siasa na uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Tusiendekeze nyadhifa(titles) za kifamilia katika siasa na uongozi wa umma

    Kuitana "mama yangu", "baba yangu", "mdogo wangu", "kaka yangu", "dada yangu", "shangazi yangu", "shemeji yangu" na vyeo vingine kama hivyo katika shughuli za siasa na umma ni utamaduni mpya uliovuka mipaka, kushika kasi na sasa unaanza kukomaa. Zamani vyeo vya kifamilia ambavyo nilikuwa...
  2. Y

    SoC03 Siasa, Uongozi, Utawala na Uwajibikaji: Nini hatima ya Tanzania yetu?

    Siasa, uongozi, na utawala ni mada ambazo zinaweza kuwa ngumu kuzungumza juu yake kwa sababu zinahusisha masuala magumu ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hata hivyo, mada hizi zina umuhimu mkubwa katika jamii kwa sababu zinaweza kusababisha athari za kudumu kwa raia wote. Katika makala hii...
  3. Y

    SoC03 Siasa, Uongozi, Utawala na Uwajibikaji nini Hatima ya Tanzania Yetu?

    Siasa, uongozi, na utawala ni mada ambazo zinaweza kuwa ngumu kuzungumza juu yake kwa sababu zinahusisha masuala magumu ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hata hivyo, mada hizi zina umuhimu mkubwa katika jamii kwa sababu zinaweza kusababisha athari za kudumu kwa raia wote. Katika makala hii...
  4. M

    SoC03 Kuunda Mabadiliko ya Kweli: Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi

    Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi Utangulizi Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Katika andiko hili, tunapendekeza mabadiliko yanayolenga kukuza utawala bora na uwajibikaji katika uwanja wa siasa na...
  5. Millionaire Mindset

    Mswahili afunguka. Kwanini CCM kila siku na sio upinzani? Mazito 4 yafichuka

    Katika Hatua za awali za mradi wa MSWAHILI , wataalamu wa KEL wameamua kupima uelewa wa MSWAHILI kwenye masuala ya kisiasa. Mahojiano yalikuwa hivi: Msimamizi: ninaweza kufahamu kuna vyama vingapi vya siasa nchini Tanzania? MSWAHILI: Habari, Tanzania ina vyama vingi vya siasa, lakini muhimu...
  6. EBENEZER S MATHEW

    Tunakwenda wapi? Tujiangalie vijana

    Ni usiku sana ninapoandika ujumbe huu. Usingizi umepaa, amani nimekosa, moyo umekataa kutulia. NINAOGOPA. Napata uoga kila ninapotaza hali ya vijana wa leo. Vijana wenzangu. Nguvu kazi, watu wa muhimu kuelekea maendeleo ya taifa. Napata mashaka ninapofikiri kuwa vijana hawa ndio wanaopaswa...
  7. F

    Picha hii inasema sana kuhusu siku zijazo kwa siasa na uongozi wa Tanzania

    Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndiko huko picha hii inakotuelekeza. Yaliyopita pia yanaonekana kwenye picha hii. Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano. Ni Tanzania ya demokrasia na sio Tanzania ya kiburi na maamuzi binafsi. Mwanga utajadiliana na giza, na...
  8. Pascal Mayalla

    Wanawake Wana Akili Kuliko Wanaume? Hata kwenye Siasa na Uongozi, Wanawake Wameonyesha Uwezo Kuliko Wanaume

    Wanabodi, Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania, nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana...
  9. Makonyeza

    Dakika 40 kumjadili Babu Tale ni matumizi mabaya ya nafasi za ubunge

    Athari za kuwa na bunge la upande mmoja yaani wabunge wenye itikadi ya upande mmoja inazidi kutuathiri kama taifa, na laana zimshukie aliyeyasababisha haya. Taifa letu lina matatizo mengi sana ambayo yanahitaji kujadiliwa na kupatiwa ufumbuzi na wawakilishi wetu pale penye mkusanyiko wetu wa...
  10. Bams

    Hoja ya Ukomo wa Uongozi kwenye vyama vya upinzani ni kukosa Uelewa, Maarifa na Unafiki

    Kuwekeana mipaka kwenye ulaji ni jambo la hekima, lakini kuwekeana ukomo kwenye kujitolea ni ama kukosa uelewa, kukosa maarifa, au anayetaka hilo liwepo ni mnafiki, ana dhamira mbaya. Kuweka ukomo wa muda wa uongozi ndani ya CCM na ndani ya Serikali, ni jambo la muhimu sana. Uongozi ndani ya...
Back
Top Bottom