Tundu Lissu: Hayati Magufuli hausiki kwenye mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za nchi kushikwa na Wageni

Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Shujaa Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya Hovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni

Tundu Lisu anaongea na Waandishi wa Habari

Mungu ni Mwema wakati wote!
Japokuwa sijamsikia TAL akisema hayo, lakini kuna ukweli wa wazi kuhusu hilo.
Aidha, Ni kweli pia kwamba JPM alikuwa na mabaya yake lakini kuhusu kuingia mikataba mibovu ya kuuza nchi kwa wageni si miongoni mwa mabaya yake.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Jamaa hata Muungano alikuwa hautaki , thus why aliamua kureinforce Dodoma , kuna Siri kubwa Sana March 17.. haya mambo ya kuuza rasilimali wakat huu ambao kila nchi inajitahd kukumbatia ilicho nacho ni hovyo Sana
 
images.jpeg
 
Muulize mgodi wa Kabanga walipewa watanzania kipindi chake?

Swala siyo kupewa au kutopewa wageni, swala na kuibiwa na ndiyo Magufuli asingekubali Tanzania kuibiwa juzi kati mmejitokeza hapa kumsifia Samia kuhusu mkataba wa Katanga unafikiri ni brain work ya nani? Ya raisi Samia au? Sasa jiulize Mwarabu amepewa Bandari zote na haturuhusiwi hata kuendeleza nyinginezo vipi kuhusu Bandari yetu ya Tanga na bomba la mafuta ktk Uganda ? Hiyo ni akili kweli?
 
Marais waislam hawafanyagi lolote la maana zaidi ya kuuza nchi yetu.
Kilio cha ubinafisishaji na mikataba ya hovyo ilisainiwa enzi za utawala wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia!
Ma Rais waislam hawa hamasishi watu kufanya kazi badala yake huwa hamasisha watu kukabidhi rasilimali zao kwa watu wengine na wao wawe watazamaji tu.
Marais wakiristo wanaamini katika kufanya kazi na kujitegemea, angalia kuanzia Nyerere, Mkapa, na Magufuli waliamini katika kufanya kazi na kujitegemea kupitia ujenzi wa viwanda.
Tatizo ni elimu au malezi?
Subiri hapo hapo kama Una nguvu. Wakikuacha salama shukuru Mungu.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Shujaa Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya Hovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni

Tundu Lisu anaongea na Waandishi wa Habari

Mungu ni Mwema wakati wote!
Siamini hadi nimsikilize
 
Japokuwa sijamsikia TAL akisema hayo, lakini kuna ukweli wa wazi kuhusu hilo.
Ni kweli pia kwamba JPM alikuwa na mabaya yake lakini kuhusu kuingia mikataba mibovu ya kuuza nchi kwa wageni si miongoni mwa mabaya yake.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

..bomba la mafuta Hoima-Tanga Waganda hawatalipia kodi mafuta yanayosafirishwa.

..huo ni mkataba mbovu alioingia Magufuli.
 
Marais waislam hawafanyagi lolote la maana zaidi ya kuuza nchi yetu.
Kilio cha ubinafisishaji na mikataba ya hovyo ilisainiwa enzi za utawala wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia!
Ma Rais waislam hawa hamasishi watu kufanya kazi badala yake huwa hamasisha watu kukabidhi rasilimali zao kwa watu wengine na wao wawe watazamaji tu.
Marais wakiristo wanaamini katika kufanya kazi na kujitegemea, angalia kuanzia Nyerere, Mkapa, na Magufuli waliamini katika kufanya kazi na kujitegemea kupitia ujenzi wa viwanda.
Tatizo ni elimu au malezi?
Dini Yao inawafanya wawaone waarabu kama miungu watu kwao kuwa karibu na mwarabu ni kuwa karibu na mungu hawa watu hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom