikia fainali sita. Biles mshindi mara saba wa olimpiki aliamua kung’atuka kwa kile alichoelezea kuwa...
  2. mraniwene

    SoC02 Samaki Mkunjeni, Ila Mwanangu Msimguse!

    (Mwanzo) Hadithi Fupi “Mamu, Mamu, we Mariamu si nakuita ina maana hunisikii?”, ilisikika sauti ya Mama Ibra kama ilivyo kila siku mida ya saa kumi na moja na nusu akiwa anamuamsha mwanaye. “Amka haraka jamani tutakosa wateja, na wateja ndio pesa. Au unafikiri hivi vitumbua vitajipeleka vyenyewe...
  3. Moselyn11

    SoC02 Mtandao

    Mambo vipi? Nimekuja kukuambia machache kuhusu mimi mpenzi wangu. Mimi ndiye ninayekufahamu wewe kuliko hata unavyojifahamu wewe, Naam. Mimi ndiye ninamjua mpenzi anayekufaa kuliko hata wazazi wako wanaokushauri kila siku, umesahau juzi ulikuwa una-gugo sifa za mpenzi bora? Ni mimi huyuhuyu...
  4. T

    Ukiumizwa na kutendwa, bado unaweza kutoa msamaha?

    Katika maisha haya bado nawaza tofauti ya kuumizwa na kutendwa maana najua mtu kukuumiza ni pale amekuonea au kupoteza imani yake juu yako lakini kutendwa na jua tu labda kwenye usaliti wa mapenzi au umeachwa, ila mimi juzi yaliyonikuta hata nalia kwa uchungu kwani mwanaume niliyechumbiwa naye...
  5. KALEKU

    SoC02 Umuhimu wa somo la ujasiriamali katika elimu ya kijana wa kitanzania

    Upatikanaji wa ajira kwa vijana bado ni jambo linaloisumbua si Tanzania tu bali dunia nzima. Katika kujikwamua na tatizo la upatikanaji wa ajira kila taifa linajitahidi kuchukua hatua za kujikwamua lakini bado matokeo ya mipango ya kujikwamua ni kidogo sana ukilinganisha wanaohitaji kuajiriwa na...
  6. Jmushi91

    SoC02 Mshindi ni mimi na wewe leo

    Utajiri, pesa, umaarufu, vyeo, mamlaka, afya, chakula, mavazi, kazi, nyumba, magari, simu ya kisasa, unaweza kutaja mafanikio yoyote ambayo umepata. Hakika orodha haijaisha. Sasa nikuulize, ni mafanikio gani makubwa uliyoyapata maishani? Fikiria juu ya hili unapochimba chini kwenye hii...
  7. N

    SoC02 Utafiti na Maendeleo Tanzania

    Utafiti na Maendeleo Tanzania Andiko hili limejikita katika kuangazia sekta ya utafiti nchini hasa kwa kuonesha changamoto zinazoikabili sekta hiyo na kutoa mapendekezo kwa ajili ya kuchukua hatua dhidi ya changamoto hizo. Utafiti ni moja ya kichocheo kilichochangia maendeleo ya dunia. Hii ni...
  8. K

    SoC02 Jinsi kilimo kilivyobadili maisha yangu

    Guzman ni miongoni mwa vijana wachache wenye umri wa miaka 30 ambaye amefanikiwa sana kimaisha, haikuwa rahisi kwake kijana huyu aliyeanza mapambano ya kimaisha akiwa na umri wa miaka 23 kufanikiwa kama ilivyo rahisi kuandika simulizi hii, ilikuwa ni safari ngumu sana kwa kijana huyu msomi...
  9. N

    SoC02 Elimu yetu

    Kwakuwa nna uzoefu mzuri na wa mda mrefu sasa na bado naendelea kusoma nitoe mtazamo wangu. Mimi ni bint na nasoma kidato cha sita sasa katika elimu yangu nimesoma shule zote za serikali mpaka sasa nilipofikia. Kusoma kwangu kumekuwa na changamoto sana na baadhi niliziona tuu hazikunikuta...
Back
Top Bottom